David Kafulila atolea ufafanuzi wa Adani kuwekeza katika Miundombinu ya Umeme kwa Ubia

Ndugu zangu Watanzania,

Kampuni mbili kubwa, Adani Group ya India na Gridworks Development Partners LLP ya Uingereza, zimeonesha nia ya kuwekeza katika mradi wa kusafirisha umeme nchini Tanzania kupitia mfumo wa ubia. Mradi huo unalenga kujenga njia za kusafirisha umeme wa juu kwa lengo la kuboresha miundombinu ya nishati nchini Tanzania.

Akizungumza kwa njia ya simu na Jambo TV, David Kafulila, Kamishna wa Ubia wa Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), amefafanua kuwa utaratibu huo unajulikana kama "expression of interests,"ambapo wawekezaji wanaweza kueleza nia yao ya kuwekeza kwenye miradi kwa kushirikiana na serikali.

"Kampuni (Wawekezaji) mbili ambazo zimeomba kufanya mradi wa kusafirisha umeme kwa utaratibu wa ubia, inaitwa expression of interests yaani kwamba inaruhusu mwekezaji kueleza nia yake ya kuwekeza kwenye mradi fulani katika utaratibu wa ubia na serikali" ameeleza Kafulila.

Kafulila ameeleza zaidi kuwa sheria za ubia nchini Tanzania zinaruhusu kampuni kuwasilisha maombi yao kwa hatua za awali, na serikali inaweza kuamua kuitangaza miradi hiyo kwa kampuni zingine kushindana ili kuhakikisha uwazi na ufanisi. Hivi sasa, Adani na Gridworks ndio kampuni mbili zilizowasilisha maombi ya kuwekeza katika mradi huo wa kusafirisha umeme.

Ameongeza kuwa zipo njia nne zinazotumika kuingia kwenye ubia wa umma na binafsi nchini Tanzania. Njia hizo ni pamoja na serikali kutangaza mradi na kuruhusu ushindani (Solicited), mwekezaji kuomba kuandaa mradi (Unsolicited), serikali kutafuta mwekezaji wa moja kwa moja wa haraka hasa baada ya kuwa tayari imeandaa mradi (Direct Negotiation), na ya utaratibu maalum (Special Arrangement). Katika kesi ya Adani na Gridworks, wameomba kuwekeza kupitia njia ya kusudio la mwekezaji (Unsolicited).

Kafulila amesisitiza kuwa maombi yaliyotolewa na Adani na Gridworks ni hatua ya awali, na michakato ya kuchunguza kama kampuni hizo zina sifa stahiki itaendelea. Serikali kupitia TANESCO itazingatia mahitaji ya mradi huo na kuamua kama kutangaza zabuni kwa kampuni zingine au kuendelea na kati ya waombaji wa sasa.

"Adani ameleta kusudio awekeze, ni hatua ya awali ya kueleza kusudio, na siyo Adani peke yake ambayo imeomba iwekeze, sasa baadaye kwa mujibu wa sheria TANESCO sasa inaweza ikaamua kutangaza na kampuni zote ambazo zinahitaji zikashindana kutegemea mahitaji yake kwa wakati huo. Sasa hiyo iliyofanyika ya Adani na Kampuni nyingine ya Uingereza ya Gridworks Development Partners LLP, ni kampuni mbili ambazo zimeomba kuwekeza, na sheria inawaruhusu kuomba. Sasa ukiomba, ndiyo michakato inaanza ya kama una sifa au hauna sifa", ameeleza Kafulila.

Adani Group, kampuni inayoongozwa na bilionea Gautam Adani, imekuwa ikiongeza uwepo wake katika ukanda wa Afrika Mashariki, huku Tanzania ikiwa sehemu ya mikakati yao ya kuimarisha miundombinu ya nishati kupitia mradi unaotajwa kuwa na thamani ya takriban dola milioni 900. Tanzania pia iko kwenye mazungumzo na Gridworks Development Partners kuhusu mradi wa dola milioni 300.

