David Kafulila ahutubia Dunia kupitia Africa Energy Summit M300

Jana nimewasikiliza CHADEMA wanaongea kwa hoja Kali Kali tunamuhitaji Kafulila akapambane nao kwa hoja.
 
Inaonekana Kafulila katengeneza genge lake humu JF la kumsifia
 
Inaonekana Kafulila katengeneza genge lake humu JF la kumsifia
Kimsingi Kafulila anafanya kampeni ya Samia ila ni kwa akili kubwa sana sio kama Steve Nyerere na Wasanii
 
Huyu ni chawa tuu
 
Hongera sana brother
 
Badala ya kuwa Mkurugenzi anakuwa chawa ! sad
 
Hongera but ungezungumzia pia fursa zilizopo
 
Uko sawa ila kuwa makini humo ndani ya CCM
 
Yuko vizuri kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…