David Kafulila anakumbukwa na wakulima wa Simiyu kwa kupaisha bei ya Pamba kufikia Tsh. 2200 kwa kilo katika historia ya Taifa letu alipokuwa RC

Ndugu zangu Watanzania,

Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu,ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na watu kwa miaka mingi hata kama wewe utakuwa haupo uongozini au Duniani lakini utaendelea kuishi na watu japo hupo Duniani au madarakani.

Uongozi siyo habari ya umeongoza miaka mingapi au umekaa miaka mingapi. kinachomfanya mtu akakumbukwa na watu ni kazi alizozifanya kwa muda alipokuwa na madaraka au hai na faida ya uhai wake kwa watu na uongozi wake ulivyogusa maisha ya watu.

Ndio maana leo hii viongozi na watu kama John F Kennedy ,Dr Martin Luther King Junior,BoB Marely ,Abraham Lincolin wanaendelea kukumbukwa na watu wengi sana Duniani kwote licha ya kwamba walikufa miaka mingi na waliishi miaka michache Duniani kabla ya kufikia uzee wao. Ndio maana pia viongozi kama Edward Moringe Sokoine wanakumbukwa na Taifa letu japo walikaa madarakani kwa Muda mfupi lakini historia zao na majina yao yameganda na kunasa katika mioyo ya watanzania kutokana na mikono yao na kazi zao kugusa maisha ya watu na kuleta matokeo Chanya.

Hii maana yake nini? Unaweza kuongoza kwa miaka mingi,kukaa madarakani au kwenye cheo fulani kwa miaka mingi na bado usikumbukwe na yeyote yule pale ambapo utaondoka leo.unaweza kuondoka leo kwenye ukuu wa mkoa au uwaziri au uwaziri mkuu au uspika au ukurugenzi wa taasisi fulani halafu kesho watu wakasahau kabisa kama ulikuwepo kwenye nafasi fulani.kwanini? Kwa sababu uongozi wako na uwepo wako kwenye kiti haukugusa wala kubadilisha maisha ya watu au mtu yeyote yule.kwa hiyo ulikuwa kama mvuke au moshi tu ambao umekuja na kupita.

Mheshimiwa David Kafulila licha ya kukaa katika nafasi ya Ukuu wa mkoa Wa Simiyu kwa muda mfupi lakini bado anaendelea kukumbukwa na wana Simiyu kama mkuu wa mkoa aliyeleta tabasamu,furaha, matumaini na kuwainua kiuchumi kwa kupaisha Bei ya pamba yao ambayo kwa karibu 70% ya pamba yote Tanzania inatokea Simiyu kufikia bei ya 2200 kwa kilo, bei ambayo haikuwa kutokea tangia Nchi yetu ipate uhuru.leo anakumbukwa na kusemwa kuwa hapa Simiyu kilipita na kulipita CHUMA David Kafulila aliyeleta Nuru kwa wakulima na maendeleo kwa kaya za wanasimiyu.

Jiulize wewe kiongozi uliyepo kwenye cheo fulani au wadhifa fulani ukiondoka leo kwenye nafasi uliyopo watu watakukumbuka kwa lipi? Umegusa maisha ya watu wangapi? Umeleta tabasamu kwa kaya ngapi? Wangapi wamepata nuru kutoka gizani? wangapi wamepata matumaini kupitia mikono yako? Wangapi wanatamani urejee au urudishwe au uongezewe muda au kukuombea dua na maombi mema ya kurejea au kupata cheo kikubwa au nafasi fulani? Utakumbukwa kwa lipi ndugu yangu? Au unaisha na kufanya kazi ilimradi tu watoto wako wapate ugali mezani? Umebadilisha maisha ya wangapi?

Wangapi wanaona uwepo wako hapo ulipo ni baraka na mlango wa wao kutokea kimaisha na kuinuka kiuchumi? Wangapi wanakukumbuka kwa mema?

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mama ametufikia Kafulila ametufikia,
 
Uzalendo unalipa sana hawa vijana akina Makonda, Kafulila, Mwigulu, Bashe, January wanabebwa kwa Uzalendo wao.
Kwa hakika Uzalendo ndio silaha yao kikuu ya kuendelea kuwepo katika vinywa na midomo ya watanzania.
 
Huyu mshenzi atakuwa anawalipa sana hawa wapuuzi waje wamsifie sifie humu.
Acha wivu wako hapa wewe. Mchapa kazi na mzalendo ni lazima apate wa kumuunga mkono kama ilivyokuwa kwa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kuungwa mkono na watanzania mpaka leo hii. Mheshimiwa Kafulila ni mzalendo anayestahili kabisa kuendelea kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania.
 
Kafulila tumemchoka na tabia yake ya kulipa watu Ili wamsemee mitandaoni.

Na wewe Dalali punguza njaa itakuponza. Siyo wanaume wote wanaokutumia Wana Nia njema!! Ukishaona wanaanza kukulipia na Kodi ya nyumba basi jiandae kuanza kupika na kufua nguo zao
Hata mimi naliona hilo. Kuna kampeni za kuwasifia watu katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi Mkuu mwakani. Hili jambo si sawa. Subirini wakati ukifika anzeni masifu.
 
