Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
===
Kafulila akijibu tuhuma ya Mbunge wa Kisesa CCM Mhe Luhaga Mpina kwamba Waziri wa Fedha ametumia zaidi ya Trilioni Saba (TZS7T) bila fedha hizo kupita katika mfuko mkuu wa Serikali hazina,
Haya ndio majibu ya Kafulila kwa Luhaga.
" Cde Mpina lazima uelewe Kuna baadhi ya wakopeshaji wanapeleka pesa zao moja kwa moja kwenye miradi husika bila kupitisha pesa zao hazina. Hivyo hazina wanapewa taarifa tu kwa sababu wao wanamlipa mkandarasi wenyewe wakiamini hiyo huenda ikaepusha pesa yao kutumiwa kwa matumizi yasiyo kusudiwa au nje ya malengo ya mkopo"
Pia soma Luhaga Mpina: Waziri wa Fedha amekopa na kutumia Zaidi ya Tsh. Trilioni 7 Bila kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali