David Kafulila atolea ufafanuzi wa Adani kuwekeza katika Miundombinu ya Umeme kwa Ubia

Kama DERM ameweza kutengeneza nguzo na kuna kampuni hapa hapa nchini zinatengeneza transforma na nyaya ,kwanini tusiwape hao na serikali iwe inawalipa kidogo kidogo kuliko kwenda kumpa muhindi aliyefukuzwa kenya kuja kutupiga kama HABINDA SINGI?
 
Fursa iliyopo ni umeme wa jua au upepo...Tutashukuru sana wakija kuwekeza kwenye maeneo hayo
Umeme tunaozalisha ni wa ziada hatuhitaji umeme. Tunahitaji mpeleka nguzo mtimbwindi ambako umeme unaingizwa kwa sh 30000..je adani ataweza..au ndio kuchukua kodi na kumpa eye badala ya tanesco.
 
Wahindi wanavyopenda kutoa Rushwa
 
Huyu alitaka kuwatapeli wakenya uwanja wa ndege wakakataa lakini Kwa kuwa watanzania ni wajinga na wanakubali chochote pasipo kutathimini wamemkubalia huyu muhuni.
 
Shahawa zilizokuzaa heri zingemwagwa chooni tu
 
Sisi tunataka watoa huduma wengi.
 
Waliosema gesi itamaliza kero zote za bajeti wako wapi,walisema mgao wa madini utamaliza kero za bajeti wako wapi wakasema sasa nchi imeingia uchumi wa kati wako wapi.
 
Acha uoga ndugu yangu mtanzania.
Stop deflecting and gaslighting

Usilazimishe kuwa nimeandika kwa hisia hisia tu.

Tafadhalii sana Bwana Mwashambwa.

Nauliza tena, Wanachokuja kuwekeza ni nini ambacho Watanzania kupitia kodi yao hawajawekeza?

Wanachokuja kuwekeza ni nini haswa wakati Nchi imesha wekeza matrilioni ya fedha humo?

Ni nini haswa hawa wawekezaji wanaleta ambacho hakipo kwenye huo mfumo wa Usambazaji wa Umeme?
 
Wengi wao wanakuja mikono mitupi. Kisha wanakopa mabenki yetu na eti wanawekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…