David Kafulila anakumbukwa na wakulima wa Simiyu kwa kupaisha bei ya Pamba kufikia Tsh. 2200 kwa kilo katika historia ya Taifa letu alipokuwa RC

Kafulila nyota inang'aa sana tangu aingie CCM huenda akafika mbali sana
 
Kafulila nyota inang'aa sana tangu aingie CCM huenda akafika mbali sana
Atafika mbali sana maana anakubalika sana na watanzania na Anaendelea kuungwa mkono sana na watanzania mbalimbali.
 
Kafulila fanya kazi kwa bidii
 
Ilitakiwa uonyeshe kwa hoja nzito na zenye ushahidi kiwa ni wapi nimepotosha.Unabisha kuwa pamba haikuuzwa 2200 kwa kilo wakati Mheshimiwa Kafulila akiwa mkuu wa mkoa? Je wakulima wamewahi kuuza kwa bei hiyo kabla ya Mh Kafulila kufika?
Unamajibu mazuri sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…