Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
Anzisha uzi nije niongee. Hapa tunamjadili Kafulila.Uko vizuri,
Wewe unaweza hata nusu yake? Kafulila Upinzani tulipoteza sana kuwa Upinzani sio kupinga hata yanayoonekana wazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anzisha uzi nije niongee. Hapa tunamjadili Kafulila.Uko vizuri,
Wewe unaweza hata nusu yake? Kafulila Upinzani tulipoteza sana kuwa Upinzani sio kupinga hata yanayoonekana wazi
Duuuh😂Mimi sijasema nataka kusiki s wala x au z. Nimekuambia unaemsifia kuwa anajua kiingereza hajua amekariri tu.
Ila nimegundua kuwa hata wewe hujui kiingereza ndio maana unaona yupo sahihi wakati amekosea.
Kama weweKama nani? Ebu tupe mfano mmoja
Ila wabongo mnachekesha sana nadhani hii ndio fani yetu sahihiMbona ni kile kile cha Hi school ! My morning speech is about Government , Government is group of the people by the people for the people
Ndio kazi tunawezaIla wabongo mnachekesha sana nadhani hii ndio fani yetu sahihi
😀 Ila bongo ni full vitukoHapo utakuta wazungu wanaulizana what what…., English ya bongo unaweza kufikiri unajua na wenzako wanafikiri uko vizuri kumbe hakuna anayekuelewa, wanaoishi nje wanaelewa nina maana gani
Ni KweliHuyu jamaa ni hazina kwa Taifa
Kimsingi Kafulila anafanya kampeni ya Samia ila ni kwa akili kubwa sana sio kama Steve Nyerere na WasaniiInaonekana Kafulila katengeneza genge lake humu JF la kumsifia
Huyu ni chawa tuu
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema tangu serikali ya Tanzania ifanye marekesho ya sheria na miongozo yake mbalimbali sasa kiwango cha wawekezaji kuja kuwekeza nchini Tanzania kimeongezeka.
Kafulila ameyasema hayo wakati akihitimisha siku ya kwanza ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika unaohusu Nishati unaofanyika kwa siku mbili nchi Tanzania kuanzia Januari 27 na 28, 2025 katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwl Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.
Aidha Kafulila ameongeza kuwa, serikali ya Tanzania itaendelea kufanya marekebisho ya sheria na miongozo ambayo bado inaleta changamoto kwa wawekezaji na hatimaye kutimiza ajenda M300 ya kuwafikishia nishati ya umeme waafrika milioni 300 ifikapo mwaka 2030.
Mhe Kafulila amesema ni lazima sekta binafsi Africa yote zihusishwe katika mchakato huo kwa sababu ndio wadau wakubwa wa maendeleo ulimwenguni kote.
Ameongeza kuwa ajenda hiyo haipaswi kuwa ya mipango pekee bali iwe ya kiutendaji zaidi na hatimaye iweze kuleta manufaa barani Afrika kwa waafrica.
Ukiacha Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliyekuwa mgeni rasmi kuhutubia mkutano huo wa M300 wengine ni Naibu Waziri Mkuu Mhe Dkt Dotto Biteko, Waziri wa Fedha Mhe Dkt Mwigulu Nchemba na Mhe David Kafulila Mkurugenzi wa kituo cha Ubia nchini PPPC.
Hongera sana brother

Badala ya kuwa Mkurugenzi anakuwa chawa ! sad

Anasifiwa Kafulila au Samia?Inaonekana Kafulila katengeneza genge lake humu JF la kumsifia
Mno aiseeHuyu jamaa ni hazina kwa Taifa
Hongera but ungezungumzia pia fursa zilizopo
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema tangu serikali ya Tanzania ifanye marekesho ya sheria na miongozo yake mbalimbali sasa kiwango cha wawekezaji kuja kuwekeza nchini Tanzania kimeongezeka.
Kafulila ameyasema hayo wakati akihitimisha siku ya kwanza ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika unaohusu Nishati unaofanyika kwa siku mbili nchi Tanzania kuanzia Januari 27 na 28, 2025 katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwl Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.
Aidha Kafulila ameongeza kuwa, serikali ya Tanzania itaendelea kufanya marekebisho ya sheria na miongozo ambayo bado inaleta changamoto kwa wawekezaji na hatimaye kutimiza ajenda M300 ya kuwafikishia nishati ya umeme waafrika milioni 300 ifikapo mwaka 2030.
Mhe Kafulila amesema ni lazima sekta binafsi Africa yote zihusishwe katika mchakato huo kwa sababu ndio wadau wakubwa wa maendeleo ulimwenguni kote.
Ameongeza kuwa ajenda hiyo haipaswi kuwa ya mipango pekee bali iwe ya kiutendaji zaidi na hatimaye iweze kuleta manufaa barani Afrika kwa waafrica.
Ukiacha Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliyekuwa mgeni rasmi kuhutubia mkutano huo wa M300 wengine ni Naibu Waziri Mkuu Mhe Dkt Dotto Biteko, Waziri wa Fedha Mhe Dkt Mwigulu Nchemba na Mhe David Kafulila Mkurugenzi wa kituo cha Ubia nchini PPPC.
Uko sawa ila kuwa makini humo ndani ya CCM

Hana lolote ni mweupe sanaHaongei bali anasoma hotuba aliyoandikiwa.
Msikilize malimani utagundua,maana mkalimani kuna wakati yuko mbele ya hotuba inabidi amsubirie.
Yuko vizuri kijana
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema tangu serikali ya Tanzania ifanye marekesho ya sheria na miongozo yake mbalimbali sasa kiwango cha wawekezaji kuja kuwekeza nchini Tanzania kimeongezeka.
Kafulila ameyasema hayo wakati akihitimisha siku ya kwanza ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika unaohusu Nishati unaofanyika kwa siku mbili nchi Tanzania kuanzia Januari 27 na 28, 2025 katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwl Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.
Aidha Kafulila ameongeza kuwa, serikali ya Tanzania itaendelea kufanya marekebisho ya sheria na miongozo ambayo bado inaleta changamoto kwa wawekezaji na hatimaye kutimiza ajenda M300 ya kuwafikishia nishati ya umeme waafrika milioni 300 ifikapo mwaka 2030.
Mhe Kafulila amesema ni lazima sekta binafsi Africa yote zihusishwe katika mchakato huo kwa sababu ndio wadau wakubwa wa maendeleo ulimwenguni kote.
Ameongeza kuwa ajenda hiyo haipaswi kuwa ya mipango pekee bali iwe ya kiutendaji zaidi na hatimaye iweze kuleta manufaa barani Afrika kwa waafrica.
Ukiacha Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliyekuwa mgeni rasmi kuhutubia mkutano huo wa M300 wengine ni Naibu Waziri Mkuu Mhe Dkt Dotto Biteko, Waziri wa Fedha Mhe Dkt Mwigulu Nchemba na Mhe David Kafulila Mkurugenzi wa kituo cha Ubia nchini PPPC.
Sasa unataka kiwe Cha wapi kama sio Cha shuleMbona ni kile kile cha Hi school ! My morning speech is about Government , Government is group of the people by the people for the people