David Kafulila anakumbukwa na wakulima wa Simiyu kwa kupaisha bei ya Pamba kufikia Tsh. 2200 kwa kilo katika historia ya Taifa letu alipokuwa RC

Utaweweseka sana na utaishia kupata aibu kwa wivu wako na chuki binafsi kwa Chuma David Kafulila
 
Kafulila ni mwamba sana kukataa 2.8bl sio jambo dogo aise
 
Sijawahi kuandika barua ya kuomba ukuu wa wilaya maana hauombwi kwa baruaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
🀣🀣🀣hizi barua unazoandika huku jf ni maombi tosha mkuu hadi aibu huwa naona mimi natamanigi nimfate mama akuonee huruma akupe hata ukatibu tawala nanjilinji.

Alafu u-dc hauombwi kwa barua
 
🀣🀣🀣hizi barua unazoandika huku jf ni maombi tosha mkuu hadi aibu huwa naona mimi natamanigi nimfate mama akuonee huruma akupe hata ukatibu tawala nanjilinji.

Alafu u-dc hauombwi kwa barua
Mimi siandiki hapa kwa ajili ya kulipwa chochote kile ndugu yangu.
 
Sasa Mkurugenzi Mkuu wa PPP atamani kuwa RC kweli???
Hii ni akili au matope
Huyo kajaa wivu tu.habari ni kuwa ajiandae tu kumwona Mhessimiwa Kafulila Bungeni hapo mwakani akiwa Mbunge na panapo majaliwa waziri katika wizara mojawapo
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Safi sana Kafulila unastahili pongezi nyingi
 
Kafulila ni mtu bora sana huo ndio ukweli na hakika Taifa hili linazo hazina za kutosha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…