David Kafulila: Matumizi ya mbolea yameongezeka kwa 100% bajeti ya kilimo imeongezeka mara tano

Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi Cha DK 45 amekaririwa akisema namnukuu,
" Bajeti ya kilimo imeongezeka kutoka TZS400bn mpaka TZS1.9Trilioni sawa karibu na mara tano" alisema Kwa msisitizo.

David Kafulila anasema ukitaka kupunguza umasikini kama anavyofanga Rais Samia Suluhu Hassan lazima uwekeze huduma bora vijiji pamoja na kwenye Sekta ambayo inajumuisha watu wengi hasa maeneo ya vijijini na Mjini.

David Kafulila anatolea mfano kwenye sekta ya kilimo Tanzania ambayo inategemewa na Watanzania zaidi ya 65% hivyo yoyote mwenye nia njema na Tanzania kama ilivyo Kwa Rais Samia lazima awekeze kwenye kilimo kama anavyofanya mama huyu.

David Kafulila anasema leo Tanzania matumizi ya mbolea yameongezeka kutoka tani zisizofikia laki sita ( 600,000 ) Hadi kufikia tani milioni moja na laki mbili, (1,200) ambazo ni sawa na ongezeko la asilimia mia moja (100%) jambo ambalo hatujawahi kulishuhudia tangu uhuru wa nchi yetu na kwakufanga hivyo tayari ameongeza uzalishaji wamazao mbalimbali na hivyo kukuza uchumi vijiji.
==

David Kafulila anasema Matumizi ya Mbolea Tanzania yameongezeka Kwa 100% huku bajaeti ya kilimo nayo ikiongezeka mara tano zaidi hii ni chini ya mama Samia Suluhu Hassan.​

==
Sasa msikilize mpaka mwisho utaelewa zaidi.

View attachment 3354679

==
Leo nasikia Ubwabwa umeliwa na CHAUMMA
 
Samia apewe Mitano tena
 
habari nzuri kwa wakulima ni kushuka kwa bei ya mbolea na dawa za kuua wadudu tofauti na hapo mengine ni kelele tuu
 
|||
Katika hali ya muhenyeshano kwenye mjadala mkali kati ya Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila na Mtangazaji Maarufu wa kituo cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 Ms Farhia Midley,

Mtangazaji Ms Farhia Midley anaanza kwa kusema ili Mtanzania aitwe sio masikini lazima walau awe anauwezo wa kula milo mizuri mitatu kwa kila siku, awe na uwezo wa kuvaa vizuri, awe na uwezo wa kusomesha watoto wake shule nzuri vinginevyo inakuwa ni kama siasa tu.

SIKILIZA MAJIBU YA DAVID KAFULILA KWA MTANGAZAJI FARHIA NA WATANZANIA.

Mkurugenzi Mtendaji Bwana David Kafulila anaanza kwa kusema, kwanza ni kweli kwamba umasikini Tanzania haujaisha ila ni kweli kwamba Tanzania Umasikini Umepungua sana hapa hoja ni umasikini huu Umepungua kwa njia gani au kwa kiasi gani.

Anarejea ripoti ya Utafiti ya REPOA ya mwaka 2006 inayosema kama nchi ya Tanzania itawekeza kwenye sekta ya kilimo na Sekta hiyo ikakua walau kwa 10% tu kwa miaka mitatu mfululizo basi itapunguza umasikini kwa Watanzania wote Kwa 50%

Anaendeleaje kwa kusema Kukuza uchumi vijijini ni kuwekeza kwenye kilimo katika dhana pana, miundombinu ya maji, umeme, barabara na huduma za msingi kama elimu na afya takwimu zinaonesha mapinduzi makubwa maeneo yote hayo tumefanya vizuri sana, hakika kazi kubwa imefanywa na awamu ya sita alisema,

Kafulila anasema uwekezaji wa mbole kutoka tani 500,000 hadi tani 1,200,000, Wakati huo huo bajeti ya kilimo imeongezeka karibu mara tano zaidi, Bajeti ya Barabara TARURA vijijini nayo imeongezeka mara tano zaidi, Umeme vijiji umeongezeka kutoka vijiji elfu 10 mpaka vijijini elfu 12 haiwezakani mambo haya yote yafanyike na pasiwepo mabadiliko yoyote ya kiuchumi Kwa Watanzania hilo haiwezekani.

Kafulila anaendelea Kwa kusema inawezekana tatizo la Umasikini Tanzania ni kweli halijaisha ila ni kweli pia kwamba tatizo la Umasikini Tanzania limepungua kwa kiasi kikubwa sana hasa kwenye miaka minne ya awamu hii ya sita (6) ya Mama Samia Suluhu Hassan.

Endelea kumsikiliza mpaka mwisho

|||
 
|||
Katika hali ya muhenyeshano kwenye mjadala mkali kati ya Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila na Mtangazaji Maarufu wa kituo cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 Farhia Midley,

Mtangazaji Farhia Midley anaanza kwa kusema ili Mtanzania aitwe sio masikini lazima walau awe anauwezo wa kulq milo mitatu kwa kila siku, awe na uwezo wa kula vizuri, awe na uwezo wa kuvaa vizuri, awe na uwezo wa kusomesha watoto wake shule nzuri vinginevyo inakuwa siasa tu.

