David Kafulila ahutubia Dunia kupitia Africa Energy Summit M300

Kuhutubia mkutano mkubwa wenye watu wengi unaweza kukwama na kukosa points za kuzungumza hata uambiwe uongee kwa kiswahili au lugha unayoifahamu.

Sasa imagine , kutafuta tu points za kuzungumza kwa kiswahili ni shida halafu unaambiwa hutubia kwa kiingereza, hapo ndipo utabaki kukodoa macho kama umepigwa shoti.

Hizi hotuba wana rehearsal sana kabla ya kuzungumza, hata wanasiasa wa US, EU n.k kuna mikutano wakienda lazima afanye mazoezi ya speech hio kwanza na bado wakati mwingine wanakuwa na kijikaratasi cha kusoma ili kumuongoza.

Anaongea english ya kawaida na kajitahidi.
Kwa sisi walimu tunaotoa lecture masaa 4 kila wiki tena kwa English hiyo ni kazi laini kwetu kutema ungenge
 
Na wewe naona kuna makosa umeyafanya hapo kwenye bold. Kuna wakati utatumia the na kuna wakati utatumia a
a ni indifinite article inayodescribe general nouns wakati the ina describe specific noun (kwa maana ya kwamba the ina describe kitu kinachojulikana exactly).

So hapo huyo jamaa anazungumzia serikali (ya Tanzania) ambayo inajulikana (so ni specific noun) hivyo alitakiwa atumie article "THE".
 
Alikuwa anazungumzia governments zote za Africa mbona hiki kidogo sana mmesomea wapi hicho kiingereza?

Tunasema , We need governments sio the governments
 
Sijawahi kumkubali tumbili aisee hakuna kitu hapo ni kula pesa za za taifa la maadui 4.
 
View attachment 3217060
View attachment 3217061

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema tangu serikali ya Tanzania ifanye marekesho ya sheria na miongozo yake mbalimbali sasa kiwango cha wawekezaji kuja kuwekeza nchini Tanzania kimeongezeka.

Kafulila ameyasema hayo wakati akihitimisha siku ya kwanza ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika unaohusu Nishati unaofanyika kwa siku mbili nchi Tanzania kuanzia Januari 27 na 28, 2025 katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwl Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.

Aidha Kafulila ameongeza kuwa, serikali ya Tanzania itaendelea kufanya marekebisho ya sheria na miongozo ambayo bado inaleta changamoto kwa wawekezaji na hatimaye kutimiza ajenda M300 ya kuwafikishia nishati ya umeme waafrika milioni 300 ifikapo mwaka 2030.

Mhe Kafulila amesema ni lazima sekta binafsi Africa yote zihusishwe katika mchakato huo kwa sababu ndio wadau wakubwa wa maendeleo ulimwenguni kote.

Ameongeza kuwa ajenda hiyo haipaswi kuwa ya mipango pekee bali iwe ya kiutendaji zaidi na hatimaye iweze kuleta manufaa barani Afrika kwa waafrica.

Ukiacha Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliyekuwa mgeni rasmi kuhutubia mkutano huo wa M300 wengine ni Naibu Waziri Mkuu Mhe Dkt Dotto Biteko, Waziri wa Fedha Mhe Dkt Mwigulu Nchemba na Mhe David Kafulila Mkurugenzi wa kituo cha Ubia nchini PPPC.
Halafu hata jiwe hukumsifu kiingereza chake,we mnafiki sana.
 
Very nice
 
Mbona ni kile kile cha Hi school ! My morning speech is about Government , Government is group of the people by the people for the people
When I come to English IAM fire of dreaming far don't joke me, play others not me I will show you am another creature
 
Alikuwa anazungumzia governments zote za Africa mbona hiki kidogo sana mmesomea wapi hicho kiingereza?

Tunasema , We need governments sio the governments
Sikiliza video wewe labda kama ni kiziwi. Amesema "we need government".
 
Hamna kitu, nikampa vitanza ulimi secondary.

🤣🤣🤣🤣 "Kantai Is a masai man who can tie a tie, if Kantai can tie a tie why can't you tie a tie...."

"We have to time time, before time times you"

Hamna kitu hapo ,sarufi matamshi ni shida tupu sema we kwa level yako unaona huyo "tumbili" katema YAI ngeli!!🤣🤣🤣😅🤣😅🤣

Mods não wanafurahisha eti huu não ni Uzi??🤣🤣🤣
 
Mr. KnowItAll the right honourable mayor si kila mtu ana muda wa kufuatilia kwa kiwango hicho hicho unavyofuatilia. Na kama wewe mwerevu ulifuatilia ukahisi wajinga sisi hatujaisoma... why hukutumia werevu wako kuileta hiyo proposal humu jukwaani?
Kwa hiyo kipimo chako cha kiwango chetu cha ujinga ni kutokusoma proposal ya serikali kuhusu nishati? How are they related?
Mimi bado nasubiri hiyo Proposal
 
Back
Top Bottom