David Kafulila ahutubia Dunia kupitia Africa Energy Summit M300

Tunaweza kuzipata na sisi
☝️

☝️
Like serious unawezaje kufuatilia planned event and comment on it bila ya kufanya simple research on what’s its all about.

Hizi sio info za kuombana JF, kila mtu alitakiwa kutafuta theme ya mkutano kabla ya kuchangia.

Kuwa na rough idea kitu gani serikali itapeleka huko👇

Hata kama awakupeleka hayo mambo juu kama yalivyo kwenye sera luluki zilizipo tayaru. For the most hiyo proposal waliyoinadi huko (Tanzania energy compact) msingi wake ni existing policies za serikali na Tesco growth strategies.

As a forum our stance was to argue on the merit of strategies viability kwa uelewa wa maswala energy security, uchumi and so forth.

Maswali mengine unaulizwa, na wewe unajiuliza ifs even worth replying to.
 
Hapo utakuta wazungu wanaulizana what what…., English ya bongo unaweza kufikiri unajua na wenzako wanafikiri uko vizuri kumbe hakuna anayekuelewa, wanaoishi nje wanaelewa nina maana gani
 
Wote si shule hizi hizi?? Kama ni hivyo amejitahidi
 
Mwishoni ukawa unasema oohh, okay, yes, thats good😀😀 ni mwendo wa kuunga mkono hoja
 
Nadhani mengi aliyasema sema hii clip ni fupi hotuba yake ilikuwa nzuri sana
 
Nadhani mengi aliyasema sema hii clip ni fupi hotuba yake ilikuwa nzuri sana
You don’t have to convince the JF audience, sisi sio potential investors.

Hayo ni matatizo ya serikali ya Tanzania na seriousness yao.

Success ya ushiriki wao ni amount of capital investment watakazo węża attract kati ya potential $30 to $40
billion ambazo zipo for grabs.

Binafsi couldn’t care less what Kafulila said.
 
Ni $100bn sio $30 or $40bn
 
Hahaha wewe hujui ndiomaana unamuina huyo anajua. Hamna kitu hapo interesti ndio nini ni interest. Nimesikil8za kidogo tu nikaona hamna kitu. Tz wanaojua Eng ni kizazi cha elf 2 sababu ya Eng medium na sisi tuliobahatika kusoma nje ya nchi tangu darasa la 1, hao wa kayumba hamna hata mmoja anejua
 
Mnyonge mnyongeni ila Kafulila ni akili kubwa hata kama hatutasema akiwa hai
 
English gani hiyo ya kuanzishia juzi???
 
Uko vizuri,
Anaongea kingereza au kiha?
Wewe unaweza hata nusu yake? Kafulila Upinzani tulipoteza sana kuwa Upinzani sio kupinga hata yanayoonekana wazi
 
Haongei bali anasoma hotuba aliyoandikiwa.

Msikilize mkalimani utagundua,maana mkalimani kuna wakati yuko mbele ya hotuba inabidi amsubirie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…