David Kafulila: Miaka 60 hekta 500,000 za umwagiliaji miaka 4 ya Rais Samia hekta mpya 400,000

Kazi na Utu tunasonga na Mama
 
Chawa mzee Kafulila on job
 
Kafulila ni masta sana
 
Hiyo miaka 60 nchi ilikuwa chini ya chausta?!
 
Huyu jamaa anatumia nguvu kubwa sana kusifu na kuabudu
 
#MAMA MITANO TENA
 
Aliyemuita tumbili kafulila aombwe msamaha kisha apongezwe
 
Wale wajinga wa no reform hawawezi kujadili mada nyeti za chakula wanakimbilia kwenye jinsia ya rais na uzanzibari wake.

Kuna kazi ya maana sana ameifanya Rais Samia ndani ya miaka minne akiwa ikulu na ndio itakayombeba ikifika Oktoba 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…