Ngoja Nikufumbue tu akili yako hiyo . Ni kuwa ningependa kukwambia ya kuwa 70% ya pamba yote unayoiona hapa Tanzania inatokea Mkoani Simiyu.
Kwahiyo Kafulila ndo kakulisha maneno hayo? Hiyo ni takwimu kabla Mkoa wa Shinyanga haujagawanywa na kuzaliwa Mkoa wa Simiyu.

Ningekuelewa kama ungezungumzia Uzalishaji Mkubwa wa Pamba unatoka Simiyu, lakini eti Bei ya pamba anahusika Kafulila hapana hapana!! Tunalo Soko la Dunia na kama nchi tunayo Bodi ya Pamba. Pitia Sheria ya Bodi ya Pamba ujielimishe na kumuelimisha huyo Muha
 
Unajua mamlaka aliyonayo Mkuu wa Mkoa?
Mkuu wa Mkoa ni Rais wa Mkoa,
Sasa kama Pamba ilitoka kuuzwa TZS 800 hadi 2,200 na Leo hayupo bei ni 1,000 why tusiamini Kuna uhuni kule wakulima wanafanyiwa?
Hilo neno Rais wa Mkoa ndo linakufanya uamini huo uongo!??

Ulivyotaja tu eti Mkuu wa Mkoa ni Rais wa Mkoa naladhamika kusitisha kukuelimisha. Utakuwa na upeo mdogo mno
 
Kwani kwa akili yako unafikiri ni nani aliye muwakishi wa Rais katika mkoa? Mkuu wa mkoa ndiye Rais wa Mkoa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu,ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na watu kwa miaka mingi hata kama wewe utakuwa haupo uongozini au Duniani lakini utaendelea kuishi na watu japo hupo Duniani au madarakani.

Uongozi siyo habari ya umeongoza miaka mingapi au umekaa miaka mingapi. kinachomfanya mtu akakumbukwa na watu ni kazi alizozifanya kwa muda alipokuwa na madaraka au hai na faida ya uhai wake kwa watu na uongozi wake ulivyogusa maisha ya watu.

Ndio maana leo hii viongozi na watu kama John F Kennedy ,Dr Martin Luther King Junior,BoB Marely ,Abraham Lincolin wanaendelea kukumbukwa na watu wengi sana Duniani kwote licha ya kwamba walikufa miaka mingi na waliishi miaka michache Duniani kabla ya kufikia uzee wao. Ndio maana pia viongozi kama Edward Moringe Sokoine wanakumbukwa na Taifa letu japo walikaa madarakani kwa Muda mfupi lakini historia zao na majina yao yameganda na kunasa katika mioyo ya watanzania kutokana na mikono yao na kazi zao kugusa maisha ya watu na kuleta matokeo Chanya.

Hii maana yake nini? Unaweza kuongoza kwa miaka mingi,kukaa madarakani au kwenye cheo fulani kwa miaka mingi na bado usikumbukwe na yeyote yule pale ambapo utaondoka leo.unaweza kuondoka leo kwenye ukuu wa mkoa au uwaziri au uwaziri mkuu au uspika au ukurugenzi wa taasisi fulani halafu kesho watu wakasahau kabisa kama ulikuwepo kwenye nafasi fulani.kwanini? Kwa sababu uongozi wako na uwepo wako kwenye kiti haukugusa wala kubadilisha maisha ya watu au mtu yeyote yule.kwa hiyo ulikuwa kama mvuke au moshi tu ambao umekuja na kupita.

Mheshimiwa David Kafulila licha ya kukaa katika nafasi ya Ukuu wa mkoa Wa Simiyu kwa muda mfupi lakini bado anaendelea kukumbukwa na wana Simiyu kama mkuu wa mkoa aliyeleta tabasamu,furaha, matumaini na kuwainua kiuchumi kwa kupaisha Bei ya pamba yao ambayo kwa karibu 70% ya pamba yote Tanzania inatokea Simiyu kufikia bei ya 2200 kwa kilo, bei ambayo haikuwa kutokea tangia Nchi yetu ipate uhuru.leo anakumbukwa na kusemwa kuwa hapa Simiyu kilipita na kulipita CHUMA David Kafulila aliyeleta Nuru kwa wakulima na maendeleo kwa kaya za wanasimiyu.

Jiulize wewe kiongozi uliyepo kwenye cheo fulani au wadhifa fulani ukiondoka leo kwenye nafasi uliyopo watu watakukumbuka kwa lipi? Umegusa maisha ya watu wangapi? Umeleta tabasamu kwa kaya ngapi? Wangapi wamepata nuru kutoka gizani? wangapi wamepata matumaini kupitia mikono yako? Wangapi wanatamani urejee au urudishwe au uongezewe muda au kukuombea dua na maombi mema ya kurejea au kupata cheo kikubwa au nafasi fulani? Utakumbukwa kwa lipi ndugu yangu? Au unaisha na kufanya kazi ilimradi tu watoto wako wapate ugali mezani? Umebadilisha maisha ya wangapi?