Kwa upande wake, Tanzania imeweka kipaumbele katika kuboresha miundombinu ya nishati ili kukidhi mahitaji ya umeme yanayoendelea kuongezeka, hatua inayosaidiwa na miradi kama hii ya ubia. Ushirikiano huu pia ni muhimu kwa kuboresha mfumo wa usafirishaji wa umeme wa juu nchini.View attachment 3116153

Haka kajamaa bado kako india tu. Kanajitahidi lakini kaangalie kasije lete Richmond ingine. Kahakikishe hakuna Richmond kabisa.
 
Kinachoangaliwa na kuzingatiwa na tunachopaswa kuzingatia ni mkataba wenye maslahi kwetu kama Taifa.na siyo habari za kuangalia nini kilitokea kenya.sisi ndio wenye Nchi na tunayo nafasi na uhuru wa kumwambia muwekezaji juu ya kile ambacho tungependa afanye na kutekeleza. Nafikiri umesoma namna Mheshimiwa David Kafulila alivyo toa maelezo mazuri na ya kina. Kwamba ikionekana hajakidhi vigezo basi watachukua hatua zingine.
PPP ni kula kwa urefu wa kamba. Maelezo mazuri ni chorus.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kampuni mbili kubwa, Adani Group ya India na Gridworks Development Partners LLP ya Uingereza, zimeonesha nia ya kuwekeza katika mradi wa kusafirisha umeme nchini Tanzania kupitia mfumo wa ubia. Mradi huo unalenga kujenga njia za kusafirisha umeme wa juu kwa lengo la kuboresha miundombinu ya nishati nchini Tanzania.

Akizungumza kwa njia ya simu na Jambo TV, David Kafulila, Kamishna wa Ubia wa Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), amefafanua kuwa utaratibu huo unajulikana kama "expression of interests,"ambapo wawekezaji wanaweza kueleza nia yao ya kuwekeza kwenye miradi kwa kushirikiana na serikali.

"Kampuni (Wawekezaji) mbili ambazo zimeomba kufanya mradi wa kusafirisha umeme kwa utaratibu wa ubia, inaitwa expression of interests yaani kwamba inaruhusu mwekezaji kueleza nia yake ya kuwekeza kwenye mradi fulani katika utaratibu wa ubia na serikali" ameeleza Kafulila.

Kafulila ameeleza zaidi kuwa sheria za ubia nchini Tanzania zinaruhusu kampuni kuwasilisha maombi yao kwa hatua za awali, na serikali inaweza kuamua kuitangaza miradi hiyo kwa kampuni zingine kushindana ili kuhakikisha uwazi na ufanisi. Hivi sasa, Adani na Gridworks ndio kampuni mbili zilizowasilisha maombi ya kuwekeza katika mradi huo wa kusafirisha umeme.

Ameongeza kuwa zipo njia nne zinazotumika kuingia kwenye ubia wa umma na binafsi nchini Tanzania. Njia hizo ni pamoja na serikali kutangaza mradi na kuruhusu ushindani (Solicited), mwekezaji kuomba kuandaa mradi (Unsolicited), serikali kutafuta mwekezaji wa moja kwa moja wa haraka hasa baada ya kuwa tayari imeandaa mradi (Direct Negotiation), na ya utaratibu maalum (Special Arrangement). Katika kesi ya Adani na Gridworks, wameomba kuwekeza kupitia njia ya kusudio la mwekezaji (Unsolicited).

Kafulila amesisitiza kuwa maombi yaliyotolewa na Adani na Gridworks ni hatua ya awali, na michakato ya kuchunguza kama kampuni hizo zina sifa stahiki itaendelea. Serikali kupitia TANESCO itazingatia mahitaji ya mradi huo na kuamua kama kutangaza zabuni kwa kampuni zingine au kuendelea na kati ya waombaji wa sasa.

"Adani ameleta kusudio awekeze, ni hatua ya awali ya kueleza kusudio, na siyo Adani peke yake ambayo imeomba iwekeze, sasa baadaye kwa mujibu wa sheria TANESCO sasa inaweza ikaamua kutangaza na kampuni zote ambazo zinahitaji zikashindana kutegemea mahitaji yake kwa wakati huo. Sasa hiyo iliyofanyika ya Adani na Kampuni nyingine ya Uingereza ya Gridworks Development Partners LLP, ni kampuni mbili ambazo zimeomba kuwekeza, na sheria inawaruhusu kuomba. Sasa ukiomba, ndiyo michakato inaanza ya kama una sifa au hauna sifa", ameeleza Kafulila.

