David Kafulila: Awamu ya 6 ni awamu ya 5 Kiuchumi na Kasi ya Utekelezaji Miradi

Samia kama Magufuli
 
Huyu Kafulila watu wengi hawajui zaidi , SASA tangu ameingia PPP iliyoanza tangu wakati wa JK mwaka 2009, lakn mabadiliko na mjadala wa PPP nikama vile imeanza na Kafulila. Mwamko wa Umma, Serikali na Sekta Binafsi sasa ni PPP ndio habari nzima.
 
Apongezwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…