David Kafulila: Miaka 25 ijayo Serikali itajenga Uchumi wa $700bn. Pato la kila mmoja wetu litafikia TZS 20M

Kafulila kazi yake ni kumpokea kila mwekezaji swala la tabia ya mwekezaji sio jukumu la PPP
Adani group imetangazwa duniani kote kuwa ni mabingwa wa kutoa rushwa ili wapate tender,
Ila Kafulila anavowasifia utadhani Adani ni kampuni mpya.
 
Adani group imetangazwa duniani kote kuwa ni mabingwa wa kutoa rushwa ili wapate tender,
Ila Kafulila anavowasifia utadhani Adani ni kampuni mpya.
Nani kakwambia UCHINA haitoi rushwa kupata kazi, kinachoangaliwa ni ufanisi na uwezo walionao
 
Acha ku undermine wenzako buana...Vision target yake ilifikishwa 5 years earlier na awamu ya Tano na Awamu ya Sita inaendeleza ndiyo sababu unaona shida ya umeme imefikia tamati, na umeme Tumekaribia asilimia 80 kuusambaza Kwa watanzania...
Hampendi kuambiwa ukweli maccm
 
Kafulila amekomaa sana apewe uwaziri sasa
 
Tumekuelewa dalali Kafulila
 
Kafulila 2mbili tu
 
Kafulila na Samia wapewe maua yao
 
Nani kakwambia UCHINA haitoi rushwa kupata kazi, kinachoangaliwa ni ufanisi na uwezo walionao
Ndugu, wewe unashindwa hata kung'amua mambo mpaka GenZ wa kenya wanakushinda???
Hukuona kenya wameandamana kuipinga "Adani group "?????
 
Wapinzani wa nchi hii wengi wanakuwa wapinzani kwa sababu ya njaa tu na siku wakipata ulaji ndani ya ccm wanageuka kama siyo wao.
 
Chambo uko vizuri tunakutegemea
 
Mawazo ya muda mrefu mazuri ila kwa nchi zetu naona tuwe na mipango ya kati TU na ya mda mfupi maana kiongozi anasema ikifika 2050,nchi iwe na miradi .....akati mipango ya miradi tu ya 2025 bado tufwate kipi na tuache kipi
 
Huu naona ni kama uchochezi kabisa
 
Too2 nae amekuwa na matamko mengi sn ya propaganda
 
Mikopo hamtoi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…