David Kafulila: Awamu ya 6 ni awamu ya 5 Kiuchumi na Kasi ya Utekelezaji Miradi

Kazi na utu kazi inaendelea,
 
Mijadala hii Ina afya zaidi
 
nakubaliana na bwana kafulila kwenye hili, Ulingano mkubwa wa serikali ya Rai samia na Magufuli ni utekelezaji wa miradi mingi kwa pamoja
 
True
 
Haya ni baadhi ya mambo mazuri ya Rais Samia:


  1. Kufungua Tanzania kimataifa na kuongeza uwekezaji kupitia diplomasia ya kiuchumi.
  2. Kuendeleza miradi mikubwa ya kimkakati kama SGR, Bwawa la Julius Nyerere na uboreshaji wa viwanja vya ndege na bandari.
  3. Kusimamia elimu bila ada na kuongeza miundombinu ya shule, vyuo na ajira za walimu.
  4. Kuboresha huduma za afya kwa kujenga hospitali, vituo vya afya na kupeleka vifaa tiba vya kisasa.
  5. Kusogeza huduma za maji na nishati vijijini na mijini ili wananchi wapate maisha bora.
  6. Kuimarisha mshikamano wa kitaifa kwa kuunganisha Watanzania bila kujali tofauti za kisiasa, kijamii au kidini.
  7. Kusikiliza wananchi kwa karibu na kuwaongoza kwa mtindo wa ushirikishwaji na uwazi.
 
Hivi huyu Kufulila ana IDs ngapi humu?
 
nakubaliana na Kafulila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…