David Kafulila ni hazina kwa Taifa letu, anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana ya nchi

Nakubaliana na wewe kwenye hili Kafulila ni asset sana tu.
 
Nimebubujikwa na machozi aisee
 
Kafulila ndio nani?
Ni Mzalendo wa Taifa letu,Mbunge wa 2010-2015.katibu Tawala mstaafu wa Songwe, RC mstaafu Simiyu, Mkurugenzi wa PPP na mbunge na waziri mtarajiwa panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu hapo mwakani
 
Kuna mambo hata ukikataa kuyakubali ndio yako hivo tu sio rahisi kupata Watu aina ya Kafulila leo
 
Kafulila anakitu sio bure
 
kuongeaongea matheory ambayo hakuna yanapoapply. Ndio zilezile story za kizamani eti Wazungu wanamuogopa Nyerere.

Dunia Iko mbali sana na imetoka mbali sana kuliko hizi theory za Kafurila huku 80% ya barabara zikijengwa na wakandarasi kutoka nje na tunawalipa the fuckin dollar.

Mnaongeaongea matheory huku hata UDART mmeshindwa kuisimamia, mnaongeongea matheory huku ATCL inazama, mnaongeongea matheory huku mnakopakopa na kupewapewa misaada Kila siku huku ardhini mna kila aina ya resources.
Mnaongeaongea theory tu huku mmeshindwa hata kuchimba chuma pale mchuchuma na Liganga mkaacha kuagiza Chuma.
Mnaongea matheory huku mmeshindwa hata kuendesha bandari.
Mnaongea matheory huku hata thamani ya shillingi mmeshindwa kuilinda huku mkishindwa hata kumaintain uwepo wa dollar.
Mnaongea matheory huku Kila mtanzania ni mchuuzi na dalali wa bidhaa zinazozalishwa na wengine.

Mnatutia sana hasira na mnahatarisha sana usalama wa Taifa hili kwa ujinga wenu, maana huko mbele jamii haitakubali tena huu upumbavu zaidi ya kuchukua hatua mikononi.
 
Kafulila ni hazina nakubaliana na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…