David Kafulila: Hakuna siku Serikali itaacha kukopa kwani hata Marekani na China nao wanakopa zaidi ya Tanzania

Mzee wa kuwachana Live akina Mpina
 
Tatizo sio kukopa, tatizo ni kukopa kwa ajili ya kumcheza ngoma mwali🙁
 
Chawa promax
 
Bravo Kafulila
 
Ni Kweli japo ukweli mchungu
 
Very poor excuse... Very poor reasoning
 
Hii hoja ya Kweli japo inaumiza
 
Atofautishe kukopa kibiashara na utekeleza WA viwango na kukopa kisiasa na utekelezaji ulio chini ya viwango.
Mfano ni hizi brt, barabara za mwendo Kasi tumejenga lakini hazitumiki, huu ni uchumi. Bwawa la Nyerere tumejenga lakini hatulitumi kikamilifu, utarudishaje mkopo katika Hali kama hiyo. Na mifano ni lukuki
 
Hii shule ni Kali sana Asante Mwami
 
Ndio maana watu wanataka PPP
 
Ndio maana watu wanataka PPP
Tulishakuwa na PPP- Kadco, alliance air, saa-atc, Novotel Mt Meru na Accord Net group etc, hivyo labda wewe ni Mtoto wa juzi hivyo hujui hizo ppp na ni mzuri kwenye kukariri bila kufanya tathmini
 
Mama Samia Mitano tena na Kazi iendelee
 
Tulishakuwa na PPP- Kadco, alliance air, saa-atc, Novotel Mt Meru na Accord Net group etc, hivyo labda wewe ni Mtoto wa juzi hivyo hujui hizo ppp na ni mzuri kwenye kukariri bila kufanya tathmini
Mkuu unaweza kufanya kidogo hoja zako?
 
Mkuu unaweza kufanya kidogo hoja zako?
Ni kwama tiba ya rushwa Kwa Tz sio PPP kama Wana siasa wetu wanavyotaka kutudanganya. Au kupitia Sera mbali mbali zinazotolewa na wanasiasa na kusimamiwa na wanasiasa hao hao. Kupinga rushwa na kuipunguza kwa asilimia kubwa itatokana na nia ya dhati, na kuweka mifumo inayo zingatia utaalamu na sio siasa
 
Naungana na hoja yako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…