David Kafulila: Kampuni ya COVEC ya China kumwaga Tsh. Trilioni 2.7 kujenga barabara 10 za kulipia Jijini Dar kwa njia ya PPP

Akizungumza mwishoni mwa wiki, kamishna wa Miradi ya PPP bwana David Kafulila amesema kampuni ya COVEC ya China inapanga kutumia zaidi ya Trilioni 2.7 ($1bln) kwaajili ya kujenga Barabara 10 za mzunguko wa Nje Jijini Dar Kwa lengo la kupunguza Msongamano.

Barabara hizo ambazo hazijaainishwa zinajengwa Kwa njia ya Ubia yaani PPP baina ya sekta binafsi na Serikali na zitakuwa ni toll (za kulipia) expressway roads.

View: https://www.instagram.com/p/DBYCIn1K26l/?igsh=MTRrZDFhYThrMGdpaQ==

My Take
Kafulila apunguze kutoa taarifa za mara Kwa mara kama hazijafikia kuanza utekelezaji. Anatangulia kuliko hata wajenzi wenyewe ambao ni TANROAD.

Aliwahi sema ujenzi wa Njia 6 kutoka Kibaha hadi Chalinze utaanza mwezi wa 4 mvua zikiisha akitajwa kampuni za China kushinda tenda hadi Sasa ni mwisho wa mwaka hakuna ujenzi unaendelea ,unaweza kusoma hapa Kampuni 3 za China zapendekezwa kujenga Barabara ya Njia 4 ya kulipia Tozo (Kibaha-Mlandizi-Chalinze)

Bwana Kafulila unakoelekea na kupoteza credibility yako, hold on mambo ikiwa tayari kuliwa ndio weka taarifa kama Wizara na TANROAD wanavyofanya.

View: https://www.instagram.com/p/DBXt1eJoG7f/?igsh=eTF6aGFkYXJoa2tz

Cde Choices Variables

Hivi unaijua vizuri Sheria ya PPP?

Sheria ya ppp inataka uwazi ktk hatua zote za mradi ili umma ujue tangu mwanzo .

Kenya waliibuka tu na mkataba wa Airport umma ukauliza mlianza lini

Nadhani Kafulila na Bashungwa wote ni wateule wa Rais na wote wanafanya kazi ya kumsaidia Rais,

Usiwachonganishe
 
Huu mji utajengwa na kubomolewa Kila siku mpaka mwisho wa Dunia na hizi foleni hazitoisha.

Mipango ya zimamoto haiwezi kumaliza tatizo zaidi ya kupooza tu, bila mikakati madhubutu ya muda mrefu na dhamira ya dhati tutaendelea kupiga mark time tu.
Mwendokasi ya gongo la mboto na tabata zikiisha na foleni inaisha,maana njia ya buguruni,tabata,vingunguti gari nyingi mno barabara finyu
 
Akizungumza mwishoni mwa wiki, kamishna wa Miradi ya PPP bwana David Kafulila amesema kampuni ya COVEC ya China inapanga kutumia zaidi ya Trilioni 2.7 ($1bln) kwaajili ya kujenga Barabara 10 za mzunguko wa Nje Jijini Dar Kwa lengo la kupunguza Msongamano.

Barabara hizo ambazo hazijaainishwa zinajengwa Kwa njia ya Ubia yaani PPP baina ya sekta binafsi na Serikali na zitakuwa ni toll (za kulipia) expressway roads.

View: https://www.instagram.com/p/DBYCIn1K26l/?igsh=MTRrZDFhYThrMGdpaQ==

My Take
Kafulila apunguze kutoa taarifa za mara Kwa mara kama hazijafikia kuanza utekelezaji. Anatangulia kuliko hata wajenzi wenyewe ambao ni TANROAD.

Aliwahi sema ujenzi wa Njia 6 kutoka Kibaha hadi Chalinze utaanza mwezi wa 4 mvua zikiisha akitajwa kampuni za China kushinda tenda hadi Sasa ni mwisho wa mwaka hakuna ujenzi unaendelea ,unaweza kusoma hapa Kampuni 3 za China zapendekezwa kujenga Barabara ya Njia 4 ya kulipia Tozo (Kibaha-Mlandizi-Chalinze)

Bwana Kafulila unakoelekea na kupoteza credibility yako, hold on mambo ikiwa tayari kuliwa ndio weka taarifa kama Wizara na TANROAD wanavyofanya.

View: https://www.instagram.com/p/DBXt1eJoG7f/?igsh=eTF6aGFkYXJoa2tz

Title na habari haviendani

Yamwaga…. Ni sawa na kusema inapanga kutumia?

Vipi taratibu za ununuzi zimekamilika?

Why is ppp being reported as if tunafanyiwa favor wakati in fact the reverse could be true??
 
Cde Choices Variables

Hivi unaijua vizuri Sheria ya PPP?

Sheria ya ppp inataka uwazi ktk hatua zote za mradi ili umma ujue tangu mwanzo .

