Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kama hiyo Sheria ingetungwa kabla wewe hujazaliwa sijui kama unge comment leoItungwe sheria ya kuzuia ongezeko la watanzania. Hiyo ndio muarobaini wa kukuza uchumi na kuondoa masikini.
Kuendelea kuziba masikio na kuendelea kufanya mipango yenu hiyo ya kuongeza kipato ni kiini macho kwa raia maana wafaidika kwa mtindo huo ni Kafulila na familia yake ndugu marafiki na taasisi inayompa ulaji.
Dude unajua kasi ya kuzaana tuliyonayo ukilinganisha na uwezo wa uchumi wetu kuhudumia watu wake?Vipi kama hiyo Sheria ingetungwa kabla wewe hujazaliwa sijui kama unge comment leo
Sasa itakuwaje?Kwa Tanzania, mbadala wa kwanza ni kuitoa CCM madarakani.
Population haijawahi kuwa tatizo china wako karibu 2bnDude unajua kasi ya kuzaana tuliyonayo ukilinganisha na uwezo wa uchumi wetu kuhudumia watu wake?
Kwa hiyo unataka kutumia strategy ya China hapa Tanzania una uwezo huo? na unajua kuwa kuna wakati ilibidi wazuie kuzaana kwa muda ili waweze kujenga uchumi wao? unajua kuwa kulikuwa na amri ya kuzaa watoto wawili tu hadi ilipositishwa miaka ya karibuni? unajua kwa nini?Population haijawahi kuwa tatizo china wako karibu 2bn
Mi kweli ana viabkiHuyu jamaa ni kichwa sana kila anachoongea ni point
Yes umeleta hoja ya Msingi, Tunaweza kuwa na Ubia kwa sehemu tuHuduma kama umeme na maji ni vema zikaangaliwa namna ya kuzibinafisisha, siyo kwa 100% lakini angalau kwa asilimia fulani. Mfano serikali inaweza kuwa mzalishaji wa umeme kupitia Tanesco na kuusafirisha kupitia line kubwa hadi vituo vya kupozea. Kutoka hapo sasa, usambazaji kwa wananchi ikapewa sekta binafsi. Nadhani hakuna mtu angekaa kwenye foleni muda mrefu kusubiri kuungiwa umeme na Tanesco, badala yake makampuni binafsi yangeshindana kupata wateja kwa wingi wa kuwaungia umeme kwa haraka na huenda hata gharama za uunganishaji zingeshuka sana. Hivyo hivyo na huduma ya maji, usambazaji ungefanywa na sekta binafsi serikali ikawa mzalishaji tu na kukusanya kodi za mapato kutoka kwa makampuni husika...nawaza tu.
Dunia ya Watu wastaarabu inaendeshwa na sekta binafsi Serikali inabaki kuwa regulator tuMkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw David Kafulila anasema Kwa Sasa mahitaji ya binadamu ni makubwa kuliko uwezo wa Serikali zetu kuyafikia na kuyatatua kwa wakati kwa kutegemea Mikopo na Kodi pekee ni lazima kutafuta njia Mbadala za kuyafikia kwa wakati mahitaji ya binadamu.
Akizungumza kwenye Kipindi Cha DK 45 kinachorushwa na kituo cha utangazaji Cha ITV Kafulila amesema msisitizo wa kutumia Sekta binafsi Kama njia ya kuipa unafuu Serikali katika kuwahudumia Wananchi wake umetolewa kwenye majukwaa mbalimbali ya Kiuchumi Duniani likiwemo la Energy Summit iliyofanyika Jiji Dar es salaam.
View attachment 3226930
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw David Kafulila anasema Kwa Sasa mahitaji ya binadamu ni makubwa kuliko uwezo wa Serikali zetu kuyafikia na kuyatatua kwa wakati kwa kutegemea Mikopo na Kodi pekee ni lazima kutafuta njia Mbadala za kuyafikia kwa wakati mahitaji ya binadamu
Ni kwa sababu wanajiita waheshimiwa na wananchi tumebariki hilo. Hawaoni sababu ya wao kutokuishi kiuheshimiwa
- Kwanini mnanunua mashangingi ya anasa kila kukicha?
- Kwanini makao makuu ya serikali yako Dodoma lakini 90%+ ya viongozi wanakuwa Dar kwa perdiems?
- Kwanini ufujaji wa fedha za serikali hauchukuliwi hatua?
- Kwanini tuna bunge kubwa kuliko mahitaji?
Hadi aibu kwa rasilimali tulizinazo kusikia kiongozi anasema maneno kama hayo kauli rahisi ni kwamba mmeshindwa kuwaletea watu maendeleo mmeshindwa kuongozaMkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw David Kafulila anasema Kwa Sasa mahitaji ya binadamu ni makubwa kuliko uwezo wa Serikali zetu kuyafikia na kuyatatua kwa wakati kwa kutegemea Mikopo na Kodi pekee ni lazima kutafuta njia Mbadala za kuyafikia kwa wakati mahitaji ya binadamu.
Akizungumza kwenye Kipindi Cha DK 45 kinachorushwa na kituo cha utangazaji Cha ITV Kafulila amesema msisitizo wa kutumia Sekta binafsi Kama njia ya kuipa unafuu Serikali katika kuwahudumia Wananchi wake umetolewa kwenye majukwaa mbalimbali ya Kiuchumi Duniani likiwemo la Energy Summit iliyofanyika Jiji Dar es salaam.
View attachment 3226930
Sasa hapa PPP inahusikaje?
- Kwanini mnanunua mashangingi ya anasa kila kukicha?
- Kwanini makao makuu ya serikali yako Dodoma lakini 90%+ ya viongozi wanakuwa Dar kwa perdiems?
- Kwanini ufujaji wa fedha za serikali hauchukuliwi hatua?
- Kwanini tuna bunge kubwa kuliko mahitaji?
Acha siasa,Hadi aibu kwa rasilimali tulizinazo kusikia kiongozi anasema maneno kama hayo kauli rahisi ni kwamba mmeshindwa kuwaletea watu maendeleo mmeshindwa kuongoza
Sasa hapa PPP inahusikaje?
Uitoe CCM uweke Nini?Kwa Tanzania, mbadala wa kwanza ni kuitoa CCM madarakani.
Soma vizuri PPP acha kukurupuka