David Kafulila anakumbukwa na wakulima wa Simiyu kwa kupaisha bei ya Pamba kufikia Tsh. 2200 kwa kilo katika historia ya Taifa letu alipokuwa RC

Tofautisha mashindano na uongozi, tofautisha kufurahisha mashabiki na kuwahudumia wanainchi wa eneo husika
Naona hoja imekuwa nzito kwako mpaka umeshindwa kuelewa namna ya kujibu. Vipi walioanzisha tuzo ya mfanyakazi bora ? Je huyo mfanyakazi anafanya kazi pekee yake? Kwanini kuna tuzo kama vile MO Ibrahim au Nobel? Nipe majibu haraka sana japo najuwa uwezo wako ni mdogo.
 
Tatizo sio Bei tatizo pia mifumo ya Ununuzi,

Nadhani Serikali ikae na Kafulila awasaidie ni Kwa namna gani alisaidia bei kufika 2,200
 

Ndio maana uwa nakwambia wewe na Mdude hamna tofauti yoyote

Hunaga hoja,

Mwenyewe kafulila amekuja kukurahisishia hoja zako maana hata hujui alifanya kitu gani

Haukusoma Hadidu za Rejea vizuri
 
Naona mwenyewe kafulila umekuja kujibu hoja
Acha maneno maneno kijana hebu pitia hii ID vizuri ujue kama inaharufu ya Kafulila.

Tatizo watu wengi hawajui ukweli wanabagazwa tu ooohhh,

Ivi unaweza ukaona mtu anaamua kukatisha Uhai kisa kala pesa ya Pamba ya Kafulila.

Unaweza ukaelewa ni Kwa kiasi gani Kafulila alikuwa na machungu na Wakulima wake.

Haina maana aliyeko hafai hapana ila tunaonesha bei ya Pamba inaweza kupanda zaidi ya hapo.
 
Ndio maana uwa nakwambia wewe na Mdude hamna tofauti yoyote

Hunaga hoja,

Mwenyewe kafulila amekuja kukurahisishia hoja zako maana hata hujui alifanya kitu gani

Haukusoma Hadidu za Rejea vizuri
Kafulila ni yupi hapa?
 
Mheshimiwa Rais Anaendelea kuimarisha taasisi ,ambapo pia hizo taasisi zinahitaji watu imara, wazalendo, wachapakazi na wasafi aina ya Mheshimiwa David Kafulila.ndio maaja WAZALENDO Tunaendelea kuwaunga mkono wazalendo wetu bure kabisa.
Kwa hiyo unakiri kuwa taassisi hizo zipo lakini haziwezi kutimiza majukumu yake bila Rais kusema au siyo?
 
Mheshimiwa Rais Anaendelea kuimarisha taasisi ,ambapo pia hizo taasisi zinahitaji watu imara, wazalendo, wachapakazi na wasafi aina ya Mheshimiwa David Kafulila.ndio maaja WAZALENDO Tunaendelea kuwaunga mkono wazalendo wetu bure kabisa.
Kafulila hajawahi kuwa mzalendo, mpenda tumbo lake tu yule.
 
Ndio maana uwa nakwambia wewe na Mdude hamna tofauti yoyote

Hunaga hoja,

Mwenyewe kafulila amekuja kukurahisishia hoja zako maana hata hujui alifanya kitu gani

Haukusoma Hadidu za Rejea vizuri
Mbona Kila kitu kipo wazi hapa Jf,
Kafulila anahusikaje?
Sijui ata kama Kafulila anayo akaunti hapa Jf.

Soma hapa utapata Kila kitu.
πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Nakusamehe bure kabisa bila gharama yoyote ile,maana najuwa wengine mnaingia humu jukwaani mkiwa mmejaa msongo wa mawazo na vimiminika kichwani.

Wewe unakuwa umejawa na.... Maana mwanaume kamili hawezi kuja andika huu upuuzi. Unadandia dandia wanaume siku zote huna cha kufanya ni kujirahisi tu kwao.
 
