David Kafulila anakumbukwa na wakulima wa Simiyu kwa kupaisha bei ya Pamba kufikia Tsh. 2200 kwa kilo katika historia ya Taifa letu alipokuwa RC

Watanzania wanasema ni wakati muafaka kwa Mhessimiwa David Kafulila Kurejea Bungeni hapo mwakani kwa sababu sauti yake inahitajika sana bungeni. Mchango wake unatakiwa sana ndani ya Bunge na ndani ya Baraza la mawaziri. Mheshimiwa Kafulila ni hazina kwa Taifa letu.
 
Watanzania wanasema ni wakati muafaka kwa Mhessimiwa David Kafulila Kurejea Bungeni hapo mwakani kwa sababu sauti yake inahitajika sana bungeni. Mchango wake unatakiwa sana ndani ya Bunge na ndani ya Baraza la mawaziri. Mheshimiwa Kafulila ni hazina kwa Taifa letu.
 
Nakazia, hizo ni kampeni Tu
 

Ni Tanzania pekee mtu anasifiwa Kwa kufanya majukumu yake haha

Sasa kama RC Hilo si Moja ya jukumu lake?

Na alilipwa salary na posho Kwa kufanya hiyo kazi?

Nyie ndio mlisifia mpaka waziri kupanda helicopter kwenda site
 
Mleta mada kama hujui tu, kilichomuondoa Kafulila Simiyu ni kitendo chake kwenda kuua kilimo cha Pamba.
Juhudi zote za kuifufua Pamba kule Simiyu zilizofanywa na Anthony Mtaka kwa miaka kadhaa, Kafulila alikuja kuziua kabisa.
Kinachoendelea leo kule Simiyu ni matokeo ya kiburi na upuuzi wa Kafulila. Leo hii Kafulila akija Simiyu anaweza kupopolewa mawe.
 
Ni Tanzania pekee mtu anasifiwa Kwa kufanya majukumu yake haha

Sasa kama RC Hilo si Moja ya jukumu lake?

Na alilipwa salary na posho Kwa kufanya hiyo kazi?

Nyie ndio mlisifia mpaka waziri kupanda helicopter kwenda site
Unafikiri kwanini mchezaji anapewa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia wakati hakuwa anacheza Mwenyewe uwanjani? Nipe jibu haraka sana.
 
Huyu mshenzi atakuwa anawalipa sana hawa wapuuzi waje wamsifie sifie humu.
Kwanini na wewe usiwalipe waje wakusifu kwani hupendi sifa?

Watanzania ni watu wa ajabu sana ,

Ivi ni vibaya mtu kusema wakati wa Samia Pamba imepanda kwa 125% ila tu ulipwe?

Kwanza sidhani hata Kafulika kama anafurahia kujadiliwa hivi,

Yaani uwalipe watu wakujadili then utukanwe na kashfa kibao.

Huyu Lucas kama ni MALIPO basi Mama Samia anamlipa sana la siamini kama anapata hata mia.

Kafulila anajua sana na Mungu amempe karama ya Uongozi hatuwezi kumnyanga'nya hata tufanye nini ni Mungu kampatia hicho kitu.

Ova.
 
Acha uongo wako wewe. Ameuaje kilimo mtu na kiongozi aliyepaisha bei ya pamba kufikia 2200 kwa kilo? Kwa hiyo kuinua kilimo cha pamba ni kumpa mkulima bei ya chini? Kuinua pamba ni kukopa pamba ya mkulima bila malipo na kuchelewesha malipo? Nenda uwaambie huo ujinga wana Simiyu uone watakavyo kujibu kwa hasira. Wana Simiyu na wakulima wa pamba wanahitaji bei nzuri ya pamba yao.
 
YULE TUMBILI?
 