MAJIBU YA DAVID KAFULILA KWA MTANGAZAJI FARHIA NA WATANZANIA.

==
Mkurugenzi Mtendaji Bwana David Kafulila anaanza kwa kusema, ni kweli kwanza kwamba umasikini Tanzania haujaisha ila ni kweli kwamba Tanzania Umasikini Umepungua sana hapa hoja ni umasikini huu Umepungua Kwa njia gani au Kwa kiasi gani?

Mkurugenzi David Kafulila anarejea ripoti ya Utafiti ya REPOA ya mwaka 2006 inayosema kama nchi ya Tanzania itawekeza kwenye sekta ya kilimo na ikakua kwa 10% tu kwa miaka mitatu mfululizo basi itapunguza umasikini kwa Watanzania wote 50%

David Kafulila anasema Kukuza uchumi vijijini ni kuwekeza kwenye kilimo katika dhana pana, miundombinu ya maji, umeme, barabara na huduma za msingi kama elimu na afya takwimu zinaonesha mapinduzi makubwa maeneo yote hayo tumefanya vizuri sana, hakika kazi kubwa imefanywa awamu ya sita alisema,

Kafulila anasema uwekezaji wa mbole kutoka tani 500,000 hadi Tani 1,200,000, Bajeti ya kilimo imeonezeka karibu mara tano, Bajeti ya Barabara TARURA vijijini nayo imeongezeka mara tano, Umeme vijiji umeongezeka kutoka vijiji elfu 10 mpaka vijijini elfu 12 haiwezakani mambo haya yote yafanyike na pasiwepo mabadiliko yoyote ya kiuchumi.

Kafulila anaendelea Kwa kusema inawezekana tatizo la Umasikini Tanzania halijaisha ila ni kweli pia kwamba tatizo la Umasikini Tanzanialimepungua kwa kiasi kikubwa sana hasa kwenye miaka minne ya awamu hii ya sita (6)

<<<<< Endelea kumsikiliza mpaka mwisho >>>>>>

View attachment 3356203
Naona CCM wote wamemkimbia mA kwenye majadala amebaki Kafulila tu,
Hongera My brother Kafulila tuko pamoja👏🏿👏🏿
 
Kafulila anaeleweka vizuri sana, hongera sana Cde
 
|||
Katika hali ya muhenyeshano kwenye mjadala mkali kati ya Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila na Mtangazaji Maarufu wa kituo cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 Ms Farhia Midley,

Mtangazaji Ms Farhia Midley anaanza kwa kusema ili Mtanzania aitwe sio masikini lazima walau awe anauwezo wa kula milo mizuri mitatu kwa kila siku, awe na uwezo wa kuvaa vizuri, awe na uwezo wa kusomesha watoto wake shule nzuri vinginevyo inakuwa ni kama siasa tu.

SIKILIZA MAJIBU YA DAVID KAFULILA KWA MTANGAZAJI FARHIA NA WATANZANIA.

Mkurugenzi Mtendaji Bwana David Kafulila anaanza kwa kusema, kwanza ni kweli kwamba umasikini Tanzania haujaisha ila ni kweli kwamba Tanzania Umasikini Umepungua sana hapa hoja ni umasikini huu Umepungua kwa njia gani au kwa kiasi gani.

Anarejea ripoti ya Utafiti ya REPOA ya mwaka 2006 inayosema kama nchi ya Tanzania itawekeza kwenye sekta ya kilimo na Sekta hiyo ikakua walau kwa 10% tu kwa miaka mitatu mfululizo basi itapunguza umasikini kwa Watanzania wote Kwa 50%

Anaendeleaje kwa kusema Kukuza uchumi vijijini ni kuwekeza kwenye kilimo katika dhana pana, miundombinu ya maji, umeme, barabara na huduma za msingi kama elimu na afya takwimu zinaonesha mapinduzi makubwa maeneo yote hayo tumefanya vizuri sana, hakika kazi kubwa imefanywa na awamu ya sita alisema,

Kafulila anasema uwekezaji wa mbole kutoka tani 500,000 hadi tani 1,200,000, Wakati huo huo bajeti ya kilimo imeongezeka karibu mara tano zaidi, Bajeti ya Barabara TARURA vijijini nayo imeongezeka mara tano zaidi, Umeme vijiji umeongezeka kutoka vijiji elfu 10 mpaka vijijini elfu 12 haiwezakani mambo haya yote yafanyike na pasiwepo mabadiliko yoyote ya kiuchumi Kwa Watanzania hilo haiwezekani.

Kafulila anaendelea Kwa kusema inawezekana tatizo la Umasikini Tanzania ni kweli halijaisha ila ni kweli pia kwamba tatizo la Umasikini Tanzania limepungua kwa kiasi kikubwa sana hasa kwenye miaka minne ya awamu hii ya sita (6) ya Mama Samia Suluhu Hassan.

Endelea kumsikiliza mpaka mwisho

View attachment 3356203

|||
Ila sasa tatizo ndoa na Kishoa inakuchafua Tu2
 
Back
Top Bottom