David Kafulila: Hakuna siku Serikali itaacha kukopa kwani hata Marekani na China nao wanakopa zaidi ya Tanzania

Ukweli mchungu
 
Akili za chawa ni za chawa tu,ogopa sana mtu aliyekuwa na Akili Alafu akapoteana,hata akiongea unaona kabisa anaongea kwa ajili ya tumbo lake.
 
Kipindi wanakupa jina la 2mbili ulikuwa timamu sasa sijui tukuiteje sasa hivi.
 
Asante Kafulila kwa kutupa Ukweli mchungu
 
Kafulila ni mtu mzuri sana kwa Taifa hili but wengi hatuwezi mwelewa kwa sasa
 
Tatizo Mkopo Unafanya kazi gani?
 
Sawa ila Kafulila ni asset
 
😆😆
 
Sio tu kwa Serikali hilo hata kwenye familia ndivyo ilivyo, Familia zote karibu Zina Madeni hivyo hata Serikali kama baba ni lazima ikope ili watoto wale wavae.
 
Huyu mwamba akili ipo
 
Kafulila we maskini, huwezi kuongelea nchi acha njaa kijana.
 
Sawa ila .......
 
Umeeleweka sana
 
Mtoa mada (Kafulila) anapalilia ugali wake tu sio lazima kama kukopa, hoja zake zimekosa mashiko
 
Kafulila hao USA na China nao wanakopeshwa hela za kujenga bara bara kama Tanzania sijui jamaa zetu walisoma shule za wapi harafu hapo kaita na Waandishi wa habari kabisa..
 
Kafulila hao USA na China nao wanakopeshwa hela za kujenga bara bara kama Tanzania sijui jamaa zetu walisoma shule za wapi harafu hapo kaita na Waandishi wa habari kabisa..
Lakini kukopa ni kukopa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…