ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wameshindwa wapi? Shule ipi ya huko kwenu Haina matundu ya vyoo?Mpaka leo matundu ya choo wameshindwa alafu unaleta porojo zako chawa pro max
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameshindwa wapi? Shule ipi ya huko kwenu Haina matundu ya vyoo?Mpaka leo matundu ya choo wameshindwa alafu unaleta porojo zako chawa pro max
Endelea kupambana kuna tuzo za kuwa chawa bora wa TanzaniaWameshindwa wapi? Shule ipi ya huko kwenu Haina matundu ya vyoo?
Natoa dozi Kwa nyie wajinga,so jibu hoja kama huna pita kushotoEndelea kupambana kuna tuzo za kuwa chawa bora wa Tanzania
Dozi ipi kwani unanijuaNatoa dozi Kwa nyie wajinga,so jibu hoja kama huna pita kushoto
Sijui kama huyu chawa anajua kiwango cha hiyo fedha anayopayuka bila kufikiri.View attachment 3199594
===
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchi Tanzània PPPC Mhe David Kafulila amewaeleza Watanzania kuwa lazima wafahamu kesho ya Tanzània lao ni bora sana kama tu hali ya Umoja na mshikamamo itaendelea kuwa ilivyo leo.
David Kafulila anasema, Tanzania kwa kushirikiana na sekta binafsi ( PPP) ya ndani au nje ya Tanzania wataipeleka kwa Kasi Tanzania kwenye Uchumi wa viwango vya juu kama ilivyoainishwa kwenye Dira ya Taifa ya Maendeleo kwa miaka 25 ijayo ( 2025-2050 )
Mtakumbuka, David Kafulila amekuwa ni Mtendaji na mwanasiasa anayejikita zaidi kwenye kutetea hoja za Serikali yake kwa namba na "fact" zenye kueleweka na watu wa Kada zote kitu kinachomfanya awe ni Mtendaji wa Serikali anayefuatiliwa zaidi mitandaoni kwa sasa.
Mkurugenzi Mtendaji huyu anasema Tanzània mpaka kufikia mwaka 2050 inatarajia kujenga Uchumi wa $700bn ambao ni karibu mara mbili ya Uchumi wote wa Africa ya Kusini ya leo ambayo Leo ni karibu $380bn.
Kafulila anasema si kazi rahisi kujenga Uchumi wa $700bn kutoka Uchumi wa sasa wa Tanzania wa $85bn kazi ambayo kamwe haiwezi ikatekelezwa kwa Kodi na Mikopo pekee hivyo sekta binafsi haepukiki kwenye safari hii ya ujenzi wa Uchumi mkubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 25.
Mkurugenzi Mtendaji huyu anaendelea kwa kusema jambo hili linawezekana bila mashaka yoyote kwani hata nchi ya Vietnam mwaka 1990 ilikuwa na Uchumi wa $6.4bn lakini leo Vietnam wana Uchumi wa zaidi ya $460bn karibu mara themanini (X 80) zaidi.
Kama hivyo ndivyo kwanini Tanzania tusiweze Vietnam wao Wana nini?
View attachment 3196797
====
K ndio Kafulila?Hongera braza k,
Havihusiani? Wafanyabiashara wanatekwa, watafanya biashara kwa amani? wewe unayeongea bila kufikiri? Unatakiwa ukuze fikra zako wewe. Stable country ndizo zilizopiga hatua, wewe unahofia kutekwa utawezaje kufanya biashara, unless unawasemea petty trade ambao kwako ndiyo wafanya biashara.Yaani watu watatekwa ikibidi ila Uchumi utapaa maana havihusiani.
Mfanyabiashara serious hawezi kuwa busy kwenye mitandao akikosoa mambo ya Serikali au watu binafsi.Havihusiani? Wafanyabiashara wanatekwa, watafanya biashara kwa amani? wewe unayeongea bila kufikiri? Unatakiwa ukuze fikra zako wewe. Stable country ndizo zilizopiga hatua, wewe unahofia kutekwa utawezaje kufanya biashara, unless unawasemea petty trade ambao kwako ndiyo wafanya biashara.
Mohammed Dewji siyo mfanyabiashara maarufu? Hakutekwa au unaongelea spinal cord? Kuna US billionaire zaidi ya Dewji kwa Africa mashariki? Acha kuongea pumba wewe, kwa hiyo kama Rwanda wanauawa ni sawa tu na huku kwetu wauawe. Mbona wewe hutaki kufa....? African mentality, no regard for human life, only animals in the making. You don't think of emulating positive ideas but horrible things. StupidMfanyabiashara serious hawezi kuwa busy kwenye mitandao akikosoa mambo ya Serikali au watu binafsi.