Wangapi wanaona uwepo wako hapo ulipo ni baraka na mlango wa wao kutokea kimaisha na kuinuka kiuchumi? Wangapi wanakukumbuka kwa mema?

Gusa maisha ya watu, Leta tabasamu kwa watu,washa taa kwenye mioyo ya watu,inua watu,shika mikono ya watu uwainue juu,wape matumaini watu ili siku moja Ukumbukwe kama ilivyo kwa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere,Nelson Mandela,kwame Nkrumah, Keneth Kaunda, Winnie Mandela na wengine wengi sana. Lakini pia ukifanya vyema utaungwa mkono ukiwa bado hai kama ilivyo kwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wananchi wabubujikwa na machozi!
 
mkuu umehamia kwa kafulila...naona makonda hajapokea simu wala kukupigia.... 😀 😀 😀 😀 😀
 
Mimi ni mtetezi wa wazalendo.sisiti wala sioni haya wala aibu kuwaunga mkono WAZALENDO aina ya Mheshimiwa CHUMA Mwenyewe David Kafulila. Naomba tuendelee kuwaunga mkono na kuwatia moyo watu kama MheshimiwaKafulila
 
Kwahiyo Kafulila ndo kakulisha maneno hayo? Hiyo ni takwimu kabla Mkoa wa Shinyanga haujagawanywa na kuzaliwa Mkoa wa Simiyu.

Ningekuelewa kama ungezungumzia Uzalishaji Mkubwa wa Pamba unatoka Simiyu, lakini eti Bei ya pamba anahusika Kafulila hapana hapana!! Tunalo Soko la Dunia na kama nchi tunayo Bodi ya Pamba. Pitia Sheria ya Bodi ya Pamba ujielimishe na kumuelimisha huyo Muha

Duuuh kumbe hata anavyoandikaga kumuhusu Rais Samia ni Rais Samia anamlisha hayo maneno?

Kwa taarifa tu hiyo ni kazi ya Kila mwanachama wa CCM tena hupewi hata mia.

Lucas Mwashambwa yeye ametoa sababu kwanini anavutiwa na Kafulila,

Wewe kama unasababu ambazo unaamini sifa anazopewa Kafulila ni za uongo pia zilete hapa,

Ila Mimi kwa kuwa niko field acha nikusaidie kidogo.

👇👇👇

Kafulila alianzisha kitu kinaitwa "Simiyu model" .

Nia ya hii Model ni kutaka Ushirika kushindana na watu binafsi katika ununuzi wa Pamba.

Lakini pia Kafulila alianzisha kamati za pamba kudhibiti Kila hujuma ya walanguzi wa Pamba.

Matokeo ndio hayo bei ikafika mpaka 2200 wakati miaka yote bei ya pamba haijawahi kuzidi 1,200 kwa mkulima.

Ndio Wapo watu kama wewe mnaoweza kusema sababu ni kupanda kwa bei ya pamba katika soko la dunia dine,

Ukweli ni kwamba haukuwa mwaka wa kwanza bei kupanda katika soko la dunia na bado bei haikuzidi 1200/.

Mfano wa miaka ambayo Pamba ilipanda sana katika Soko la dunia ni Mwaka 2011, 2012, 2018 katika miaka hii bei ya pamba katika soko la dunia ilipanda na bado mkulima hakupata zaidi ya 1200/=.

Sasa huyu Kafulila alidhibiti chain ya wapigaji eneo la pamba ndani ya Mkoa mpaka kwenye mfumo wa wanunuzi.

Mimi naombeni watu wakafanye utafiti alichofanya Kafulila na kilichotokea kwenye bei ya pamba ili kitumike kama mwongozo wa Serikali Kwa manufaa ya Sasa na kizazi kijacho.

Ukiongea na wazee wa pamba hapa Simiyu au mchambuzi wa miaka kama Mzee Joseph Mihangwa watakwambia yule kijana alikata mtandao wote wanaokula jasho la mkulima wa pamba.

Tunaweza kuzungumza mengi lakini Kafulila bado ni mtu mwenye uthubutu na ujasiri mkubwa wa kiuongozi.

Soma hii pia itakusaidia,
👇👇

Hata mimi naliona hilo. Kuna kampeni za kuwasifia watu katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi Mkuu mwakani. Hili jambo si sawa. Subirini wakati ukifika anzeni masifu.
Hata wewe kama ni mzalendo na mchapakazi utasifiwa na kupongezwa bure kabisa na watanzania. Lakini kama wewe ni fisadi ,mla rushwa basi usitegemee kuungwa mkono na mtu yeyote humu jukwaani. Na hata ukija mwenyewe kujipa promo utaona watu watakavyo kushambuliwa kwa nguvu.maana watanzania wanataka mtu safi , mzalendo na makini aina ya Mheshimiwa David Kafulila.
 
Back
Top Bottom