David Kafulila anakumbukwa na wakulima wa Simiyu kwa kupaisha bei ya Pamba kufikia Tsh. 2200 kwa kilo katika historia ya Taifa letu alipokuwa RC

Kafulila ni mwizi tu.
Kafulila angeacha kuendekeza tumbo huenda angefika mbali na kuheshimiwa, lakini pale ni tumbo tu linamtesa. Kajamaa ni kajinga halafu kana tamaa balaa.
Ni lazima UFE na wivu wako pamoja na chuki yako binafsi kwa Mhessimiwa David Kafulila. Ungekuwa na akili ungeweka huo ushahidi wako wa maneno yako ya kijinga ambayo hakuna mtanzania mwenye akili Timamu anayeweza kukusikiliza na kubali. Kwa kuwa kila mtu anafahamu uzalendo na usafi wa Mhessimiwa Kafulila.
 
Kafulila ni mwizi tu.
Kafulila angeacha kuendekeza tumbo huenda angefika mbali na kuheshimiwa, lakini pale ni tumbo tu linamtesa. Kajamaa ni kajinga halafu kana tamaa balaa.
Sijui kama ni kweli,
Nimesoma Kafulila alikataaga 2.8bl
Sasa yaani mtu akatae 2.8bl za bila ushahidi aje aibe zenye ushahidi nahisi mkuu akili yako inashida kidogo
 
Sijui kama ni kweli,
Nimesoma Kafulila alikataaga 2.8bl
Sasa yaani mtu akatae 2.8bl za bila ushahidi aje aibe zenye ushahidi nahisi mkuu akili yako inashida kidogo
Umeongea ukweli kabisa na huo ndio ukweli wenyewe.Mheshimiwa Kafulila alikataa kupokea na kuchukua pesa za mafisadi ili aachane na sakata la Escrow.lakini kwa uzalendo na msimamo mkali alikataa kabisa pesa hizo chafu na akaamua kuendelea na msimamo wake uliokuwa unaungwa mkono na mamilioni ya watanzania waliokuwa nyuma yake.
 
Mimi ni mtetezi wa wazalendo.sisiti wala sioni haya wala aibu kuwaunga mkono WAZALENDO aina ya Mheshimiwa CHUMA Mwenyewe David Kafulila. Naomba tuendelee kuwaunga mkono na kuwatia moyo watu kama MheshimiwaKafulila
hujaweka mawasiliano tatizo
 
Ilitakiwa uonyeshe kwa hoja nzito na zenye ushahidi kiwa ni wapi nimepotosha.Unabisha kuwa pamba haikuuzwa 2200 kwa kilo wakati Mheshimiwa Kafulila akiwa mkuu wa mkoa? Je wakulima wamewahi kuuza kwa bei hiyo kabla ya Mh Kafulila kufika?
Mwashambwa ni nani alikuaminisha kwamba Mkuu wa mkoa anaweza pandisha bei ya mazao hasa mazao ya biashara (CASH CROPS)? Ulisha wahi sikia kuna Mkuu wa mkoa alipandisha bei ya tumbaku, korosho, katani, kahawa n.k? Kabla hamjasifia muwe mnauliza kwanza mnatia aibu! Kama una ubavu elezea Kafulila alipandishaje bei ya pamba nikufumue humuhumu ndani.
 
Ngoja kwanza arudi Kwa mtu aliyemtuma Ili ampe ufafanuzi. Kimsingi huyu chawa Hana uwezo wa kujibu Hilo swali.

Nimemuuliza swali kama Hilo akakimbilia kusema eti 70% ya Pamba inatoka Simiyu!!

Chawa wa siku hizi unamuandikia tu maneno kisha yeye ndo anapost!! Ndo kazi ya huyu mtumwa
 
Mwamshamba & Kafulila
 
Tumia akili,

RC amethibiti Ulanguzi aki-create scarcity kwa wanunuzi wakaanza kupambana kupata mzigo ndio wao wenyewe wakaongeza bei.

Scarce and availability
 
Tumbili hatakiwi huku sisi mtu mpenda sifa na maneno kibao kujifanya msomi hatumtaki
 
Swali lako lilitakiwa uulize ni vipi alipandisha bei akiwa mkuu wa mkoa.lakini umetanguliza jibu lako kuwa hawezi.basi baki gizani .lakini wana Simiyu wanafahamu vyema ni vipi chuma David Kafulila alipandisha beo ya Pamba mkoani Simiyu
 
Tumbili hatakiwi huku sisi mtu mpenda sifa na maneno kibao kujifanya msomi hatumtaki
Mheshimiwa Kafulila ni mtu mnyenyekevu,mpole,mkarimu, mzalendo na mwenye usikivu wa hali ya juu sana kwa kila mtu pasipo kujali hali ya mtu au cheo cha mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…