David Kafulila: Miaka 25 ijayo Serikali itajenga Uchumi wa $700bn. Pato la kila mmoja wetu litafikia TZS 20M

25 years yeye atakuepo?
 
Anachoongea kafulila ni futuhi a.k.a kanyaboya
Based on current trend ya economic growth haiwezekani
 
Ungekuja na data kwakuwa jamaa anaongea kwa data
Data zipi ni-lini uchumi wa Tanzania umekua kwa asilimia 10 sababu ili uwe na uchumi wa dollar billion 700 mpaka 2050 angalau kwa uchache uchumi ukue kwa asilimia 10.5 na zaidi

kuanzia mwaka ujao wa fedha 2025/2026 uchumi unatakiwa ukue kwa asilimia 10.5 swali ni lini uchumi umekua hata kwa asilimia 8
 
Ndio maana wanaelekeza nguvu kwenye sekta binafsi kwakuwa hii utaifanya Serikali itekeleze miradi mbalimbali ya maendeleo nje ya bajeti yake
 
Mwamba Yuko so smart
 
Kafulila anajua sana kututia moyo Watanzania 😆😆
 
Ndio maana tunasema chini ya CCM hii nchi itakuwa kama USA by 2050
 
Kwa maandiko haya watu lazima wapige kelele,😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…