David Kafulila: Maamuzi ya Rais Donald Trump kusitisha Misaada ni fursa kwa Afrika

David Kafulila: Maamuzi ya Rais Donald Trump kusitisha Misaada ni fursa kwa Afrika

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPPC), David Kafulila amesema kitendo cha Rais wa Marekani, Donald Trump kuja na sera za kusitisha baadhi ya misaada kwa nchi za Afrika, kimefungua fursa mpya kwa Tanzania na kwamba serikali iko mguu sawa kuzitumia fursa hizo kwa maendeleo endelevu ya uwekezaji nchini.

Chanzo: AZAM TV
 
Back
Top Bottom