David Kafulila: Kampuni ya COVEC ya China kumwaga Tsh. Trilioni 2.7 kujenga barabara 10 za kulipia Jijini Dar kwa njia ya PPP

Huo ni upumbavu barabara za kulipia ndiyo kitu gani ...ccm ni ma 💩💩💩
 
Barabara hizo ambazo hazijaainishwa zinajengwa Kwa njia ya Ubia yaani PPP baina ya sekta binafsi na Serikali na zitakuwa ni toll (za kulipia) expressway roads.
Na ikifikia hapo, na Kodi zipungue. Maana tunalipa Kodi kwa ajili ya maendeleo, lakini kama tunajilipia wenyewe maendeleo Kodi ipungue.

Hivi kwa utaratibu huu wa PPP inakuwaje baadhi ya watu wa Barabara wa Barabara ya Mkolani kuelekea Malimbe inasemekana walikataliwa kujitegemea kutengeneza barabara Yao kwa kiwango wanachokitaka ambacho kipo juu ya kile cha Hali ya Sasa ya barabara hiyo?

TARura/tanroad/PPP naomba majibu tafadhali.
 
Jangwani hapo kipindi cha Makonda kama sijakosea, tuliambiwa fedha zimetengwa kwa daraja la mita 300. Leo tena utiaji saini. Haya ngoja tuone.
 
Nani alianza? Serikali ilisema itajengwa yenyewe Kwa pesa zake.View attachment 3131470
Umetukana bure tu, serikali ilifufua nazungumzo upya alipoingia mama Samia. Lakini wanekutana na yaleyale ambayo yalifanya washindane serikali iliyopita. Kilichotokea ni sasa hivi serikali iliamua kujenga yenyewe. Yes tunaweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…