David Kafulila: Hakuna siku Serikali itaacha kukopa kwani hata Marekani na China nao wanakopa zaidi ya Tanzania

===
Akiongea katika Kipindi cha DK 45 kinachorushwa "LIVE" na kituo cha runinga cha ITV Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini PPPC Bw David Kafulila alikuwa na haya ya kuwaambia Watanzania,

Akifafanua kuhusu Tanzania kuendelea kukopa na kujenga miradi mbalimbali ya maendeleo alisema "Kiuchumi na Kibiashara huwezi kukopeshwa kama huna uwezo wa kukopesheka ili mtu au taasisi ikopeshwe kwa masharti mazuri Lazima awe vizuri Kiuchumi hii ni Sayansi ipo kuanzia ngazi ya familia mpaka Ile ya Serikali" alisema Bwana David Kafulila.

Tanzania imepimwa kwa vigezo vyote ukianzia na vile vya World Bank, IMF na hata taasisi za credit rating kama Moody's na Fitch wote wanasema Tanzania deni lake ni himilivu na stahimilivu ndio maana hakuna siku Serikali itaacha kukopa hata Marekani, China, Urusi na Japani wote hawa wanakopa alisisitiza Kafulila.

China Taifa lenye dhahabu nyingi kuliko Taifa lolote Dunia inakopa, Urusu yenye gesi nyingi duniani nayo inakopa Marekani yenye utajiri wa Mafuta duniani nayo inakopa mtu anayesema Tanzania tunarasilimali hivyo tusikope ukweli ni kwamba Tanzania hatuna rasilimali zote zote kuyapiku hayo mataifa lakini na wao wanakopa tatizo sio kukopa labda tatizo liwe unakopa kwaajili ya kufanya nini ila kukopa ili kujenga miradi ya Maendeleo ndio haswa tunapashwa kuendelea kukopa- alisema David Kafulila Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC-Tanzania.

Sasa msikilize mpaka mwisho.

View attachment 3226348
===
Kweli nyani ni nyani tu, analinganisha uwezo wa kukopa kwa nchi inayozindua 6th genaration steatlh fighter jet, na nchi ambayo bado matundu ya choo mpaka upate msaada
 
===
Akiongea katika Kipindi cha DK 45 kinachorushwa "LIVE" na kituo cha runinga cha ITV Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini PPPC Bw David Kafulila alikuwa na haya ya kuwaambia Watanzania,

Akifafanua kuhusu Tanzania kuendelea kukopa na kujenga miradi mbalimbali ya maendeleo alisema "Kiuchumi na Kibiashara huwezi kukopeshwa kama huna uwezo wa kukopesheka ili mtu au taasisi ikopeshwe kwa masharti mazuri Lazima awe vizuri Kiuchumi hii ni Sayansi ipo kuanzia ngazi ya familia mpaka Ile ya Serikali" alisema Bwana David Kafulila.

Tanzania imepimwa kwa vigezo vyote ukianzia na vile vya World Bank, IMF na hata taasisi za credit rating kama Moody's na Fitch wote wanasema Tanzania deni lake ni himilivu na stahimilivu ndio maana hakuna siku Serikali itaacha kukopa hata Marekani, China, Urusi na Japani wote hawa wanakopa alisisitiza Kafulila.

China Taifa lenye dhahabu nyingi kuliko Taifa lolote Dunia inakopa, Urusu yenye gesi nyingi duniani nayo inakopa Marekani yenye utajiri wa Mafuta duniani nayo inakopa mtu anayesema Tanzania tunarasilimali hivyo tusikope ukweli ni kwamba Tanzania hatuna rasilimali zote zote kuyapiku hayo mataifa lakini na wao wanakopa tatizo sio kukopa labda tatizo liwe unakopa kwaajili ya kufanya nini ila kukopa ili kujenga miradi ya Maendeleo ndio haswa tunapashwa kuendelea kukopa- alisema David Kafulila Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC-Tanzania.

Sasa msikilize mpaka mwisho.

View attachment 3226348
===
nimemuuliza ChatGPT.
"Marekani inavyo kopa nisawa na Tanzania inavyo kopa?"