Adani Group, kampuni inayoongozwa na bilionea Gautam Adani, imekuwa ikiongeza uwepo wake katika ukanda wa Afrika Mashariki, huku Tanzania ikiwa sehemu ya mikakati yao ya kuimarisha miundombinu ya nishati kupitia mradi unaotajwa kuwa na thamani ya takriban dola milioni 900. Tanzania pia iko kwenye mazungumzo na Gridworks Development Partners kuhusu mradi wa dola milioni 300.

Kwa upande wake, Tanzania imeweka kipaumbele katika kuboresha miundombinu ya nishati ili kukidhi mahitaji ya umeme yanayoendelea kuongezeka, hatua inayosaidiwa na miradi kama hii ya ubia. Ushirikiano huu pia ni muhimu kwa kuboresha mfumo wa usafirishaji wa umeme wa juu nchini.View attachment 3116153
Ni Adani huyu huyu anayetuhumiwa kwa ufisadi Kenya?
 
Mheshimiwa Kafulila ni Mzalendo na mtu muadilifu sana .hana makuu wala tamaa ya pesa
CCM si wote wako hivyo. Kafulila tunamjua hapendi ufisadi lakini wengine walioko serikali ya ccm siyo watu wema. Mpaka rais kasema pesa inakusanywa nyingi lakini inaishia mifukoni. Generally, mtu yeyote anafanya kazi serikalini ni wa ccm, kwa sababu ccm ndiyo yenye serikali.
 
Waliosema gesi itamaliza kero zote za bajeti wako wapi,walisema mgao wa madini utamaliza kero za bajeti wako wapi wakasema sasa nchi imeingia uchumi wa kati wako wapi.
Matapeli ya mjini hao yakishapata ten percent yanaingia mitini halafunbaadaue yakizee unakikuta kizee kikongwe kimepigwa na Mungu viboko Barabara utasikia nimeshauriwa na daktari nisile vyakula vyenye mafuta,chumvi,sukari nyama choma nk vitamu vyote Mungu anamnyima na mabioioni yote ya mapesa aliyokwimba

Kubwa yuko kwenye dose ba vikapu vya dawa pressure yake ,kisukari chake,ukimwi wake na nagonjwa kibao

Maskini wasioiba cha mtu Mungu anawaacha wanakula vitamu vyote sugar yao,chumvi yao ,vyakula vyenye mafuta vyao ,choma zao nk na hakuna pressure,kisukari wala nini..

Hiyo mipesa wengi mwisho wa siku Inawatokea puani hata wasipokamatwa kushitakiwa Mungu anashughulika nao perpendicularly
 
Hi
Ndugu zangu Watanzania,

Kampuni mbili kubwa, Adani Group ya India na Gridworks Development Partners LLP ya Uingereza, zimeonesha nia ya kuwekeza katika mradi wa kusafirisha umeme nchini Tanzania kupitia mfumo wa ubia. Mradi huo unalenga kujenga njia za kusafirisha umeme wa juu kwa lengo la kuboresha miundombinu ya nishati nchini Tanzania.

Akizungumza kwa njia ya simu na Jambo TV, David Kafulila, Kamishna wa Ubia wa Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), amefafanua kuwa utaratibu huo unajulikana kama "expression of interests,"ambapo wawekezaji wanaweza kueleza nia yao ya kuwekeza kwenye miradi kwa kushirikiana na serikali.

"Kampuni (Wawekezaji) mbili ambazo zimeomba kufanya mradi wa kusafirisha umeme kwa utaratibu wa ubia, inaitwa expression of interests yaani kwamba inaruhusu mwekezaji kueleza nia yake ya kuwekeza kwenye mradi fulani katika utaratibu wa ubia na serikali" ameeleza Kafulila.

