David Kafulila: Miaka 25 ijayo Serikali itajenga Uchumi wa $700bn. Pato la kila mmoja wetu litafikia TZS 20M

Sijui kama huyu chawa anajua kiwango cha hiyo fedha anayopayuka bila kufikiri.
 
Yaani watu watatekwa ikibidi ila Uchumi utapaa maana havihusiani.
Havihusiani? Wafanyabiashara wanatekwa, watafanya biashara kwa amani? wewe unayeongea bila kufikiri? Unatakiwa ukuze fikra zako wewe. Stable country ndizo zilizopiga hatua, wewe unahofia kutekwa utawezaje kufanya biashara, unless unawasemea petty trade ambao kwako ndiyo wafanya biashara.
 
Mfanyabiashara serious hawezi kuwa busy kwenye mitandao akikosoa mambo ya Serikali au watu binafsi.

Rwanda huko sio tuu kutekwa Bali wanauwawa na maisha yanasonga
 
Mfanyabiashara serious hawezi kuwa busy kwenye mitandao akikosoa mambo ya Serikali au watu binafsi.

Rwanda huko sio tuu kutekwa Bali wanauwawa na maisha yanasonga
Mohammed Dewji siyo mfanyabiashara maarufu? Hakutekwa au unaongelea spinal cord? Kuna US billionaire zaidi ya Dewji kwa Africa mashariki? Acha kuongea pumba wewe, kwa hiyo kama Rwanda wanauawa ni sawa tu na huku kwetu wauawe. Mbona wewe hutaki kufa....? African mentality, no regard for human life, only animals in the making. You don't think of emulating positive ideas but horrible things. Stupid
 
Toka awamu ya Jiwe Hadi Sasa Kuna mfanyabiashara gani maarufu ametekwa?
 
Toka awamu ya Jiwe Hadi Sasa Kuna mfanyabiashara gani maarufu ametekwa?
Hawa waliopo sasa madarakani na jiwe wana tofauti gani? Au hukusikia kifo ni kifo tu? Wapo wafanyabiashara hata online hawapo lakini wanatekwa, kwani Tarimo aliyetaka kutekwa kule Maili moja siyo mfanyabiashara? Ukiwa na hulka za kuteka, utaendelea kuteka na kuua kama huyo Samia. Hao wafanyabiashara wa kati ndiyo backbone ya uchumi kwenye nchi zinazoendelea, hao ndiyo waajiri wa watu kuanzia wawili na kuendelea, sasa unawateka, uchumi utakuwa kweli?
 
Tofauti Yao hii hapa 👇 👇

View: https://www.instagram.com/p/DEyvzU_NwP9/?igsh=dXl3cHVudXRwOTBm
View: https://www.instagram.com/reel/DE3zpIdNAH1/?igsh=Y3ptN285Nzl2ZHNw
 
Kafulila is very smart
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…