David Kafulila: Miaka 60 hekta 500,000 za umwagiliaji miaka 4 ya Rais Samia hekta mpya 400,000

😀 😀
 
Kafulila sasa anatoa shule balaa
 
Ujinga sio huu ila wako kumshangilia Gwajima na Simba au yanga,

Sisi tunaandika kuhusu maisha ya watu
Mnaandika kuhusu maisha ya watu yasiyo salama nchini kwao, au? Kwako ni sahihi Kanisa kufungiwa shughuli za kumwabudu Mungu, kwa kuwa tu Kiongozi wake amewakumbusha waumini kuwa ni dhambi kujihusisha na maovu km utekaji na uuaji watu?
 
Chawa nguli D.K
 
Hizi NBS wazifanyie uchunguzi naona mtu anakesi ya kujibu hapa
 
Ubinafsi upi wakati nchi inakimbia namna hii kwenye maendeleo
 
Huyu tayari kalamba ukubwa huyu
 
Mnaandika kuhusu maisha ya watu yasiyo salama nchini kwao, au? Kwako ni sahihi Kanisa kufungiwa shughuli za kumwabudu Mungu, kwa kuwa tu Kiongozi wake amewakumbusha waumini kuwa ni dhambi kujihusisha na maovu km utekaji na uuaji watu?
Huyu Samia ni yule mliyesema ni rais laini mwanamama wa kiislam, anapoamua kuwakazia wajinga vilio vinasikika na kimojawapo ni hiki cha kwako.
 
Aulizwe pia miaka 30 iliyopita tulikua tukizalisha magunia na kamba za katani lakini leo hii tunaagiza nje vyote? Miaka 30 iliyopita tulikua na kiwanda chakutengeneza matairi General tyre leo hii tuko wapi? Tulikua na usafiri wa gari moshi hadi Kigoma,Kanda ya Ziwa, Rukwa,hadi Kaskazini huko leo tupo wapi? Wanafunzi walipewa madaftari na kalamu zikitolewa bure mashuleni, wanafunzi walisoma chuo kikuu bure leo tuko wapi? Wageni walikua wakija hapa kujipanga kwa ajili ya ukombozi wa nchi zao leo tupo wapi?
 

Attachments

  • Screenshot_20250606_201232_X.jpg
    255.4 KB · Views: 17
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…