David Kafulila: Deni la Tanzania ukilinganisha na Mataifa mengine ya bara la Africa ni nafuu

Benki ya dunia ndio hukopesha nchi mbalimbali.
Lakini pia kuna baadhi ya nchi maskini zinaweza kukopeshwa hela kutoka kwa nchi tajiri kwa masharti maalumu
 
Hakuna Nchi isiyokopa. Cha muhimu Mikopo ielekezwe katika madhumuni yaliyokusudiwa.
Tujifunze kukopa na kulipa kwa kumalizia awamu husika. Inachanganya kuambiwa tunalipa madeni ya toka Marehemu Nyerere alipokopa.
Hoja ni hiyo mikopo ni kwajili ya nini?
 
Ungesoma kabisa bandiko lote
 
Kafulila ndio mtu pekee anamtetea Samia Kwa facts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…