Yes kama ilivyo kwakoMtoa mada (Kafulila) anapalilia ugali wake tu sio lazima kama kukopa, hoja zake zimekosa mashiko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes kama ilivyo kwakoMtoa mada (Kafulila) anapalilia ugali wake tu sio lazima kama kukopa, hoja zake zimekosa mashiko
Kweli nyani ni nyani tu, analinganisha uwezo wa kukopa kwa nchi inayozindua 6th genaration steatlh fighter jet, na nchi ambayo bado matundu ya choo mpaka upate msaada===
Akiongea katika Kipindi cha DK 45 kinachorushwa "LIVE" na kituo cha runinga cha ITV Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini PPPC Bw David Kafulila alikuwa na haya ya kuwaambia Watanzania,
Akifafanua kuhusu Tanzania kuendelea kukopa na kujenga miradi mbalimbali ya maendeleo alisema "Kiuchumi na Kibiashara huwezi kukopeshwa kama huna uwezo wa kukopesheka ili mtu au taasisi ikopeshwe kwa masharti mazuri Lazima awe vizuri Kiuchumi hii ni Sayansi ipo kuanzia ngazi ya familia mpaka Ile ya Serikali" alisema Bwana David Kafulila.
Tanzania imepimwa kwa vigezo vyote ukianzia na vile vya World Bank, IMF na hata taasisi za credit rating kama Moody's na Fitch wote wanasema Tanzania deni lake ni himilivu na stahimilivu ndio maana hakuna siku Serikali itaacha kukopa hata Marekani, China, Urusi na Japani wote hawa wanakopa alisisitiza Kafulila.
China Taifa lenye dhahabu nyingi kuliko Taifa lolote Dunia inakopa, Urusu yenye gesi nyingi duniani nayo inakopa Marekani yenye utajiri wa Mafuta duniani nayo inakopa mtu anayesema Tanzania tunarasilimali hivyo tusikope ukweli ni kwamba Tanzania hatuna rasilimali zote zote kuyapiku hayo mataifa lakini na wao wanakopa tatizo sio kukopa labda tatizo liwe unakopa kwaajili ya kufanya nini ila kukopa ili kujenga miradi ya Maendeleo ndio haswa tunapashwa kuendelea kukopa- alisema David Kafulila Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC-Tanzania.
Sasa msikilize mpaka mwisho.
View attachment 3226348
===
Sawa lakini Marekani itakopaTrump kwenye hotuba yake bungeni kasema hatakopa
Tundu la choo wapi?Kweli nyani ni nyani tu, analinganisha uwezo wa kukopa kwa nchi inayozindua 6th genaration steatlh fighter jet, na nchi ambayo bado matundu ya choo mpaka upate msaada
nimemuuliza ChatGPT.===
Akiongea katika Kipindi cha DK 45 kinachorushwa "LIVE" na kituo cha runinga cha ITV Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini PPPC Bw David Kafulila alikuwa na haya ya kuwaambia Watanzania,
Akifafanua kuhusu Tanzania kuendelea kukopa na kujenga miradi mbalimbali ya maendeleo alisema "Kiuchumi na Kibiashara huwezi kukopeshwa kama huna uwezo wa kukopesheka ili mtu au taasisi ikopeshwe kwa masharti mazuri Lazima awe vizuri Kiuchumi hii ni Sayansi ipo kuanzia ngazi ya familia mpaka Ile ya Serikali" alisema Bwana David Kafulila.
Tanzania imepimwa kwa vigezo vyote ukianzia na vile vya World Bank, IMF na hata taasisi za credit rating kama Moody's na Fitch wote wanasema Tanzania deni lake ni himilivu na stahimilivu ndio maana hakuna siku Serikali itaacha kukopa hata Marekani, China, Urusi na Japani wote hawa wanakopa alisisitiza Kafulila.
China Taifa lenye dhahabu nyingi kuliko Taifa lolote Dunia inakopa, Urusu yenye gesi nyingi duniani nayo inakopa Marekani yenye utajiri wa Mafuta duniani nayo inakopa mtu anayesema Tanzania tunarasilimali hivyo tusikope ukweli ni kwamba Tanzania hatuna rasilimali zote zote kuyapiku hayo mataifa lakini na wao wanakopa tatizo sio kukopa labda tatizo liwe unakopa kwaajili ya kufanya nini ila kukopa ili kujenga miradi ya Maendeleo ndio haswa tunapashwa kuendelea kukopa- alisema David Kafulila Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC-Tanzania.
Sasa msikilize mpaka mwisho.
View attachment 3226348
===
Wapi?Tundu la choo wapi?
Ukweli wa kutoa makamasi Kafulila heshima yako mzee===