Uchaguzi 2020 David Kafulila amjibu Tundu Lissu


Kwenye ubunge yy amepata kura ngapi?
 
Inachosha mno ndefu mno naomba mwenye samale
 
HASNA MWILIMA amefanikiwa kuongoza katika kura za maoni katika Jimbo la Kigoma Kusini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kupata kura 273 huku nafasi ya pili ikishikiliwa na Nashon Bidyanguze aliyepata kura 143.

Aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, David Kafulila, amepata kura 64.

Matokeo:

1. Hasna Mwilima – 273
2.Nashon Bidyanguze – 143
3.January Kizito – 117
4.David Kafulila – 64.
 
HASNA MWILIMA amefanikiwa kuongoza katika kura za maoni katika Jimbo la Kigoma Kusini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kupata kura 273 huku nafasi ya pili ikishikiliwa na Nashon Bidyanguze aliyepata kura 143...
Mshindi nani?!
 
Kafulila atulie kashapata ajira kwa kujiuza basi
 
Huyu jamaa ndio humñyoosha huyu Lissu
 
Mama amteue Kafulila wapambane na Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…