David Kafulila: Mahitaji ya binadamu ni makubwa kuliko uwezo wa Serikali kuyafikia kwa kutegemea kodi na mikopo pekee

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw David Kafulila anasema Kwa Sasa mahitaji ya binadamu duniani ni makubwa kuliko uwezo wa Serikali za dunia nzima kuyafikia na kuyatatua kwa wakati kwa kutegemea Mikopo na Kodi kama chanzo pekee Cha mapato Cha Serikali hivyo ni lazima Serikali zetu kutafuta njia Mbadala za kuyafikia kwa wakati mahitaji hayo ya binadamu.

Akizungumza kwenye Kipindi Cha DK 45 kinachorushwa na kituo cha utangazaji Cha ITV Kafulila amesema msisitizo wa kutumia Sekta binafsi Kama njia ya kuipa unafuu Serikali yoyote duniani katika kuwahudumia Wananchi wake umetolewa kwenye majukwaa mbalimbali ya Kiuchumi Duniani likiwemo la Energy Summit iliyofanyika Jiji Dar es salaam.

zaidi sana msikilize kwa undani zaidi

View attachment 3226930
Huyu CEO anajua kazi yake, Serikali inapshwa kuwa vijana wa aina hii
 
Upinzani tulipoteza mtu muhimu sana
 
Hizi interview zinawaumiza sana CHADEMA
 
Sawa lakini sio raia
 
IMG-20250207-WA0111.jpg
 
Hili vugu vugu la Afrika la kuvitoa vyama vya muda mrefu madarakani ni hatua muhimu ya mtu mweusi kutafuta mabadiliko ya kiutawala. Ni ngumu sana kuzuia mabadiliko hata kama robo tatu ya nchi ni polisi.
 
Anaongea mambo asiyofahamu, ana uelewa mdogo sana wa jinsi mambo yalivyo duniani.

Sasa hao wawekezaji wa PPP nao hawana madeni?

Au hata bank asilimia kubwa ya hela zao wanazokopeshea wengine si ni amana za wateja wao (mikopo).

Ujinga mtupu.
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw David Kafulila anasema Kwa Sasa mahitaji ya binadamu duniani ni makubwa kuliko uwezo wa Serikali za dunia nzima kuyafikia na kuyatatua kwa wakati kwa kutegemea Mikopo na Kodi kama chanzo pekee Cha mapato Cha Serikali hivyo ni lazima Serikali zetu kutafuta njia Mbadala za kuyafikia kwa wakati mahitaji hayo ya binadamu.

Akizungumza kwenye Kipindi Cha DK 45 kinachorushwa na kituo cha utangazaji Cha ITV Kafulila amesema msisitizo wa kutumia Sekta binafsi Kama njia ya kuipa unafuu Serikali yoyote duniani katika kuwahudumia Wananchi wake umetolewa kwenye majukwaa mbalimbali ya Kiuchumi Duniani likiwemo la Energy Summit iliyofanyika Jiji Dar es salaam.

zaidi sana msikilize kwa undani zaidi

View attachment 3226930
Mama mitano tena, Kazi iendelee Kafulila sio Raia
 
Hili vugu vugu la Afrika la kuvitoa vyama vya muda mrefu madarakani ni hatua muhimu ya mtu mweusi kutafuta mabadiliko ya kiutawala. Ni ngumu sana kuzuia mabadiliko hata kama robo tatu ya nchi ni polisi.
Mimi nadhani hoja sio kukaa miaka mingi madarakani ila kushindwa kuwatumia Wananchi,

Kama chama kinawatumikia watu kwa usahihi unakitoaje?
 
Itungwe sheria ya kuzuia ongezeko la watanzania. Hiyo ndio muarobaini wa kukuza uchumi na kuondoa masikini.

Kuendelea kuziba masikio na kuendelea kufanya mipango yenu hiyo ya kuongeza kipato ni kiini macho kwa raia maana wafaidika kwa mtindo huo ni Kafulila na familia yake ndugu marafiki na taasisi inayompa ulaji.
Wewe nawe bure kabisa
 
Back
Top Bottom