Rwanda huko sio tuu kutekwa Bali wanauwawa na maisha yanasonga
Toka awamu ya Jiwe Hadi Sasa Kuna mfanyabiashara gani maarufu ametekwa?Mohammed Dewji siyo mfanyabiashara maarufu? Hakutekwa au unaongelea spinal cord? Kuna US billionaire zaidi ya Dewji kwa Africa mashariki? Acha kuongea pumba wewe, kwa hiyo kama Rwanda wanauawa ni sawa tu na huku kwetu wauawe. Mbona wewe hutaki kufa....? African mentality, no regard for human life, only animals in the making. You don't think of emulating positive ideas but horrible things. Stupid
Hawa waliopo sasa madarakani na jiwe wana tofauti gani? Au hukusikia kifo ni kifo tu? Wapo wafanyabiashara hata online hawapo lakini wanatekwa, kwani Tarimo aliyetaka kutekwa kule Maili moja siyo mfanyabiashara? Ukiwa na hulka za kuteka, utaendelea kuteka na kuua kama huyo Samia. Hao wafanyabiashara wa kati ndiyo backbone ya uchumi kwenye nchi zinazoendelea, hao ndiyo waajiri wa watu kuanzia wawili na kuendelea, sasa unawateka, uchumi utakuwa kweli?Toka awamu ya Jiwe Hadi Sasa Kuna mfanyabiashara gani maarufu ametekwa?
Tofauti Yao hii hapa 👇 👇Hawa waliopo sasa madarakani na jiwe wana tofauti gani? Au hukusikia kifo ni kifo tu? Wapo wafanyabiashara hata online hawapo lakini wanatekwa, kwani Tarimo aliyetaka kutekwa kule Maili moja siyo mfanyabiashara? Ukiwa na hulka za kuteka, utaendelea kuteka na kuua kama huyo Samia. Hao wafanyabiashara wa kati ndiyo backbone ya uchumi kwenye nchi zinazoendelea, hao ndiyo waajiri wa watu kuanzia wawili na kuendelea, sasa unawateka, uchumi utakuwa kweli?
Kafulila is very smartView attachment 3199594
===
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchi Tanzània PPPC Mhe David Kafulila amewaeleza Watanzania kuwa lazima wafahamu kesho ya Tanzània lao ni bora sana kama tu hali ya Umoja na mshikamamo itaendelea kuwa ilivyo leo.
David Kafulila anasema, Tanzania kwa kushirikiana na sekta binafsi ( PPP) ya ndani au nje ya Tanzania wataipeleka kwa Kasi Tanzania kwenye Uchumi wa viwango vya juu kama ilivyoainishwa kwenye Dira ya Taifa ya Maendeleo kwa miaka 25 ijayo ( 2025-2050 )
Mtakumbuka, David Kafulila amekuwa ni Mtendaji na mwanasiasa anayejikita zaidi kwenye kutetea hoja za Serikali yake kwa namba na "fact" zenye kueleweka na watu wa Kada zote kitu kinachomfanya awe ni Mtendaji wa Serikali anayefuatiliwa zaidi mitandaoni kwa sasa.
Mkurugenzi Mtendaji huyu anasema Tanzània mpaka kufikia mwaka 2050 inatarajia kujenga Uchumi wa $700bn ambao ni karibu mara mbili ya Uchumi wote wa Africa ya Kusini ya leo ambayo Leo ni karibu $380bn.
Kafulila anasema si kazi rahisi kujenga Uchumi wa $700bn kutoka Uchumi wa sasa wa Tanzania wa $85bn kazi ambayo kamwe haiwezi ikatekelezwa kwa Kodi na Mikopo pekee hivyo sekta binafsi haepukiki kwenye safari hii ya ujenzi wa Uchumi mkubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 25.
Mkurugenzi Mtendaji huyu anaendelea kwa kusema jambo hili linawezekana bila mashaka yoyote kwani hata nchi ya Vietnam mwaka 1990 ilikuwa na Uchumi wa $6.4bn lakini leo Vietnam wana Uchumi wa zaidi ya $460bn karibu mara themanini (X 80) zaidi.
Kama hivyo ndivyo kwanini Tanzania tusiweze Vietnam wao Wana nini?
View attachment 3196797
====
NBSTumbili hizi data anazipata wapi😳
LA ndio nini wewe Mzee?LA inaungua huko 😂😂😂😄
Kwenye Dira ya Taifa kasome utaona hayaTumbili hizi data anazipata wapi😳
Kwenye Dira ya Taifa kasome utaona haya
👌Kwenye Dira ya Taifa Mkuu
Tunazingumzia miaka 25 baadaeWatoto wanakaa chini, shule za msingi kama magofu, umeme wa mgao we unaongea nini