Uchaguzi 2020 David Kafulila amjibu Tundu Lissu

Lissu siyo wa kujibizana na mkulima! Siyo size yake huyu!
 
Sababu kubwa za mbwa kubweka usiku hata kama hakuna jambo, asubuhi na akimwona mgeni ni kumwonyesha mmiliki wake kama nae anafanya kazi apate uhalali wa msosi hasa mbwa zetu hizi za uswahilini.
 
Asamehewe bure, ila pia akomae anaweza wekwa wizara ya fedha sio kwa hizi data hahahahahahahahaha
 
Mchumi unaniangusha! Unajibuje hoja za Kafulila kienyeji namna hii. Kwa nini wabobezi wa uchumi, ulitakiwa kupinga hoja saba za Kafulila kwa utulivu moja baada ya nyingine huku ukitumia mifano ya takwimu za kiuchumi.
 
Nimejifunza kitu kumbe vijana wa BAVICHA wengi wao ni weupe kichwani, yaani wameshindwa kabisa kujibu Hoja za KAFULILA na badala yake wanafanya personal attack .

OK wahenga walisema mpumbavu akiishiwa hoja hukumbilia matusi, na slaha kubwa ya mpumbavu ni matusi kwa mantiki hiyo bavicha ni wa kusamehewa bure.
 
Kweli maisha ya Watanzania kwa sasa ni ya kutisha, wengi wetu tunasurvive kwa kudra za Mwenyezi Mungu ndio maana unaona kwa sasa hata wale wenye unafuu wa maisha wanalazimika kumwabudu mtu mmoja ili wawe na uhakika wa kesho.

Flyover hazijawahakikishia mkate wao wa kila siku, dreamliner haziwahakikishii Watanzania uwezo wa kuweza kukomboa miili ya wapendwa wao wakifariki ili wakawazike!

Hiyo ndio Tanzania mpya tuliyoikabidhi kwa immigrants!!!!
 
Kafulila unahangaika kuliko wenye CCM yao Urasi ushapishana nao mkuu Wenyeccm yao hawakujali Hayo Majibu Aibu Mkuu bora ungebaki na Uras Ulishe familia
 
Biashara zimeshuka zingine kufa kwasababu ya sera ambazo hazidumu 'policy uncertainty' sera za majukwaani ambazo hazidumu hazina sheria na kanuni mfano wanajeshi kwenda kununua korosho. Baba lishe na mama lishe walikosa pesa,vibarua walikosa pesa,wenye vyumba vya kulala wageni walikosa pesa,wasafirishaji walikosa pesa.

Kumbuka hawa lazima waliwekeza kwaajili ya huo msimu na wengine wengi ambao huhusika na msimu wa ununuzi wa korosho, hata mabenki yalikosa pesa hiyo pesa ya manunuzi ya korosho ikiingia benki serikali hupata pesa.

Jeshi liki jenga majengo mka simama nyuma ya mikamera kwamba mmeokoa bilioni 2 ambazo mkandarasi wa kawaida hiyo pesa ingelikuwa kwenye mzunguko wafanyakazi na vibarua wakanunua vitu mbalimbali .watu wakikaa kimya mnadhani hawana akili 'you can not plan business growth with policy uncertainty 'regulatory authorities are busy on imposing tax instead of control measures and business tools
 
Badala ujibu hoja, una mbwela mbwela tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kafulila unahangaika kuliko wenye CCM yao Urasi ushapishana nao mkuu Wenyeccm yao hawakujali Hayo Majibu Aibu Mkuu bora ungebaki na Uras Ulishe familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…