MAJIBU.
Marekani na Tanzania zote hukopa, lakini kuna tofauti kubwa katika jinsi zinavyofanya hivyo na vyanzo vya mikopo yao.

1. Marekani Inavyokopa

Marekani hukopa pesa kwa kuuza dhamana za serikali (Treasury bonds, bills, na notes) kwa wawekezaji wa ndani na wa nje, ikiwa ni pamoja na benki, watu binafsi, mashirika makubwa, na hata nchi kama China na Japan. Kwa sababu dola ya Marekani ni sarafu kuu ya dunia, nchi hii ina uwezo wa kuchapisha pesa mpya bila kupunguza thamani yake kwa haraka sana.

Pia, Benki Kuu ya Marekani (Federal Reserve) inaweza kusaidia kwa kununua dhamana hizi na kuongeza ukwasi kwenye uchumi.

2. Tanzania Inavyokopa

Tanzania hukopa kutoka kwa vyanzo viwili kuu:

  • Mikopo ya ndani: Serikali huuza dhamana za serikali (Treasury bonds na bills) kwa benki za ndani, mashirika, na wawekezaji wa ndani.
  • Mikopo ya nje: Hii hutoka kwa mashirika ya kimataifa kama Benki ya Dunia, IMF, na nchi wahisani kama China, Ufaransa, na Japan. Mikopo hii mara nyingi huja na masharti fulani kama viwango vya riba au vipaumbele vya maendeleo.

Tofauti na Marekani, Tanzania haiwezi kuchapisha pesa kiholela bila kusababisha mfumuko mkubwa wa bei kwa sababu sarafu yake (Shilingi) haikubaliki sana kimataifa.

3. Tofauti Kuu

  • Marekani inaweza kuchapisha pesa zaidi bila kushusha thamani yake kwa haraka, Tanzania haiwezi.
  • Marekani inakopa kwa kuuza dhamana zake kwa wawekezaji wa kimataifa, Tanzania inategemea zaidi mikopo kutoka kwa mashirika ya kifedha.
  • Deni la Marekani ni kubwa sana, lakini uchumi wake una uwezo wa kulihimili zaidi kuliko Tanzania.

Kwa hiyo, ingawa zote zinakopa, Marekani ina uhuru mkubwa wa kifedha kuliko Tanzania.
 
===
Akiongea katika Kipindi cha DK 45 kinachorushwa "LIVE" na kituo cha runinga cha ITV Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini PPPC Bw David Kafulila alikuwa na haya ya kuwaambia Watanzania,

Akifafanua kuhusu Tanzania kuendelea kukopa na kujenga miradi mbalimbali ya maendeleo alisema "Kiuchumi na Kibiashara huwezi kukopeshwa kama huna uwezo wa kukopesheka ili mtu au taasisi ikopeshwe kwa masharti mazuri Lazima awe vizuri Kiuchumi hii ni Sayansi ipo kuanzia ngazi ya familia mpaka Ile ya Serikali" alisema Bwana David Kafulila.

Tanzania imepimwa kwa vigezo vyote ukianzia na vile vya World Bank, IMF na hata taasisi za credit rating kama Moody's na Fitch wote wanasema Tanzania deni lake ni himilivu na stahimilivu ndio maana hakuna siku Serikali itaacha kukopa hata Marekani, China, Urusi na Japani wote hawa wanakopa alisisitiza Kafulila.

China Taifa lenye dhahabu nyingi kuliko Taifa lolote Dunia inakopa, Urusu yenye gesi nyingi duniani nayo inakopa Marekani yenye utajiri wa Mafuta duniani nayo inakopa mtu anayesema Tanzania tunarasilimali hivyo tusikope ukweli ni kwamba Tanzania hatuna rasilimali zote zote kuyapiku hayo mataifa lakini na wao wanakopa tatizo sio kukopa labda tatizo liwe unakopa kwaajili ya kufanya nini ila kukopa ili kujenga miradi ya Maendeleo ndio haswa tunapashwa kuendelea kukopa- alisema David Kafulila Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC-Tanzania.

Sasa msikilize mpaka mwisho.

View attachment 3226348
===
Ukweli wa kutoa makamasi Kafulila heshima yako mzee
 
Back
Top Bottom