Financial Intelligence
JF-Expert Member
- Sep 29, 2023
- 293
- 518
Unafunga tumbili?Vipi kuhusu Chanjo ya mifugo yetu
Kila Wilaya tayari inachanjoVipi kuhusu Chanjo ya mifugo yetu
BungeniVipi kuhusu kishoa
Naona msomali hataki mchezoMkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi Cha DK 45 amekaririwa akisema namnukuu,
" Bajeti ya kilimo imeongezeka kutoka TZS400bn mpaka TZS1.9Trilioni sawa karibu na mara tano"
David Kafulila anasema ukitaka kupunguza umasikini kama anavyofanga Rais Samia Suluhu Hassan lazima uwekeze kwenye Sekta ambayo inajumuisha watu wengi hasa maeneo ya vijijini.
Kafulila anatolea mfano wa Sekta ya kilimo Tanzania ambayo inategemewa na Watanzania zaidi ya 65% hivyo yoyote mwenye nia njema na Tanzania kama ilivyo Kwa Rais Samia lazima awekeze kwenye kilimo kama anavyofanga.
David Kafulila anasema leo Tanzania matumizi ya mbolea yameongezeka kutoka tani zisizofikia laki sita ( 600,000 ) Hadi kufikia tani milioni moja na laki mbili, (1,200) ambazo ni sawa na ongezeko la asilimia mia moja (100%) jambo ambalo hatujawahi kulishuhudia tangu uhuru wa nchi yetu.
==
David Kafulila anasema Matumizi ya Mbolea Tanzania yameongezeka Kwa 100% huku bajaeti ya kilimo nayo ikiongezeka mara tano zaidi.
==
Sasa msikilize mpaka mwisho utaelewa zaidi.
View attachment 3354679
==
Msomali anapambana sana sijui kama kweli anamaaniahaMkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi Cha DK 45 amekaririwa akisema namnukuu,
" Bajeti ya kilimo imeongezeka kutoka TZS400bn mpaka TZS1.9Trilioni sawa karibu na mara tano"
David Kafulila anasema ukitaka kupunguza umasikini kama anavyofanga Rais Samia Suluhu Hassan lazima uwekeze kwenye Sekta ambayo inajumuisha watu wengi hasa maeneo ya vijijini.
Kafulila anatolea mfano wa Sekta ya kilimo Tanzania ambayo inategemewa na Watanzania zaidi ya 65% hivyo yoyote mwenye nia njema na Tanzania kama ilivyo Kwa Rais Samia lazima awekeze kwenye kilimo kama anavyofanga.
David Kafulila anasema leo Tanzania matumizi ya mbolea yameongezeka kutoka tani zisizofikia laki sita ( 600,000 ) Hadi kufikia tani milioni moja na laki mbili, (1,200) ambazo ni sawa na ongezeko la asilimia mia moja (100%) jambo ambalo hatujawahi kulishuhudia tangu uhuru wa nchi yetu.
==
David Kafulila anasema Matumizi ya Mbolea Tanzania yameongezeka Kwa 100% huku bajaeti ya kilimo nayo ikiongezeka mara tano zaidi.
==
Sasa msikilize mpaka mwisho utaelewa zaidi.
View attachment 3354679
==
Kafulila ni msaada sana Kwa SamiaMkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi Cha DK 45 amekaririwa akisema namnukuu,
" Bajeti ya kilimo imeongezeka kutoka TZS400bn mpaka TZS1.9Trilioni sawa karibu na mara tano"
David Kafulila anasema ukitaka kupunguza umasikini kama anavyofanga Rais Samia Suluhu Hassan lazima uwekeze kwenye Sekta ambayo inajumuisha watu wengi hasa maeneo ya vijijini.
Kafulila anatolea mfano wa Sekta ya kilimo Tanzania ambayo inategemewa na Watanzania zaidi ya 65% hivyo yoyote mwenye nia njema na Tanzania kama ilivyo Kwa Rais Samia lazima awekeze kwenye kilimo kama anavyofanga.
David Kafulila anasema leo Tanzania matumizi ya mbolea yameongezeka kutoka tani zisizofikia laki sita ( 600,000 ) Hadi kufikia tani milioni moja na laki mbili, (1,200) ambazo ni sawa na ongezeko la asilimia mia moja (100%) jambo ambalo hatujawahi kulishuhudia tangu uhuru wa nchi yetu.
==
David Kafulila anasema Matumizi ya Mbolea Tanzania yameongezeka Kwa 100% huku bajaeti ya kilimo nayo ikiongezeka mara tano zaidi.
==
Sasa msikilize mpaka mwisho utaelewa zaidi.
View attachment 3354679
==
🤓🤓Vipi kuhusu kishoa
Waziri mkuuMsomali anapambana sana sijui kama kweli anamaaniaha
ChaWa promax KafulilaMkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi Cha DK 45 amekaririwa akisema namnukuu,
" Bajeti ya kilimo imeongezeka kutoka TZS400bn mpaka TZS1.9Trilioni sawa karibu na mara tano"
David Kafulila anasema ukitaka kupunguza umasikini kama anavyofanga Rais Samia Suluhu Hassan lazima uwekeze kwenye Sekta ambayo inajumuisha watu wengi hasa maeneo ya vijijini.
Kafulila anatolea mfano wa Sekta ya kilimo Tanzania ambayo inategemewa na Watanzania zaidi ya 65% hivyo yoyote mwenye nia njema na Tanzania kama ilivyo Kwa Rais Samia lazima awekeze kwenye kilimo kama anavyofanga.
David Kafulila anasema leo Tanzania matumizi ya mbolea yameongezeka kutoka tani zisizofikia laki sita ( 600,000 ) Hadi kufikia tani milioni moja na laki mbili, (1,200) ambazo ni sawa na ongezeko la asilimia mia moja (100%) jambo ambalo hatujawahi kulishuhudia tangu uhuru wa nchi yetu.
==
David Kafulila anasema Matumizi ya Mbolea Tanzania yameongezeka Kwa 100% huku bajaeti ya kilimo nayo ikiongezeka mara tano zaidi.
==
Sasa msikilize mpaka mwisho utaelewa zaidi.
View attachment 3354679
==
Eti 400KEkari ngapi za umwagiliaji zimejengwa?
Nyingi au kidogoEti 400K