David Kafulila: Matumizi ya mbolea yameongezeka kwa 100% bajeti ya kilimo imeongezeka mara tano

Ila huyu ni Mrundi hata hivyo ila hoja anazo sana tu
 
Matako yake
 
Kazi hii inamalipo?
 
Tatizo lako urundi tu
 
Tuongeze bidiii
 
Maana yake ni kwamba kila mkulima aliipata mbolea hiyo na kwa wakati,
Kule Nguruka watu kibao hawakupata hata mfuko mmoja
 
Hayo ni mashamba ya sirikali au ya watu Binafsi?
 
Kafululia ni bure kabisa! Mbolea inauzwa Kenya! Ongezeko ni kwasababu ya magendo, idiot!
Jamaa anatafuta cheo kwa udi na uvumba na ameajiri watu wake mitandaoni.

JokaKuu
 


Nchi yenye Ng'ombe zaidi ya mil. 60 halafu wanashindwa kuweka mkakati wa kutumia mbolea ya asili kuleta mapinduzi ya kilimo kwa gaharama nafuu tunakua sawa na Nchi zisizo na ng'ombe .

Mbolea zinazopatikana kwenye machinjio zingefanyiwa utafiti wa kuongezewa virutubisho fulani kisha zipakiwe kwenye mifuko na kuuzwa hata sh. elf tano kwa kilgram 50 watu wazitumie kwenye kilimo cha mboga mboga na maharage . Badala yake kuna biashara ya kifisadi ya kuagiza mbolea ya chumvichumvi ndiyo inayowapa mashavu akina Kafulila huku serikali na wakulima wadogo wakibaki na madeni ya gharama kubwa zambole na kujaza makemikali kwenye mazao .

Kafulila amegauka Chawa wa kiuchumi duniani na dalali wa kuuza rasilimali zetu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…