Kenya waliibuka tu na mkataba wa Airport umma ukauliza mlianza lini

Nadhani Kafulila na Bashungwa wote ni wateule wa Rais na wote wanafanya kazi ya kumsaidia Rais,

Usiwachonganishe
THANK YOU

PPP IMEINGIZWA KWENYE SIASA NA HATA NAMNA INAVYOKUA REPORTED AIKU HIZI NI USHABIKI MTUPU

NIMESIKILIZA A FEW PPP PROJECT …. Unakuta taasisi Tena ya kibiashara na ina bodi yake corporate kabisa haijaongea kitu lakini someone else anaisemea tena with conviction and directives

Hapa kuna shida ya governance

Dalali anaposemea wenye nyumba si sawa
 
Mwendokasi ya gongo la mboto na tabata zikiisha na foleni inaisha,maana njia ya buguruni,tabata,vingunguti gari nyingi mno barabara finyu

Shida ya Dar es salaam ni ufinyu wa Barabara, wingi wa magari na watu, idadi ya watu inayokuwa, ukuaji wa population usioendana na ukubwa na ukubwa wa miundombinu, kushindwa kupangilia mji nk.

Muunganiko wa matatizo mengi ndio chanzo cha foleni, kuiondoa inabidi ufanye set-up ya uhakika kwenye shida zote hizo.

Wakati miaka ya 90 tunajenga morogoro road tuliamini tumemamaliza foleni, wakati tunajenga Mandela road nk tuliamini hivyohivyo, wakati tunajenga fylover ubungo na brt morogoro road tuliamini hivyohivyo.
Ile barabara ya Tabata kuja Mbezi kupitia kinyerezi ilikuwa vumbi wakati tunajenga tuliamini tatizo limeisha, tabu Iko pakepale.

Tusipofikiri vizuri Kuna hatari kuwa tunajenga dar es salaam mpaka mwisho wa Dunia.
 
Daladala ndiyo zinatia foleni,ondoa daladala za pugu road na tabata,mbagala mwendokasi,tegeta mwendokasi,kule moro road zinaongezwa barabara nne,hakuna foleni hapo
 
Akizungumza mwishoni mwa wiki, kamishna wa Miradi ya PPP bwana David Kafulila amesema kampuni ya COVEC ya China inapanga kutumia zaidi ya Trilioni 2.7 ($1bln) kwaajili ya kujenga Barabara 10 za mzunguko wa Nje Jijini Dar Kwa lengo la kupunguza Msongamano.

Barabara hizo ambazo hazijaainishwa zinajengwa Kwa njia ya Ubia yaani PPP baina ya sekta binafsi na Serikali na zitakuwa ni toll (za kulipia) expressway roads.

View: https://www.instagram.com/p/DBYCIn1K26l/?igsh=MTRrZDFhYThrMGdpaQ==

My Take
Kafulila apunguze kutoa taarifa za mara Kwa mara kama hazijafikia kuanza utekelezaji. Anatangulia kuliko hata wajenzi wenyewe ambao ni TANROAD.

Aliwahi sema ujenzi wa Njia 6 kutoka Kibaha hadi Chalinze utaanza mwezi wa 4 mvua zikiisha akitajwa kampuni za China kushinda tenda hadi Sasa ni mwisho wa mwaka hakuna ujenzi unaendelea ,unaweza kusoma hapa Kampuni 3 za China zapendekezwa kujenga Barabara ya Njia 4 ya kulipia Tozo (Kibaha-Mlandizi-Chalinze)

Bwana Kafulila unakoelekea na kupoteza credibility yako, hold on mambo ikiwa tayari kuliwa ndio weka taarifa kama Wizara na TANROAD wanavyofanya.

View: https://www.instagram.com/p/DBXt1eJoG7f/?igsh=eTF6aGFkYXJoa2tz

Kafulila ni dalali
 
😂🤣😂🤣Anapiga Porojo Tu Maneno Anayatupa Tu
Kama Millions 50 Kila Kijiji

Uchaguzi umekaribia mtasikia mengi Sana, kafulila na wenzie walishasahau kuwa Toll expressway toka Bandarini Hadi Morogoro via Chalinze ilishazungumziwa Sana Bungeni mara kadhaa na hakuna kilichofanyika
 
Akizungumza mwishoni mwa wiki, kamishna wa Miradi ya PPP bwana David Kafulila amesema kampuni ya COVEC ya China inapanga kutumia zaidi ya Trilioni 2.7 ($1bln) kwaajili ya kujenga Barabara 10 za mzunguko wa Nje Jijini Dar Kwa lengo la kupunguza Msongamano.

Barabara hizo ambazo hazijaainishwa zinajengwa Kwa njia ya Ubia yaani PPP baina ya sekta binafsi na Serikali na zitakuwa ni toll (za kulipia) expressway roads.

View: https://www.instagram.com/p/DBYCIn1K26l/?igsh=MTRrZDFhYThrMGdpaQ==

My Take
Kafulila apunguze kutoa taarifa za mara Kwa mara kama hazijafikia kuanza utekelezaji. Anatangulia kuliko hata wajenzi wenyewe ambao ni TANROAD.

Aliwahi sema ujenzi wa Njia 6 kutoka Kibaha hadi Chalinze utaanza mwezi wa 4 mvua zikiisha akitajwa kampuni za China kushinda tenda hadi Sasa ni mwisho wa mwaka hakuna ujenzi unaendelea ,unaweza kusoma hapa Kampuni 3 za China zapendekezwa kujenga Barabara ya Njia 4 ya kulipia Tozo (Kibaha-Mlandizi-Chalinze)

Bwana Kafulila unakoelekea na kupoteza credibility yako, hold on mambo ikiwa tayari kuliwa ndio weka taarifa kama Wizara na TANROAD wanavyofanya.

View: https://www.instagram.com/p/DBXt1eJoG7f/?igsh=eTF6aGFkYXJoa2tz

apunguze ujinga nani anataka.kulipia wakati kuna kodi zetu humu
 
Back
Top Bottom