Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
HakikaAkili zako zinakutosha mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaAkili zako zinakutosha mwenyewe
SawaTanzania ni moja... Upinzani ukijiweka vizuri watakuja wengi zaidi yake
Kwa sisi walimu tunaotoa lecture masaa 4 kila wiki tena kwa English hiyo ni kazi laini kwetu kutema ungengeKuhutubia mkutano mkubwa wenye watu wengi unaweza kukwama na kukosa points za kuzungumza hata uambiwe uongee kwa kiswahili au lugha unayoifahamu.
Sasa imagine , kutafuta tu points za kuzungumza kwa kiswahili ni shida halafu unaambiwa hutubia kwa kiingereza, hapo ndipo utabaki kukodoa macho kama umepigwa shoti.
Hizi hotuba wana rehearsal sana kabla ya kuzungumza, hata wanasiasa wa US, EU n.k kuna mikutano wakienda lazima afanye mazoezi ya speech hio kwanza na bado wakati mwingine wanakuwa na kijikaratasi cha kusoma ili kumuongoza.
Anaongea english ya kawaida na kajitahidi.
Na wewe naona kuna makosa umeyafanya hapo kwenye bold. Kuna wakati utatumia the na kuna wakati utatumia aHuwezi kusema "we need government" bali sahihi ni "we need the government".
Jf kila mtu ni mbobezi, Kafulila kaongea vizuri sana hasa kwa kuzingatia nafasi yake kama Mkurugenzi tuNa wewe naona kuna makosa umeyafanya hapo kwenye bold. Kuna wakati utatumia the na kuna wakati utatumia a
Kafulila anajitahidi sanaKwa sisi walimu tunaotoa lecture masaa 4 kila wiki tena kwa English hiyo ni kazi laini kwetu kutema ungenge
a ni indifinite article inayodescribe general nouns wakati the ina describe specific noun (kwa maana ya kwamba the ina describe kitu kinachojulikana exactly).Na wewe naona kuna makosa umeyafanya hapo kwenye bold. Kuna wakati utatumia the na kuna wakati utatumia a
Alikuwa anazungumzia governments zote za Africa mbona hiki kidogo sana mmesomea wapi hicho kiingereza?a ni indifinite article inayodescribe general nouns wakati the ina describe specific noun (kwa maana ya kwamba the ina describe kitu kinachojulikana exactly).
So hapo huyo jamaa anazungumzia serikali (ya Tanzania) ambayo inajulikana (so ni specific noun) hivyo alitakiwa atumie article "THE".
Yes there you areAlikuwa anazungumzia governments zote za Africa mbona hiki kidogo sana mmesomea wapi hicho kiingereza?
Tunasema , We need governments sio the governments
Halafu hata jiwe hukumsifu kiingereza chake,we mnafiki sana.View attachment 3217060
View attachment 3217061
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema tangu serikali ya Tanzania ifanye marekesho ya sheria na miongozo yake mbalimbali sasa kiwango cha wawekezaji kuja kuwekeza nchini Tanzania kimeongezeka.
Kafulila ameyasema hayo wakati akihitimisha siku ya kwanza ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika unaohusu Nishati unaofanyika kwa siku mbili nchi Tanzania kuanzia Januari 27 na 28, 2025 katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwl Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.
Aidha Kafulila ameongeza kuwa, serikali ya Tanzania itaendelea kufanya marekebisho ya sheria na miongozo ambayo bado inaleta changamoto kwa wawekezaji na hatimaye kutimiza ajenda M300 ya kuwafikishia nishati ya umeme waafrika milioni 300 ifikapo mwaka 2030.
Mhe Kafulila amesema ni lazima sekta binafsi Africa yote zihusishwe katika mchakato huo kwa sababu ndio wadau wakubwa wa maendeleo ulimwenguni kote.
Ameongeza kuwa ajenda hiyo haipaswi kuwa ya mipango pekee bali iwe ya kiutendaji zaidi na hatimaye iweze kuleta manufaa barani Afrika kwa waafrica.
Ukiacha Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliyekuwa mgeni rasmi kuhutubia mkutano huo wa M300 wengine ni Naibu Waziri Mkuu Mhe Dkt Dotto Biteko, Waziri wa Fedha Mhe Dkt Mwigulu Nchemba na Mhe David Kafulila Mkurugenzi wa kituo cha Ubia nchini PPPC.
Umkubali kiaje wewe chademaSijawahi kumkubali tumbili aisee hakuna kitu hapo ni kula pesa za za taifa la maadui 4.
Jiwe hakuwa anajua kiinglish yuleHalafu hata jiwe hukumsifu kiingereza chake,we mnafiki sana.
Very niceView attachment 3217060
View attachment 3217061
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema tangu serikali ya Tanzania ifanye marekesho ya sheria na miongozo yake mbalimbali sasa kiwango cha wawekezaji kuja kuwekeza nchini Tanzania kimeongezeka.
Kafulila ameyasema hayo wakati akihitimisha siku ya kwanza ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika unaohusu Nishati unaofanyika kwa siku mbili nchi Tanzania kuanzia Januari 27 na 28, 2025 katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwl Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.
Aidha Kafulila ameongeza kuwa, serikali ya Tanzania itaendelea kufanya marekebisho ya sheria na miongozo ambayo bado inaleta changamoto kwa wawekezaji na hatimaye kutimiza ajenda M300 ya kuwafikishia nishati ya umeme waafrika milioni 300 ifikapo mwaka 2030.
Mhe Kafulila amesema ni lazima sekta binafsi Africa yote zihusishwe katika mchakato huo kwa sababu ndio wadau wakubwa wa maendeleo ulimwenguni kote.
Ameongeza kuwa ajenda hiyo haipaswi kuwa ya mipango pekee bali iwe ya kiutendaji zaidi na hatimaye iweze kuleta manufaa barani Afrika kwa waafrica.
Ukiacha Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliyekuwa mgeni rasmi kuhutubia mkutano huo wa M300 wengine ni Naibu Waziri Mkuu Mhe Dkt Dotto Biteko, Waziri wa Fedha Mhe Dkt Mwigulu Nchemba na Mhe David Kafulila Mkurugenzi wa kituo cha Ubia nchini PPPC.
When I come to English IAM fire of dreaming far don't joke me, play others not me I will show you am another creatureMbona ni kile kile cha Hi school ! My morning speech is about Government , Government is group of the people by the people for the people
Kafulila acha mbwembweWhen I come to English IAM fire of dreaming far don't joke me, play others not me I will show you am another creature
Sikiliza video wewe labda kama ni kiziwi. Amesema "we need government".Alikuwa anazungumzia governments zote za Africa mbona hiki kidogo sana mmesomea wapi hicho kiingereza?
Tunasema , We need governments sio the governments
Mimi bado nasubiri hiyo ProposalMr. KnowItAll the right honourable mayor si kila mtu ana muda wa kufuatilia kwa kiwango hicho hicho unavyofuatilia. Na kama wewe mwerevu ulifuatilia ukahisi wajinga sisi hatujaisoma... why hukutumia werevu wako kuileta hiyo proposal humu jukwaani?
Kwa hiyo kipimo chako cha kiwango chetu cha ujinga ni kutokusoma proposal ya serikali kuhusu nishati? How are they related?