BAADA YA KUONA MAKONDA HAKUJALI UMETAFUTA MWANAUME MWINGINE WA KUDANDIWA NAYE. TAFUTA KAZI DOGO. HAWA WATU WAPO BUSY NA MAISHA YAO. WATAKUTUMIA TU HAWATAKUOA WALA NINI.
 
Hiz
Bila kuwa na taasisi imara hizo zote ni ngonjera tu.
 
BAADA YA KUONA MAKONDA HAKUJALI UMETAFUTA MWANAUME MWINGINE WA KUDANDIWA NAYE. TAFUTA KAZI DOGO. HAWA WATU WAPO BUSY NA MAISHA YAO. WATAKUTUMIA TU HAWATAKUOA WALA NINI.
Nakusamehe bure kabisa bila gharama yoyote ile,maana najuwa wengine mnaingia humu jukwaani mkiwa mmejaa msongo wa mawazo na vimiminika kichwani.
 
Unafikiri kwanini mchezaji anapewa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia wakati hakuwa anacheza Mwenyewe uwanjani? Nipe jibu haraka sana.

Tofautisha mashindano na uongozi, tofautisha kufurahisha mashabiki na kuwahudumia wanainchi wa eneo husika
 

Crde najua wewe ni mwanachama mwenzangu ila unaungomvi binafsi na Kafulila ila plz soma hapa polepole.

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Kafulila alianzisha kitu kinaitwa "Simiyu model" .

Nia ya hii Model ni kutaka Ushirika kushindana na watu binafsi katika ununuzi wa Pamba.

Lakini pia Kafulila alianzisha kamati za pamba kudhibiti Kila hujuma ya walanguzi wa Pamba.

Matokeo ndio hayo bei ikafika mpaka 2200 wakati miaka yote bei ya pamba haijawahi kuzidi 1,200 kwa mkulima.

Ndio Wapo watu kama wewe mnaoweza kusema sababu ni kupanda kwa bei ya pamba katika soko la dunia dine,

Ukweli ni kwamba haukuwa mwaka wa kwanza bei kupanda katika soko la dunia na bado bei haikuzidi 1200/.

Mfano wa miaka ambayo Pamba ilipanda sana katika Soko la dunia ni Mwaka 2011, 2012, 2018 katika miaka hii bei ya pamba katika soko la dunia ilipanda na bado mkulima hakupata zaidi ya 1200/=.

Sasa huyu Kafulila alidhibiti chain ya wapigaji eneo la pamba ndani ya Mkoa mpaka kwenye mfumo wa wanunuzi.

Mimi naombeni watu wakafanye utafiti alichofanya Kafulila na kilichotokea kwenye bei ya pamba ili kitumike kama mwongozo wa Serikali Kwa manufaa ya Sasa na kizazi kijacho.

Ukiongea na wazee wa pamba hapa Simiyu au mchambuzi wa miaka kama Mzee Joseph Mihangwa watakwambia yule kijana alikata mtandao wote wanaokula jasho la mkulima wa pamba.

Tunaweza kuzungumza mengi lakini Kafulila bado ni mtu mwenye uthubutu na ujasiri mkubwa wa kiuongozi.

Soma hii pia itakusaidia,
πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Hiz

Bila kuwa na taasisi imara hizo zote ni ngonjera tu.
Mheshimiwa Rais Anaendelea kuimarisha taasisi ,ambapo pia hizo taasisi zinahitaji watu imara, wazalendo, wachapakazi na wasafi aina ya Mheshimiwa David Kafulila.ndio maaja WAZALENDO Tunaendelea kuwaunga mkono wazalendo wetu bure kabisa.
 
Hizi siyo kampeni maana hapa hakuna uchaguzi.hapa ni mahali pa kuzungumza ukweli. Niambie ni kipi cha uongo katika hayo niliyozungumza hapa?
"Anatakiwa Bungeni na pia katika Baraza la Mawaziri lijalo". Hayo ni maneno ya kukampeni kabla ya wakati.
 


Naona mwenyewe kafulila umekuja kujibu hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…