Kafulila ameeleza zaidi kuwa sheria za ubia nchini Tanzania zinaruhusu kampuni kuwasilisha maombi yao kwa hatua za awali, na serikali inaweza kuamua kuitangaza miradi hiyo kwa kampuni zingine kushindana ili kuhakikisha uwazi na ufanisi. Hivi sasa, Adani na Gridworks ndio kampuni mbili zilizowasilisha maombi ya kuwekeza katika mradi huo wa kusafirisha umeme.

Ameongeza kuwa zipo njia nne zinazotumika kuingia kwenye ubia wa umma na binafsi nchini Tanzania. Njia hizo ni pamoja na serikali kutangaza mradi na kuruhusu ushindani (Solicited), mwekezaji kuomba kuandaa mradi (Unsolicited), serikali kutafuta mwekezaji wa moja kwa moja wa haraka hasa baada ya kuwa tayari imeandaa mradi (Direct Negotiation), na ya utaratibu maalum (Special Arrangement). Katika kesi ya Adani na Gridworks, wameomba kuwekeza kupitia njia ya kusudio la mwekezaji (Unsolicited).

Kafulila amesisitiza kuwa maombi yaliyotolewa na Adani na Gridworks ni hatua ya awali, na michakato ya kuchunguza kama kampuni hizo zina sifa stahiki itaendelea. Serikali kupitia TANESCO itazingatia mahitaji ya mradi huo na kuamua kama kutangaza zabuni kwa kampuni zingine au kuendelea na kati ya waombaji wa sasa.

"Adani ameleta kusudio awekeze, ni hatua ya awali ya kueleza kusudio, na siyo Adani peke yake ambayo imeomba iwekeze, sasa baadaye kwa mujibu wa sheria TANESCO sasa inaweza ikaamua kutangaza na kampuni zote ambazo zinahitaji zikashindana kutegemea mahitaji yake kwa wakati huo. Sasa hiyo iliyofanyika ya Adani na Kampuni nyingine ya Uingereza ya Gridworks Development Partners LLP, ni kampuni mbili ambazo zimeomba kuwekeza, na sheria inawaruhusu kuomba. Sasa ukiomba, ndiyo michakato inaanza ya kama una sifa au hauna sifa", ameeleza Kafulila.

Adani Group, kampuni inayoongozwa na bilionea Gautam Adani, imekuwa ikiongeza uwepo wake katika ukanda wa Afrika Mashariki, huku Tanzania ikiwa sehemu ya mikakati yao ya kuimarisha miundombinu ya nishati kupitia mradi unaotajwa kuwa na thamani ya takriban dola milioni 900. Tanzania pia iko kwenye mazungumzo na Gridworks Development Partners kuhusu mradi wa dola milioni 300.

Kwa upande wake, Tanzania imeweka kipaumbele katika kuboresha miundombinu ya nishati ili kukidhi mahitaji ya umeme yanayoendelea kuongezeka, hatua inayosaidiwa na miradi kama hii ya ubia. Ushirikiano huu pia ni muhimu kwa kuboresha mfumo wa usafirishaji wa umeme wa juu nchini.View attachment 3116153
Hizi mada ndio zinafaa kusemwa mkuu,Sasa umeanza kujua kijana,sio kila siku mapambio!
 
Hakuna anayeweza kukubali ujinga wa Namna hiyo chini ya uongozi wa mzalendo wetu wa kweli Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Tatizo lako wewe unaleta Propaganda tu badala ya kujikita kwenye discussion.

Kwamba una majibu ya kila kitu?

Unapuuza kwa makusudi kabisa maswali ambayo Watanzania wanauliza. Yaani Unajiondoa ufahamu.

Hatahivyo, ni vizuri unatambua kuwa ni "Ujinga" kuleta Wawekezaji.

... na Kwamba ujinga huo unatokea sana katika nchi kama yetu, zinazotaka kujikwamua kiuchumi na kuondokana na makucha ya "walowezi" na Utegemezi.

....Haswa pale ambapo tumeshatumia kiasi cha $3 Bilion kuwekeza katika miuondombinu ya Umeme. Sasa hawa wawekezaji wanakuja kuwekeza kwenye nini wakati kila kitu kipo?