Kafulila hajawahi kuwa mzalendo, mpenda tumbo lake tu yule.

Nadhani ungeleta ushahidi hapa wa kweli,

Useme akiwa Simiyu au Songwe au PPP kavuta pesa kwa huyu au yule kwani Kuna mtu anakufahamu hapa?

Tunaposema sisi tunamfurahia Kafulila Kwa Uzalendo na Uadilifu wake tunamaana hiyo jamaa hagusi pesa iliyo yake ova.

Alale njaa atembee kwa mguu bado msimamo wake ni ule ule Zero Corruption.

Ivi unakataaje 2.8bl mwaka 2014 kijana mdogo hana hata nyumba Wala mke.

Let's be serious guys with this creature.

Sasa mtu kama hapokei rushwa analipaje watu waje kumpraise?

Au acha niishie hapa.
 
Wewe utakumbukwa Kwa uchawa
 
Mimi ninakuuliza unakijua kilimo cha Pamba?
Wewe unajua bei ya Pamba namna inavyopatikana?
Kafulila amekaa Simiyu kwa muda gani?
Kwanini mama Samia alimtumbua kwa hasira Kafulila kule Simiyu?
Kwanini wananchi wa Simiyu wanamchukia mnoo Kafulila?
Kwanini wananchi wa Simiyu mpaka leo hii wanamkumbuka na kumhitaji mnoo Anthony Mtaka?

Ukijibu hayo maswali nitakuja kukuelewesha hapa.
 
Embu acha porojo zako wewe .nani alikwambia kuwa alitumbuliwa kwa hasira? Kwanini alipewa tena uteuzi? Unajuwa Mhessimiwa Rais anaweza kukutoa mahali popote pale na kukupeleka mahali popote pale kwa wakati wowote na muda wowote ule?

Unafahamu mbinu alizotumia Mhessimiwa Kafulila kupandisha bei ya pamba mkoani Simiyu?
 


Crde mbona umekuwa duni kiasi hiki?

1. Unasema Wananchi wa Simiyu wanamchukia Samia kwa sababu ya Kafulila fine,

Swali,

a). Kama Kafulila na Rais Samia waliwapa bei ya TZS 2,200 na wanamchukia Rais Samia kama unavyosemaga humu fine,

Vipi kabla na baada ya Kafulila walipopewa bei ya TZS 1,000 wamempenda zaidi Rais au RC aliyeko au huyo Mtakatifu Unayemtaja taja hapa?

Wewe huna akili,

Wananchi wamchukiaeje Kafulila aliyewapa bei NoNo ya 2,200 waje wampende wa 1,000,???!!!

Sikia Crde ,

Hakuna kipindi Rais Samia na Serikali yake na Chama chetu tulifurahiwa na Wanasimiyu kama wakati wa Kafulila achana na majungu ya hao Watakatifu unaowataja taja hapa.

Kafulila aliingia Simiyu 2021 na akauza Pamba yake 2022 kwa TZS 2,200.

Then akaondolewa kwa hasira kama unavyosema wewe.

Kumbe hasira hizi mlizichochea ninyi kwa masilahi yenu.

Simiyu huwezi kuzungumzia Pamba ya TZS 2,200 bila kumtaja Kafulila na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

Mwisho niweke sawa hili.

Mkoa wa Simiyu tunampenda sana Rais Dkt Samia Suluhu Hassan hata kama kura ikipigwa Leo atapata kura zaidi ya 85% so wait and see 2025.
 
Aiseee! Great Ful Kafulila.

Mimi sikufahamu kumbe kulikuwa na juhudi za hadi watu kujitoa Uhai
Sina ugomvi na Kafulila Kwa Uadilifu wake.
Japo Siasa za bongo hazihitaji mtu honest sana.

Kama huna nyumba utachekwa kwamba huna akili za kuiba wewe na kujenga nyumba nzuri kama wenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…