David Kafulila: Kampuni ya COVEC ya China kumwaga Tsh. Trilioni 2.7 kujenga barabara 10 za kulipia Jijini Dar kwa njia ya PPP

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Akizungumza mwishoni mwa wiki, kamishna wa Miradi ya PPP bwana David Kafulila amesema kampuni ya COVEC ya China inapanga kutumia zaidi ya Trilioni 2.7 ($1bln) kwaajili ya kujenga Barabara 10 za mzunguko wa Nje Jijini Dar Kwa lengo la kupunguza Msongamano.

Barabara hizo ambazo hazijaainishwa zinajengwa Kwa njia ya Ubia yaani PPP baina ya sekta binafsi na Serikali na zitakuwa ni toll (za kulipia) expressway roads.

View: https://www.instagram.com/p/DBYCIn1K26l/?igsh=MTRrZDFhYThrMGdpaQ==

My Take
Kafulila apunguze kutoa taarifa za mara Kwa mara kama hazijafikia kuanza utekelezaji. Anatangulia kuliko hata wajenzi wenyewe ambao ni TANROAD.

Aliwahi sema ujenzi wa Njia 6 kutoka Kibaha hadi Chalinze utaanza mwezi wa 4 mvua zikiisha akitajwa kampuni za China kushinda tenda hadi Sasa ni mwisho wa mwaka hakuna ujenzi unaendelea ,unaweza kusoma hapa Kampuni 3 za China zapendekezwa kujenga Barabara ya Njia 4 ya kulipia Tozo (Kibaha-Mlandizi-Chalinze)

Bwana Kafulila unakoelekea na kupoteza credibility yako, hold on mambo ikiwa tayari kuliwa ndio weka taarifa kama Wizara na TANROAD wanavyofanya.

View: https://www.instagram.com/p/DBXt1eJoG7f/?igsh=eTF6aGFkYXJoa2tz
 
Akizungumza mwishoni mwa wiki, kamishna wa Miradi ya PPP bwana David Kafulila amesema kampuni ya COVEC ya China inapanga kutumia zaidi ya Trilioni 2.7 ($1bln) kwaajili ya kujenga Barabara 10 za mzunguko wa Nje Jijini Dar Kwa lengo la kupunguza Msongamano.

Barabara hizo ambazo hazijaainishwa zinajengwa Kwa njia ya Ubia yaani PPP baina ya sekta binafsi na Serikali na zitakuwa ni toll (za kulipia) expressway roads.

View: https://www.instagram.com/p/DBX-EfEMZay/?igsh=bjMydzdwOHA0amF6

My Take
Kafulila apunguze kutoa taarifa za mara Kwa mara kama hazijafikia kuanza utekelezaji. Anatangulia kuliko hata wajenzi wenyewe ambao ni TANROAD.

Aliwahi sema ujenzi wa Njia 6 kutoka Kibaha hadi Chalinze utaanza mwezi wa 4 mvua zikiisha akitajwa kampuni za China kushinda tenda hadi Sasa ni mwisho wa mwaka hakuna ujenzi unaendelea ,unaweza kusoma hapa Kampuni 3 za China zapendekezwa kujenga Barabara ya Njia 4 ya kulipia Tozo (Kibaha-Mlandizi-Chalinze)

Bwana Kafulila unakoelekea na kupoteza credibility yako, hold on mambo ikiwa tayari kuliwa ndio weka taarifa kama Wizara na TANROAD wanavyofanya.

View: https://www.instagram.com/p/DBXt1eJoG7f/?igsh=eTF6aGFkYXJoa2tz

Mtacheka sana siku mkija kugundua PPP za kichina ni camouflage za Bibi Bomba😁 kama ile ya manguli wa Bandarini.
 
Choko kweli wewe, alivyokufa si mlianza mchakato wa kuwaleta wachina
Nani alianza? Serikali ilisema itajengwa yenyewe Kwa pesa zake.
20230215_120116.jpg
 
Back
Top Bottom