Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw David Kafulila amenukuliwa akisema " Sasa mahitaji ya binadamu duniani ni makubwa kuliko uwezo wa Serikali za dunia kuyafikia na kuyatatua kwa wakati kwa kutegemea Mikopo na Kodi kama chanzo pekee Cha mapato Cha Serikali hivyo ni lazima Serikali zetu kutafuta njia Mbadala za kuyafikia kwa wakati mahitaji hayo ya binadamu"
Akizungumza kwenye Kipindi Cha DK 45 kinachorushwa na kituo cha utangazaji Cha ITV Kafulila amesema msisitizo wa kutumia Sekta binafsi Kama njia ya kuipa unafuu Serikali yoyote duniani katika kuwahudumia Wananchi wake umetolewa kwenye majukwaa mbalimbali ya Kiuchumi Duniani likiwemo la Energy Summit iliyofanyika Jiji Dar es salaam.
Hili ameligundua Leo.
Hajui kwamba tunapiga kelele ili watu watumie akili na kufikiria nje ya box na hatimaye kutanua uwanja.
Production Iko chini sana, watu wengi ni walaji sio wazarishaji, unahitaji akili iliyoshiba ili kutanua uwanja na kufanya watu wengi katika Taifa kuwa productive maana yake shughuri za uzarishaji mali zitakuwa nyingi na nchi itaexport sana kuliko kuimport na hata kuacha uchuuzi wa bidhaa za China, India nk.

Kwanini utafute njia Mbadala ?!! Kama kuna opportunity mtu binafsi atachukue opportunity hio ili apate faida at the same time kutoa mahitaji; Jambo lililo wazi Private entities wanaangalia faida / Profit hawapo pale kutangaza Injili au kutoa Huduma, Lakini hawa wanaochukua Kodi za Mwananchi kuna mambo lazima wahakikishe kuna alternative kwa mlipa Kodi; Afya; Nishati; Elimu n.k.;
Kwahio waache watu Binafsi wajinafasi wala usiwapangie lakini vitu vya Huduma lazima UMMA uwe na alternative na kwa kutumia Kodi zao tuhakikishe Huduma hizo zipo...; Hizi ndoa za PPPs mwisho wa siku ni watu kufuja pesa zetu na kuwa bailed out na Kodi zetu...
Kodi ni muhimu sana ili kufadhili shughuli za serikali, huduma kwa umma kama vile barabara na mashule, Usalama wa Jamii, Afya na Mengineyo. Sasa kama hata hayo kuanzia Elimu (Mikopo na Shule Binafsi); Afya tuna BIMA ya Afya na kulipia Private; Kuhakikisha wafanyakazi wanalipwa ujira stahiki...
Kabla hatujaitana vichaa, kwanza kabisa tukubaliane kwamba ndicho kinachotokea sasa hivi duniani (creating money from thin Air) ingawa ni Benki ndio zinafanya hivyo... Pesa inavyotengezwa na kuongezwa kwenye Mzunguko na Benki Wewe ukienda kuomba mkopo Benki unapewa pesa ambayo Benki haina wala...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw David Kafulila anasema Kwa Sasa mahitaji ya binadamu ni makubwa kuliko uwezo wa Serikali zetu kuyafikia na kuyatatua kwa wakati kwa kutegemea Mikopo na Kodi pekee ni lazima kutafuta njia Mbadala za kuyafikia kwa wakati mahitaji ya binadamu.
Akizungumza kwenye Kipindi Cha DK 45 kinachorushwa na kituo cha utangazaji Cha ITV Kafulila amesema msisitizo wa kutumia Sekta binafsi Kama njia ya kuipa unafuu Serikali katika kuwahudumia Wananchi wake umetolewa kwenye majukwaa mbalimbali ya Kiuchumi Duniani likiwemo la Energy Summit iliyofanyika Jiji Dar es salaam.

Mpina kazi yake ni kukosoa tu sio kuonesha njia ya wapi kama Taifa tuelekee, Kafulila anatoa shuluhisho la Uchumi wetu na namna Bora ya kufikia Uchumi mkubwa
Mpina kazi yake ni kukosoa tu sio kuonesha njia ya wapi kama Taifa tuelekee, Kafulila anatoa shuluhisho la Uchumi wetu na namna Bora ya kufikia Uchumi mkubwa