David Kafulila: Miaka 60 hekta 500,000 za umwagiliaji miaka 4 ya Rais Samia hekta mpya 400,000

Naona Kampeni meneja kaanza kazi
 
Mwandishi good crafting
 
hekta hizi zimeongezeka na kufikia hekta laki tisa ( 900,000 ) ikiwa ni sawa na ongezeko la hekta mpya laki nne ( 400,000 ) ambazo ni karibu sawa na ongezeko la 50% ya kilichofanyika tangu tupate uhuru December 1961.

Kwa ukubwa wa ongezeko hili, ilipaswa sisi wazururaji wa mikoani tuone hayo mashamba...

Lakini sikumbuki kuona shamba la namna hii zaidi ya moja lipo kati ya Ifunda na Mafinga ambalo nalo ni la mzungu...
 
Hata kama ni la Mzungu linahesabiwa tu silipo Tanzania
 
Msemaji na mwandishi wamefanya fyonko kwenye kumalizia
 
Kwa ukubwa wa ongezeko hili, ilipaswa sisi wazururaji wa mikoani tuone hayo mashamba...

Lakini sikumbuki kuona shamba la namna hii zaidi ya moja lipo kati ya Ifunda na Mafinga ambalo nalo ni la mzungu...
Sahihi
 
Hongera sana Kafulila heko Samia Suluhu
 
Hongera sana Mama Samia hakika Mitano tena
 
Halafu hawa CHAUMMA ndio wanasema hovyo hovyo haifai
 
Bora kipindi cha Magufuli vitu vilikua vinaonekana sasa hivi ni siasatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…