David Kafulila ni hazina kwa Taifa letu, anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana ya nchi

Hazina ambayo haijatumiwa ni Lisu na Mbowe tu. Hao wengine wote waliounga juhudi ni wasaka tonge tu
 
Haya mazoea na utaratibu wa kutegemea mtu m'moja au kikundi cha watu ndio awe au wawe na majibu ya matatizo ya watu zaidi ya milioni 60 ndani ya muda mfupi ndicho chanzo kikubwa cha upigaji na hao watu kujineemesha kwa huo ujinga.

Hebu imagine watanzania wote eti tumtegemee kafulila kuja na suluhu za matatizo yetu sote na ndie atufanyie maamuzi, hiyo kazi utamlipa kiasi gani kwanza na atakuwa na akili kubwa kiasi gani.

Huu upuuzi tuache kuanzia sasa, nadhani ni muhimu tuanze kuwa na strong institutions ambazo zitahoji,zitakazopitisha maamuzi ya mwisho, zitakazogomea, zitakazo Shauri au toa mamlaka yawe wapi na kwa faida ya nani.

Kwa mfano, swala la elimu linaanza na contents za hiyo elimu. Hizo ndizo zitaamua muda wa watoto kusoma, masaa ya masomo, bajeti ya wizara husika,ufanisi na uhitaji wa wahitimu eneo la ajira. Sasa kama wadau ambao ni wazazi, wanajamii, makampuni, vijana, wangekuwa na collective bargaining juu ya nini kifanyike then tungepata mtaala wa kueleweka ambao ni jibu la mahitaji. Sasa ukitazama uhalisia, ni kwamba wadau hawana mashiko na mtaala na matokeo yake wanatungiwa vitu ambavyo hata hatujui ni nani alivihitaji hadi utekelezaji wake umeishia kuwa ni wa pupa.

Tujitathimini sana.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimeendelea kumfuatilia na kufuatilia mahojiano mbalimbali ambayo amekuwa akifanya na ambayo amefanya kupitia vyombo vya habari kuelezea mambo mbalimbali kuanzia uchumi...
Kafulila Kafulila Kafulila
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimeendelea kumfuatilia na kufuatilia mahojiano mbalimbali ambayo amekuwa akifanya na ambayo amefanya kupitia vyombo vya habari kuelezea mambo mbalimbali kuanzia uchumi...
Kubwa la Machawa😂😂😂
 
Haya mazoea na utaratibu wa kutegemea mtu m'moja au kikundi cha watu ndio awe au wawe na majibu ya matatizo ya watu zaidi ya milioni 60 ndani ya muda mfupi ndicho chanzo kikubwa cha upigaji na hao watu kujineemesha kwa huo ujinga..
Kila ulichoongea umeongea point sana
 
Hazina njema Kafulila
 
Hazina kwa kundu lako. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee
 
Hongera Kafulila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…