David Kafulila ahutubia Dunia kupitia Africa Energy Summit M300

Tunaweza kuzipata na sisi
☝️

☝️
Like serious unawezaje kufuatilia planned event and comment on it bila ya kufanya simple research on what’s its all about.

Hizi sio info za kuombana JF, kila mtu alitakiwa kutafuta theme ya mkutano kabla ya kuchangia.

Kuwa na rough idea kitu gani serikali itapeleka huko👇

Hata kama awakupeleka hayo mambo juu kama yalivyo kwenye sera luluki zilizipo tayaru. For the most hiyo proposal waliyoinadi huko (Tanzania energy compact) msingi wake ni existing policies za serikali na Tesco growth strategies.

As a forum our stance was to argue on the merit of strategies viability kwa uelewa wa maswala energy security, uchumi and so forth.

Maswali mengine unaulizwa, na wewe unajiuliza ifs even worth replying to.
 
Hapo utakuta wazungu wanaulizana what what…., English ya bongo unaweza kufikiri unajua na wenzako wanafikiri uko vizuri kumbe hakuna anayekuelewa, wanaoishi nje wanaelewa nina maana gani
 
Wote si shule hizi hizi?? Kama ni hivyo amejitahidi
 
Ki-inglishi bwana asikwambie kuwa Fluent 100%, cha kuongea, kwa sisi wengi ni ngumu hata kama ni PhDs: swangish inatuharibia: huwa najiona kama niko vema, siku moja nilikuwa mazingira fulani na watu fulani tukiongea kwa lugha hii ya malkia, loh ndani ya Lisaa limoja misamiati ikakata, taya zikaanza kuuma! Jasho jingi! Matumizi ya viungo na mwili vikaongezeka: kusikiliza zaidi kukaongezeka: aaah we Acha kabisa, pamoja na kufahamu lugha hii, ila ukitaka kuwa Fluent vema kujitengenezea mazingira ya kuongea ongea kila wakati na kusoma kwa sauti na kimya kimya, hasa Novels! Wataalam wa lugha ongezeni tufanyeje
Mwishoni ukawa unasema oohh, okay, yes, thats good😀😀 ni mwendo wa kuunga mkono hoja
 
☝️

☝️
Like serious unawezaje kufuatilia planned event and comment on it bila ya kufanya simple research on what’s its all about.

Hizi sio info za kuombana JF, kila mtu alitakiwa kutafuta theme ya mkutano kabla ya kuchangia.

Kuwa na rough idea kitu gani serikali itapeleka huko👇

Hata kama awakupeleka hayo mambo juu kama yalivyo kwenye sera luluki zilizipo tayaru. For the most hiyo proposal waliyoinadi huko (Tanzania energy compact) msingi wake ni existing policies za serikali na Tesco growth strategies.

As a forum our stance was to argue on the merit of strategies viability kwa uelewa wa maswala energy security, uchumi and so forth.

Maswali mengine unaulizwa, na wewe unajiuliza ifs even worth replying to.
Nadhani mengi aliyasema sema hii clip ni fupi hotuba yake ilikuwa nzuri sana
 
You don’t have to convince the JF audience, sisi sio potential investors.

Hayo ni matatizo ya serikali ya Tanzania na seriousness yao.

Success ya ushiriki wao ni amount of capital investment watakazo węża attract kati ya potential $30 to $40
billion ambazo zipo for grabs.

Binafsi couldn’t care less what Kafulila said.
 
Ni $100bn sio $30 or $40bn
 
View attachment 3217060
View attachment 3217061

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema tangu serikali ya Tanzania ifanye marekesho ya sheria na miongozo yake mbalimbali sasa kiwango cha wawekezaji kuja kuwekeza nchini Tanzania kimeongezeka.

Kafulila ameyasema hayo wakati akihitimisha siku ya kwanza ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika unaohusu Nishati unaofanyika kwa siku mbili nchi Tanzania kuanzia Januari 27 na 28, 2025 katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwl Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.

Aidha Kafulila ameongeza kuwa, serikali ya Tanzania itaendelea kufanya marekebisho ya sheria na miongozo ambayo bado inaleta changamoto kwa wawekezaji na hatimaye kutimiza ajenda M300 ya kuwafikishia nishati ya umeme waafrika milioni 300 ifikapo mwaka 2030.

Mhe Kafulila amesema ni lazima sekta binafsi Africa yote zihusishwe katika mchakato huo kwa sababu ndio wadau wakubwa wa maendeleo ulimwenguni kote.

Ameongeza kuwa ajenda hiyo haipaswi kuwa ya mipango pekee bali iwe ya kiutendaji zaidi na hatimaye iweze kuleta manufaa barani Afrika kwa waafrica.

Ukiacha Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliyekuwa mgeni rasmi kuhutubia mkutano huo wa M300 wengine ni Naibu Waziri Mkuu Mhe Dkt Dotto Biteko, Waziri wa Fedha Mhe Dkt Mwigulu Nchemba na Mhe David Kafulila Mkurugenzi wa kituo cha Ubia nchini PPPC.
Hahaha wewe hujui ndiomaana unamuina huyo anajua. Hamna kitu hapo interesti ndio nini ni interest. Nimesikil8za kidogo tu nikaona hamna kitu. Tz wanaojua Eng ni kizazi cha elf 2 sababu ya Eng medium na sisi tuliobahatika kusoma nje ya nchi tangu darasa la 1, hao wa kayumba hamna hata mmoja anejua
 
Mnyonge mnyongeni ila Kafulila ni akili kubwa hata kama hatutasema akiwa hai
 
English gani hiyo ya kuanzishia juzi???
 
☝️

☝️
Like serious unawezaje kufuatilia planned event and comment on it bila ya kufanya simple research on what’s its all about.

Hizi sio info za kuombana JF, kila mtu alitakiwa kutafuta theme ya mkutano kabla ya kuchangia.

Kuwa na rough idea kitu gani serikali itapeleka huko👇

Hata kama awakupeleka hayo mambo juu kama yalivyo kwenye sera luluki zilizipo tayaru. For the most hiyo proposal waliyoinadi huko (Tanzania energy compact) msingi wake ni existing policies za serikali na Tesco growth strategies.

As a forum our stance was to argue on the merit of strategies viability kwa uelewa wa maswala energy security, uchumi and so forth.

Maswali mengine unaulizwa, na wewe unajiuliza ifs even worth replying to.
Uko vizuri,
Anaongea kingereza au kiha?
Wewe unaweza hata nusu yake? Kafulila Upinzani tulipoteza sana kuwa Upinzani sio kupinga hata yanayoonekana wazi
 
Haongei bali anasoma hotuba aliyoandikiwa.

Msikilize mkalimani utagundua,maana mkalimani kuna wakati yuko mbele ya hotuba inabidi amsubirie.
 
Back
Top Bottom