David Kafulila ahutubia Dunia kupitia Africa Energy Summit M300

View attachment 3217060
View attachment 3217061

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema tangu serikali ya Tanzania ifanye marekesho ya sheria na miongozo yake mbalimbali sasa kiwango cha wawekezaji kuja kuwekeza nchini Tanzania kimeongezeka.

Kafulila ameyasema hayo wakati akihitimisha siku ya kwanza ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika unaohusu Nishati unaofanyika kwa siku mbili nchi Tanzania kuanzia Januari 27 na 28, 2025 katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwl Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.

Aidha Kafulila ameongeza kuwa, serikali ya Tanzania itaendelea kufanya marekebisho ya sheria na miongozo ambayo bado inaleta changamoto kwa wawekezaji na hatimaye kutimiza ajenda M300 ya kuwafikishia nishati ya umeme waafrika milioni 300 ifikapo mwaka 2030.

Mhe Kafulila amesema ni lazima sekta binafsi Africa yote zihusishwe katika mchakato huo kwa sababu ndio wadau wakubwa wa maendeleo ulimwenguni kote.

Ameongeza kuwa ajenda hiyo haipaswi kuwa ya mipango pekee bali iwe ya kiutendaji zaidi na hatimaye iweze kuleta manufaa barani Afrika kwa waafrica.

Ukiacha Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliyekuwa mgeni rasmi kuhutubia mkutano huo wa M300 wengine ni Naibu Waziri Mkuu Mhe Dkt Dotto Biteko, Waziri wa Fedha Mhe Dkt Mwigulu Nchemba na Mhe David Kafulila Mkurugenzi wa kituo cha Ubia nchini PPPC.
VIVA CCM VIVA
 
Mbona kiko broken sana? Panapotakiwa plural mbona anasema in a singular form? Kama hicho unakisifu bado utakuwa hujui Kiingereza!
 
Wi nidi to alaini gavmenti, lendaz endi praivati sekta! Sio mbaya kibongobongo
Mbongo piga kiingereza, wape statistics, na maneno magumu magumu kidogo ya kiingereza maana hakuna atakayekwenda kuverify kwamba hizo statistics ni za kweli na hayo maneno magumu yanamaanisha nini. Ukifanikiwa hapo basi utakuwa msomi na mwenye akili na hazina kwa watanzania.
 
View attachment 3217060
View attachment 3217061

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema tangu serikali ya Tanzania ifanye marekesho ya sheria na miongozo yake mbalimbali sasa kiwango cha wawekezaji kuja kuwekeza nchini Tanzania kimeongezeka.

Kafulila ameyasema hayo wakati akihitimisha siku ya kwanza ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika unaohusu Nishati unaofanyika kwa siku mbili nchi Tanzania kuanzia Januari 27 na 28, 2025 katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwl Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.

Aidha Kafulila ameongeza kuwa, serikali ya Tanzania itaendelea kufanya marekebisho ya sheria na miongozo ambayo bado inaleta changamoto kwa wawekezaji na hatimaye kutimiza ajenda M300 ya kuwafikishia nishati ya umeme waafrika milioni 300 ifikapo mwaka 2030.

Mhe Kafulila amesema ni lazima sekta binafsi Africa yote zihusishwe katika mchakato huo kwa sababu ndio wadau wakubwa wa maendeleo ulimwenguni kote.

Ameongeza kuwa ajenda hiyo haipaswi kuwa ya mipango pekee bali iwe ya kiutendaji zaidi na hatimaye iweze kuleta manufaa barani Afrika kwa waafrica.

Ukiacha Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliyekuwa mgeni rasmi kuhutubia mkutano huo wa M300 wengine ni Naibu Waziri Mkuu Mhe Dkt Dotto Biteko, Waziri wa Fedha Mhe Dkt Mwigulu Nchemba na Mhe David Kafulila Mkurugenzi wa kituo cha Ubia nchini PPPC.
Nilivyoona heading nilidhani uzi utakuwa ni wa Lucas Mwashambwa
 
Kuhutubia mkutano mkubwa wenye watu wengi unaweza kukwama na kukosa points za kuzungumza hata uambiwe uongee kwa kiswahili au lugha unayoifahamu.

Sasa imagine , kutafuta tu points za kuzungumza kwa kiswahili ni shida halafu unaambiwa hutubia kwa kiingereza, hapo ndipo utabaki kukodoa macho kama umepigwa shoti.

Hizi hotuba wana rehearsal sana kabla ya kuzungumza, hata wanasiasa wa US, EU n.k kuna mikutano wakienda lazima afanye mazoezi ya speech hio kwanza na bado wakati mwingine wanakuwa na kijikaratasi cha kusoma ili kumuongoza.

Anaongea english ya kawaida na kajitahidi.
Wana vibao wanasoma kama hujui ,kuhutubia ni kipaji kama yule pastor Tonny ana kipaji... Viongozi wengi hawana hicho kipaji ila sio kesi.

Wazungu Wana vibao wanasoma hata umuone anaangalia mbele.
 
Mbona ni kile kile cha Hi school ! My morning speech is about Government , Government is group of the people by the people for the people
Kiingereza chake kibovu
Align align kibao ameshindwa kutengeneza sentence au paragraph iliyonyooka yenye align moja tu na subtitles zinazohusu align bila kurudia rudia align

Kingereza zero
 
Back
Top Bottom