David Kafulila: Matumizi ya mbolea yameongezeka kwa 100% bajeti ya kilimo imeongezeka mara tano

Apongezwe sana msomali
 
Kafulila na uchawa
 
Uongo mtupu
 
Kafulila SASA tangu ameingia PPP iliyoanza tangu wakati wa JK mwaka 2009, lakn mabadiliko na mjadala wa PPP nikama vile imeanza na Kafulila. Mwamko wa Umma, Serikali na Sekta Binafsi sasa ni PPP ndio habari nzima.
 
Mimi Kafulila nakumbuka akiwa Mkuu wa Mkoa Simiyu mkoa ambao zaidi ya asilimia 60% ya pamba inazalishwa huko, mbali na kusimamia uwajibikaji watendaji wa serikali alianzisha mfumo wa ununuzi wa pamba maarufu kama Simiyu cotton model ambao ulidhibiti wizi wa ushirika kwa kuwaondolea monopoly ktk ununuzi wa pamba na kufanya ununuzi kuwa huria kwa mkulima kuuzia ama ushirika au wanunuzi binafsi, uamuzi uliosababisha bei ya pamba kufikia 2000/= kwa kilo, bei ambayo haikuwahi kufikiwa ktk historia ya pamba ...
 
Hii tunajua
 
Tunajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…