Seven77
Senior Member
- May 28, 2024
- 173
- 140
Kafulia nini mbona jamaa Yuko vizuriKafulila Kafulia😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafulia nini mbona jamaa Yuko vizuriKafulila Kafulia😂😂
Kuna watu hasa mafisadi wakisikia jina la Kafulila wanachanganyikiwa na kupata presha kubwa sana.Kafulia nini mbona jamaa Yuko vizuri
Eti Kafulila Kafulia😂😂😂Kuna watu hasa mafisadi wakisikia jina la Kafulila wanachanganyikiwa na kupata presha kubwa sana.
Unaweza kukuta jamaa presha imepanda .Eti Kafulila Kafulia😂😂😂
😂😂😂Jamaa hakika yuko vizuri mno ngoja tuone 2025Unaweza kukuta jamaa presha imepanda .
Lucas mpambanaji sana anacheza na upepo tuLucas Mwashambwa naona saiv umejizolea kijiji taratibu wanakuelewa.
Mwakani ni lazima aingie Bungeni.😂😂😂Jamaa hakika yuko vizuri mno ngoja tuone 2025
Mimi naendelea kuwaunga mkono WAZALENDO wote wa Taifa letuLucas mpambanaji sana anacheza na upepo tu
Atafika mbali sana maana anakubalika sana na watanzania na Anaendelea kuungwa mkono sana na watanzania mbalimbali.Kafulila nyota inang'aa sana tangu aingie CCM huenda akafika mbali sana
Kafulila tangu namfahamu ni mtu wa Kupiga spana tu watu😃😃Kafulila nyota inang'aa sana tangu aingie CCM huenda akafika mbali sana
Yes nyota yake ipo juu hata Mimi nakubaliana na hiloAtafika mbali sana maana anakubalika sana na watanzania na Anaendelea kuungwa mkono sana na watanzania mbalimbali.
🤣🤣Watu wanapigwa spana mpaka wanambatiza 2mbili mara KirobotoKafulila tangu namfahamu ni mtu wa Kupiga spana tu watu😃😃
Mimi nilimfahamu enzi za EscrowKafulila tangu namfahamu ni mtu wa Kupiga spana tu watu😃😃
Tuendelee kumuunga mkono kama ambavyo wengi wanaendelea kumuunga mkono.Yes nyota yake ipo juu hata Mimi nakubaliana na hilo
Kafulila fanya kazi kwa bidiiNdugu zangu Watanzania,
Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu, ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na watu kwa miaka mingi hata kama wewe utakuwa haupo uongozini au Duniani lakini utaendelea kuishi na watu japo hupo Duniani au madarakani.
Uongozi siyo habari ya umeongoza miaka mingapi au umekaa miaka mingapi. kinachomfanya mtu akakumbukwa na watu ni kazi alizozifanya kwa muda alipokuwa na madaraka au hai na faida ya uhai wake kwa watu na uongozi wake ulivyogusa maisha ya watu.
Ndio maana leo hii viongozi na watu kama John F Kennedy, Dr Martin Luther King Junior, BoB Marely, Abraham Lincolin wanaendelea kukumbukwa na watu wengi sana Duniani kwote licha ya kwamba walikufa miaka mingi na waliishi miaka michache Duniani kabla ya kufikia uzee wao. Ndio maana pia viongozi kama Edward Moringe Sokoine wanakumbukwa na Taifa letu japo walikaa madarakani kwa Muda mfupi lakini historia zao na majina yao yameganda na kunasa katika mioyo ya watanzania kutokana na mikono yao na kazi zao kugusa maisha ya watu na kuleta matokeo Chanya.
Hii maana yake nini? Unaweza kuongoza kwa miaka mingi, kukaa madarakani au kwenye cheo fulani kwa miaka mingi na bado usikumbukwe na yeyote yule pale ambapo utaondoka leo. Unaweza kuondoka leo kwenye ukuu wa mkoa au uwaziri au uwaziri mkuu au uspika au ukurugenzi wa taasisi fulani halafu kesho watu wakasahau kabisa kama ulikuwepo kwenye nafasi fulani. Kwanini? Kwa sababu uongozi wako na uwepo wako kwenye kiti haukugusa wala kubadilisha maisha ya watu au mtu yeyote yule, kwa hiyo ulikuwa kama mvuke au moshi tu ambao umekuja na kupita.
Mheshimiwa David Kafulila licha ya kukaa katika nafasi ya Ukuu wa mkoa Wa Simiyu kwa muda mfupi lakini bado anaendelea kukumbukwa na wana Simiyu kama mkuu wa mkoa aliyeleta tabasamu, furaha, matumaini na kuwainua kiuchumi kwa kupaisha Bei ya pamba yao ambayo kwa karibu 70% ya pamba yote Tanzania inatokea Simiyu kufikia bei ya 2200 kwa kilo, bei ambayo haikuwa kutokea tangia Nchi yetu ipate uhuru. Leo anakumbukwa na kusemwa kuwa hapa Simiyu kilipita na kulipita CHUMA David Kafulila aliyeleta Nuru kwa wakulima na maendeleo kwa kaya za wanasimiyu.
Jiulize wewe kiongozi uliyepo kwenye cheo fulani au wadhifa fulani ukiondoka leo kwenye nafasi uliyopo watu watakukumbuka kwa lipi? Umegusa maisha ya watu wangapi? Umeleta tabasamu kwa kaya ngapi? Wangapi wamepata nuru kutoka gizani? Wangapi wamepata matumaini kupitia mikono yako? Wangapi wanatamani urejee au urudishwe au uongezewe muda au kukuombea dua na maombi mema ya kurejea au kupata cheo kikubwa au nafasi fulani? Utakumbukwa kwa lipi ndugu yangu? Au unaisha na kufanya kazi ilimradi tu watoto wako wapate ugali mezani? Umebadilisha maisha ya wangapi?
Wangapi wanaona uwepo wako hapo ulipo ni baraka na mlango wa wao kutokea kimaisha na kuinuka kiuchumi? Wangapi wanakukumbuka kwa mema?
Gusa maisha ya watu, Leta tabasamu kwa watu,washa taa kwenye mioyo ya watu,inua watu,shika mikono ya watu uwainue juu,wape matumaini watu ili siku moja Ukumbukwe kama ilivyo kwa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere,Nelson Mandela,kwame Nkrumah, Keneth Kaunda, Winnie Mandela na wengine wengi sana. Lakini pia ukifanya vyema utaungwa mkono ukiwa bado hai kama ilivyo kwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa hakika aendelee kuchapa kaziKafulila fanya kazi kwa bidii
Haya ni matusi hata hivyoUnamsifia hivo Kwa mbwembwembwe na uongo mwanaume mwenzio.
Mbona unatupa wasiwasi dogo
Unamajibu mazuri sana mkuu.Ilitakiwa uonyeshe kwa hoja nzito na zenye ushahidi kiwa ni wapi nimepotosha.Unabisha kuwa pamba haikuuzwa 2200 kwa kilo wakati Mheshimiwa Kafulila akiwa mkuu wa mkoa? Je wakulima wamewahi kuuza kwa bei hiyo kabla ya Mh Kafulila kufika?