johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lete ushahidi 🐼Wote ni chain ya wala rushwa wazuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete ushahidi 🐼Wote ni chain ya wala rushwa wazuri
Wewe huwezi kuelewaLete ushahidi 🐼
Wewe ni UWT nakujua hakuna CHADEMA ambaye hana akili kama weweCHADEMA Kafulila anatupa shida sana kwa hoja mujarabu na hapo kampeni bado
Hesabu za deni au huo msaada unaingiaje kwenye kumbukumbu zetu. Au zinaingia kwenye kumbukumbu za mafisudiView attachment 3218277
===
Kafulila akijibu tuhuma ya Mbunge wa Kisesa CCM Mhe Luhaga Mpina kwamba Waziri wa Fedha ametumia zaidi ya Trilioni Saba (TZS7T) bila fedha hizo kupita katika mfuko mkuu wa Serikali hazina,
Haya ndio majibu ya Kafulila kwa Luhaga.
" Cde Mpina lazima uelewe Kuna baadhi ya wakopeshaji wanapeleka pesa zao moja kwa moja kwenye miradi husika bila kupitisha pesa zao hazina. Hivyo hazina wanapewa taarifa tu kwa sababu wao wanamlipa mkandarasi wenyewe wakiamini hiyo huenda ikaepusha pesa yao kutumiwa kwa matumizi yasiyo kusudiwa au nje ya malengo ya mkopo"
Pia soma Luhaga Mpina: Waziri wa Fedha amekopa na kutumia Zaidi ya Tsh. Trilioni 7 Bila kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali
Kajaa kwenye mfumo,kiherehere kitamuumbuaAtutajie hao wahisani
Miradi waliyofadhili na kiasi cha pesa walichotoa
View attachment 3218277
===
Kafulila akijibu tuhuma ya Mbunge wa Kisesa CCM Mhe Luhaga Mpina kwamba Waziri wa Fedha ametumia zaidi ya Trilioni Saba (TZS7T) bila fedha hizo kupita katika mfuko mkuu wa Serikali hazina,
Haya ndio majibu ya Kafulila kwa Luhaga.
" Cde Mpina lazima uelewe Kuna baadhi ya wakopeshaji wanapeleka pesa zao moja kwa moja kwenye miradi husika bila kupitisha pesa zao hazina. Hivyo hazina wanapewa taarifa tu kwa sababu wao wanamlipa mkandarasi wenyewe wakiamini hiyo huenda ikaepusha pesa yao kutumiwa kwa matumizi yasiyo kusudiwa au nje ya malengo ya mkopo"
Pia soma Luhaga Mpina: Waziri wa Fedha amekopa na kutumia Zaidi ya Tsh. Trilioni 7 Bila kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali
Wewe ndio taahira wa kiwango Cha lami,Huyu jamaa ni taahira kuna hela ya mkopo inaweza kuingizwa serikalini bila ya kuwa registered kwenye ‘debt management office’ (DMO) iliyo wizara ya fedha.
Na kuna mkopo unaoweza ingia nchini wenye dhamana ya serikali bila ya idhini ya waziri wa fedha.
Utaahira wa huyu jamaa is beyond me, kutwa kujianzishia mada humu; na ma ID yake kujisifia ujinga wakati kichwani ni kiazi.
Hajui hata how government works ukimsikiliza ni ujinga mtupu; sema ndio hivyo tena uchawa unalipa hata kwa vichwa viazi kama Kafulila (just rubbish).
Kwenye kichwa chake kaandika vitu vya maana, wakati hajui hata taratibu za kurekodi madeni serikalini.
Ni Mkopo ila haujapitia hazina ila imepita kwa Mkandarasi moja kwa mojaNi mkopo au sio Mkopo? Hilo ndo la muhimu
Mwigullu PhD na Prof Kitila wamezidiwa uwezo na Kafulila 😀
Yeye kama Mteule wa Rais anao wajibu wa Kizalendo kumtetea Rais na Serikali yake,Kajaa kwenye mfumo,kiherehere kitamuumbua
Hiyo kazi alipashwa kuifanya Mpina mwenyewe ili atujibu hiyo miradi iliyolipwa na mkopeshaji moja kwa moja ni ipi?Sisi wananchi wa kawaida tunaomba kuorodheshewa miradi yote iliyopata mgao wa trillion 7, jingine angalau tujue hizo trillion 7 tumepewa bure nakama ni mkopo unalipwa lini kupitia vyanzo gani vya mapato yetu isijekuwa tunakopa hela nyingi halafu wananchi tunaumia huku mtaani.
Unaingia Kwenye kumbu kumbu zetuHesabu za deni au huo msaada unaingiaje kwenye kumbukumbu zetu. Au zinaingia kwenye kumbukumbu za mafisudi
How stupid are you?Wewe ndio taahira wa kiwango Cha lami,
Kutwa kupinga kila kitu chema Cha Serikali,
Sasa mbona ulichokisema ndicho alichosema Kafulila?
Mpina anapotosha Umma kwa masilahi yake mwenyewe,
Sio pesa zote za Mkopo zinazoingizwa kwenye akaunti ya hazina ili liko wazi,
Hata WB na IMF mara nyingi wanalipa Mkandarasi directly,
Maana yake hizo pesa hazitapita hazina na ndicho anachokisema Mpina,
Ila Watanzania wajue hakuna Senti moja ya Mkopo imeliwa na mtu binafsi kwa matumizi binafsi
Rubbish...kajipange tena na huyo Kafulila wako! Watanzania si mataahira. kama wewe !Ni Mkopo ila haujapitia hazina ila imepita kwa Mkandarasi moja kwa moja
Kafulila ni mla rushwa haswa
Wewe dada kuwa makini unaweza kufuatilia hii ID vizuri sio kukenua tu hapa, Kafulila anahoja lazima tuseme ukweli,Wewe ni UWT nakujua hakuna CHADEMA ambaye hana akili kama wewe