David Kafulila: Matumizi ya mbolea yameongezeka kwa 100% bajeti ya kilimo imeongezeka mara tano

Tatizo lipo kwenye mbolea ambaO ukiweka shambani shamba linaharibika lote
 
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi Cha DK 45 amekaririwa akisema namnukuu,
" Bajeti ya kilimo imeongezeka kutoka TZS400bn mpaka TZS1.9Trilioni sawa karibu na mara tano"

David Kafulila anasema ukitaka kupunguza umasikini kama anavyofanga Rais Samia Suluhu Hassan lazima uwekeze kwenye Sekta ambayo inajumuisha watu wengi hasa maeneo ya vijijini.

Kafulila anatolea mfano wa Sekta ya kilimo Tanzania ambayo inategemewa na Watanzania zaidi ya 65% hivyo yoyote mwenye nia njema na Tanzania kama ilivyo Kwa Rais Samia lazima awekeze kwenye kilimo kama anavyofanga.

David Kafulila anasema leo Tanzania matumizi ya mbolea yameongezeka kutoka tani zisizofikia laki sita ( 600,000 ) Hadi kufikia tani milioni moja na laki mbili, (1,200) ambazo ni sawa na ongezeko la asilimia mia moja (100%) jambo ambalo hatujawahi kulishuhudia tangu uhuru wa nchi yetu.
==

David Kafulila anasema Matumizi ya Mbolea Tanzania yameongezeka Kwa 100% huku bajaeti ya kilimo nayo ikiongezeka mara tano zaidi.​

==
Sasa msikilize mpaka mwisho utaelewa zaidi.

View attachment 3354679

==
Hongera sana CCM chama langu
 
Naona Kafulila anaendelea kubangaiza
 
Naona Kampeni zimeanza
 
Hongera sana Kafulila ila upelekwe sehemu yako sio hayo mappp
 
Nzuri kiasi
 
Samia Mitano tena
 
" Bajeti ya kilimo imeongezeka kutoka TZS400bn mpaka TZS1.9Trilioni sawa karibu na mara tano" alisema Kwa msisitizo.

David Kafulila anasema ukitaka kupunguza umasikini kama anavyofanga Rais Samia Suluhu Hassan lazima uwekeze huduma bora vijiji pamoja na kwenye Sekta ambayo inajumuisha watu wengi hasa maeneo ya vijijini na Mjini.

David Kafulila anatolea mfano kwenye sekta ya kilimo Tanzania ambayo inategemewa na Watanzania zaidi ya 65% hivyo yoyote mwenye nia njema na Tanzania kama ilivyo Kwa Rais Samia lazima awekeze kwenye kilimo kama anavyofanya mama huyu.

David Kafulila anasema leo Tanzania matumizi ya mbolea yameongezeka kutoka tani zisizofikia laki sita ( 600,000 ) Hadi kufikia tani milioni moja na laki mbili, (1,200) ambazo ni sawa na ongezeko la asilimia mia moja (100%) jambo ambalo hatujawahi kulishuhudia tangu uhuru wa nchi yetu na kwakufanga hivyo tayari ameongeza uzalishaji wamazao mbalimbali na hivyo kukuza uchumi vijiji.
==

David Kafulila anasema Matumizi ya Mbolea Tanzania yameongezeka Kwa 100% huku bajaeti ya kilimo nayo ikiongezeka mara tano zaidi hii ni chini ya mama Samia Suluhu Hassan.​

==
Sasa msikilize mpaka mwisho utaelewa zaidi.

View attachment 3354679

==
Unaongea vizuri hoja ni kweli unachoongea au makumashi😂
 
Back
Top Bottom