David Kafulila ni hazina kwa Taifa letu, anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana ya nchi

Mimi nikikusifia ujuwe kweli wewe ni mchapa kazi na mzalendo kwelikweli wa Taifa letu.
Hujawahi kukosea mkuu naungana na wewe,

Hata Mimi naamini kuwa wewe ni miongoni mwa vijana wachache Wazalendo kwa Taifa lao.
Why tusimpongeze mtu aliyekataa 2bl miaka ya 2014 ten years past.

Kafulila ni jembe sana la Mama.
 
Nadhani hakuna nguvu yoyote ila Jf Kila mtu anasema matamanio yake so lazima kuheshimu Kila tamanio la mtu hata kama ni Lucas Mwashambwa
Achana na huyo anatapatapa sana.mwanzoni alikuwaga ananirushia sana eti niache kuandika humu kumsifia Mheshimiwa Rais Samia kwa sababu mimi siyo msemaji wake na kwamba nikiendelea basi nitaona.nikamwambia mimi huwa sitishwi na wala sitishikagi wala kuogopa.nikamwambia fanya unachoona kinafaa.
 
Hujawahi kukosea mkuu naungana na wewe,

Hata Mimi naamini kuwa wewe ni miongoni mwa vijana wachache Wazalendo kwa Taifa lao.
Why tusimpongeze mtu aliyekataa 2bl miaka ya 2014 ten years past.

Kafulila ni jembe sana la Mama.
Mheshimiwa Kafulila ni jembe kwelikweli.
 
Nilikuwa sikupi biti ila nilikuwa nakwambia na kukupa ushauri, now umebadilika

Zaman ulikuwa unamuongelea Rais kama unamuongelea katibu kata wa mtaani kwako

Now hauko hivyo

Jambo moja ujaacha ni kuwaona watu ambao wanahoji mambo ambayo ni wajibu wao kuyapata kama sio wazalendo

Huyo kafulila unamsema because recently amekuwa mtu wa kutetea miradi ambayo serikali inaonesha wazi inashindwa kusimamia mfano mradi wa mwendokasi
 
Kwa hiyo wewe ndiye msemaji wa Rais na mwakilishi wake unayewapangia watu vya kuandika?😃😃😃
 
Kwa hiyo wewe ndiye msemaji wa Rais na mwakilishi wake unayewapangia watu vya kuandika?😃😃😃

Ingekuwa unamsema Baba yako then ningekaa kimya because ni Baba yako

Ila Kwa vile unamsema Rais wetu wote then lazima nikwambie kama unaongea mambo ambayo sio halisi
 
Ingekuwa unamsema Baba yako then ningekaa kimya because no Baba yako

Ila Kwa vile unamsema Rais wetu wote then lazima nikwambie kama unaongea mambo ambayo sio halisi
Sasa wewe kilikuwa kinakuwasha nini wakati unakuwa ni Rais Wa wote? Kwanini ulikuwa unajipa haki usiyostahili?
 
Sasa wewe kilikuwa kinakuwasha nini wakati unakuwa ni Rais Wa wote? Kwanini ulikuwa unajipa haki usiyostahili?

Ingekuwa ni hivyo then wale ambao wanamchafua wangekaliwa kimya Tu because na wao si Rais wao? So wanahaki ya kumchafua

Viongozi wasingepaswa kuwashwa kupaza sauti zao, au viongozi waliokuwa wanakemea walikuwa wanajipa haki wasiostahili?
 
Yes jamaa ni asset
 
Namuheshimu sana huyu jamaa haigizi huyu.
 
Kazi na iendelee
 
Mwamshamba kwa Kafulila nakupa 100% ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…