We can be self sufficient and Independent. It is just a matter of Mindset.

Ati? Mama Samia ni Mzalendo.
Uzalendo wake ni nini?
 
Matapeli ya mjini hao yakishapata ten percent yanaingia mitini halafunbaadaue yakizee unakikuta kizee kikongwe kimepigwa na Mungu viboko Barabara utasikia nimeshauriwa na daktari nisile vyakula vyenye mafuta,chumvi,sukari nyama choma nk vitamu vyote Mungu anamnyima na mabioioni yote ya mapesa aliyokwimba

Kubwa yuko kwenye dose ba vikapu vya dawa pressure yake ,kisukari chake,ukimwi wake na nagonjwa kibao

Maskini wasioiba cha mtu Mungu anawaacha wanakula vitamu vyote sugar yao,chumvi yao ,vyakula vyenye mafuta vyao ,choma zao nk na hakuna pressure,kisukari wala nini..

Hiyo mipesa wengi mwisho wa siku Inawatokea puani hata wasipokamatwa kushitakiwa Mungu anashughulika nao perpendicularly
Kuna Jimbo la wakatoliki wahuni walipiga pesa ya white elephant projects,dadeki wezi wanawaibia kila kukicha,akinunua TV kubwa wasela wanabeba,akinunua tenda hapati anaishia kujipa matumaini,wakijenga nyumba ya kupangisha ndani ya miezi mitatu wateja wanajenga zao na waacha nyumbaa bila wateja,mtu akikuibia mwachie Mungu amchape kila fimbo ni zake.
 
Tatizo lako wewe unaleta Propaganda tu badala ya kujikita kwenye discussion.

Kwamba una majibu ya kila kitu?

Unapuuza kwa makusudi kabisa maswali ambayo Watanzania wanauliza. Yaani Unajiondoa ufahamu.

Hatahivyo, ni vizuri unatambua kuwa ni "Ujinga" kuleta Wawekezaji.

... na Kwamba ujinga huo unatokea sana katika nchi kama yetu, zinazotaka kujikwamua kiuchumi na kuondokana na makucha ya "walowezi" na Utegemezi.

....Haswa pale ambapo tumeshatumia kiasi cha $3 Bilion kuwekeza katika miuondombinu ya Umeme. Sasa hawa wawekezaji wanakuja kuwekeza kwenye nini wakati kila kitu kipo?

We can be self sufficient and Independent. It is just a matter of Mindset.

Ati? Mama Samia ni Mzalendo.
Uzalendo wake ni nini?
Hakuna watu wanawaamini matapeli wa kizungu kama bibi yule,hata wakisema maji ya Kizmkazi ni dhahabu ya Tanzania breweries atawaamini na kuwapigia magoti kumbe Wazee wa Bandari wanasepa na kijiji.
Kwanza kabisa mzungu sio rafiki.mzungu ni mwizi kupitia.utakatishaji wa Dola,wanachapisha dola then wanazitakatisha kwa kofia ya misaada kumbe ni deni.
Mzungu huyu wa dawa feki na Pdidy ndani yake akuletee.maendelea wakati hakuna watu wanatuombea njaa kama wazungu,hebu Lumumba amkeni mnaoigwa na kitu kizito.
 
Hapi hakuna bishara ni sawa na mtu kuomba kazi ambayo haipo jalafu unatoka hadharani kutangaza kuwa nafasi ya kazi fulani wameomba watu elfu 10 wakati hiyo kazi haipo!

Kafulila mjinga sana kwa hilo aweza iingiza serikali matatani kisheria

Kutangaza majina ya watu walioonyesha expression of interest huwa mchakato unakuwa umeshapitiwa na kamati mbalimbali na serikali kuridhia ndipo ubatoka hadharani kutamka

Biashara haipo halafu unatoka hadharani kutangaza kuwa fulani na fulani wameomba tenda ya biashara ambayo haipo kwa wakati huo nini hicho?
Halafu yuko India huko na anayazungumza hayo.

Hivi ndivyo serikali inavyofanya kazi??
 
Back
Top Bottom