David Kafulila amvaa Luhaga Mpina deni la Taifa

David Kafulila amvaa Luhaga Mpina deni la Taifa

Ni Mkopo ila haujapitia hazina ila imepita kwa Mkandarasi moja kwa moja
Na nani analipa certificates, nani anakagua kazi nani ana audit discrepancies za malipo; kama mkandarasi ana deal na donors,

How is that is even possible in practice.

Kiwango chako cha ujinga kinakutosha wewe mwenyewe, please spare us your nonsense.
 
Wewe dada kuwa makini unaweza kufuatilia hii ID vizuri sio kukenua tu hapa, Kafulila anahoja lazima tuseme ukweli,
Kafulila anakataa upotoshaji na Uongo kama huu wa Mpina
Kafulila ni mtu anachukia rushwa sana hawezi kuitetea ila pia hataki mtu aonewe.
Mimi ni CHADEMA damu ila Kafulila namkubali sana
UWT nyie ni matapeli haswa, wewe unashirikiana na Kafulila kula rushwa
 
How stupid are you?

Go google majukumu ya DMO na kwanini kila wizara ya fedha duniani ina hiko kitengo duniani hata kwa nchi zilizoendelea.

Yaani uingize hela nchini, ziwe kwenye hesabu za deni la deni la taifa wizara aijui.

You must be very stupid
Nani kasema Wizara haijui wewe box ???!!
Rudia kusoma hayo majibu ya Kafulila utaelewa ,


Hoja hapa ni TZS 7T haziku-hit kwenye akaunti ya hazina ila zimefanya matumizi kama kawaida
 
Majinga haya yana misafara mikubwa kuliko hata ya Trump halafu yanaenda kuomba misaada. Trump anataka kila mtu awe na akili timamu na afanye kazi, Marekani wawe wanajinyima ajili ya majitu majinga ambao yamepewa kila kitu na MUNGU lakini hayana akili.
Tanzania inajitosheleza kibajeti so kuwa na amani na ARVs zako utazipa Bure kabisa,


#SAMIA MITANO TENA
 
Huyu jamaa ni taahira kuna hela ya mkopo inaweza kuingizwa serikalini bila ya kuwa registered kwenye ‘debt management office’ (DMO) iliyo wizara ya fedha.

Na kuna mkopo unaoweza ingia nchini wenye dhamana ya serikali bila ya idhini ya waziri wa fedha.

Utaahira wa huyu jamaa is beyond me, kutwa kujianzishia mada humu; na ma ID yake kujisifia ujinga wakati kichwani ni kiazi.

Hajui hata how government works ukimsikiliza ni ujinga mtupu; sema ndio hivyo tena uchawa unalipa hata kwa vichwa viazi kama Kafulila (just rubbish).

Kwenye kichwa chake kaandika vitu vya maana, wakati hajui hata taratibu za kurekodi madeni serikalini.
Huo ndio utaratibu?
 
Cde Mpina lazima uelewe Kuna baadhi ya wakopeshaji wanapeleka pesa zao moja kwa moja kwenye miradi husika bila kupitisha pesa zao hazina. Hivyo hazina wanapewa taarifa tu kwa sababu wao wanamlipa mkandarasi wenyewe wakiamini hiyo huenda ikaepusha pesa yao kutumiwa kwa matumizi yasiyo kusudiwa au nje ya malengo ya mkopo
Jibu jepesi sana kwa magnitude ya figure;
Nilidhani alitakiwa aje na analysis ya Donor, miradi iliyochangiwa, Amount of fund disbursed, Beneficiaries Account...maana hapa kutupa jibu la Jumla Jumla haiko sawa!!
 
Back
Top Bottom